ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #21
Nashindwa kuelewa (mchina voice)π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kipande Cha nyama ukipate kikiwa Cha moto halafu kiwe kina ulaini fulani hivi na ukiweke mdomoni hivo hivo ππna ukitafune taratibu huku unasikilizia utamu wake na kukimeza kwa umakini mkubwa Ili usije ukaumiza koo lako.
Acha basi binti nifundishe jinsi ya kutafuna kwa utuoππHuo unaitwa utamu Pro max πππ.
Raha ya utamu wa nyama usitafune kama Ngiri ππ.
Baaasiiiπ ββοΈπ₯π₯Note: Mtoko wetu uko palepale πππ
Furaha kwanza et sweet haya sawa π€Mimi ni muumini wa furaha, naona nikiwa na furaha mengine huwa nayapata kwa urahisi. π₯°
Dear haka ka slogan kako π€£π€£π€£You have random thoughts we kamamaa! Ulikuwa unafikiria nini?
Mzee jiheshimuππ
Unaniona bibi yako kijanaπhuwa nakuzingua tu
dont take me that seriously
Huyo mzee anazeeka vibaya πMkuu hapa tunaongelea furaha,raha utamu, hii ni nini kati ya hayo!
Mimi simo akikubadilikia shauri yako π!Huyo mzee anazeeka vibaya π
Mzee jiheshimuππ
Jeuri hiyo hanaMimi simo akikubadilikia shauri yako π!
Huyo mzee anazeeka vibaya π
Kwenye miti hakuna wajenzi π€£π€£
Jeuri hiyo hana
mmmmh bibi hapana.πππUnaniona bibi yako kijanaπ
Huyo ndio wife wako mzee π
Usiongeze chupa nyingine baado mapemaπ€£
Mnajuana nyie naona anakuchekea tu angekuwa yule mzee mwingine jina lake linaishia na "I" au yule mwingine jina lake linaishia na "u" ungekuwa na kesi ya kujibu.Jeuri hiyo hana
Haya basi mama ako mdogommmmh bibi hapana.πππ
humu JF hata kwa dawa hawezi kuwepo mwanamke mwenye umri wa kuweza kuwa sawa na Bibi yangu, labda labda mama mdogo.
are you above 50 years old ?Haya basi mama ako mdogo
Nimeshindwa kuelewa hizo codeMnajuana nyie naona anakuchekea tu angekuwa yule mzee mwingine jina lake linaishia na "I" au yule mwingine jina lale linaishia na "u" ungekuwa na kesi ya kujibu.
Eeeh huoni hata mwandiko wanguare you above 50 years old ?