raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Na ukichek mtu ana msururu wa watuYanii ndo ukibaki nalo unaitwa mchafuu
Asijue unapokwangua unapata michubuko ukikutana na mtu mwenye maradhi unaambukizwa kwa urahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukichek mtu ana msururu wa watuYanii ndo ukibaki nalo unaitwa mchafuu
Hakuna uhusiano.Nyie ndo mlifanya legend Nyani Ngabu aache kutumia jamii forums
Sio masikhara 😂😂🤣🤣🤣🤣
Aloo kipilipili zinakua kama misumari😀Kuna wenye nywele za shombe shombe huko chini na sio kipilipili
🤣🤣🤣Na ukinyoa unakuta tunywele tumesimama sisimizi tunachoma balaa unaweza pata tetanus🤣🤣🤣
Kipilipili kinabakije huko sasa maana kitaharibu sura ya mahali husika
Ongeza nyama nyamaHaha hapo dawa ni waxing tu