raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Na ukichek mtu ana msururu wa watuYanii ndo ukibaki nalo unaitwa mchafuu
Hakuna uhusiano.Nyie ndo mlifanya legend Nyani Ngabu aache kutumia jamii forums
Sio masikhara 😂😂🤣🤣🤣🤣
Aloo kipilipili zinakua kama misumari😀Kuna wenye nywele za shombe shombe huko chini na sio kipilipili
🤣🤣🤣Na ukinyoa unakuta tunywele tumesimama sisimizi tunachoma balaa unaweza pata tetanus🤣🤣🤣
Kipilipili kinabakije huko sasa maana kitaharibu sura ya mahali husika
Ongeza nyama nyamaHaha hapo dawa ni waxing tu