DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Aisee huyo 2pac angekuwa hai angekuwa na umri gani?Pac ndio hip hop, na hip hop ndio Pac. Hakuna jinsi unaweza kuizungumzia historia ya hip hop bila kumtaja Pac.
Ni sawa sawa na leo hakuna mtu anaeweza kuizungumzia reggae bila kumtaja Bob Marley, au utaje basketball bila kumtaja Michael Jordan.
So ni ukweli usiopingika kuwa 2pac ndio nembo ya mziki huo.
Unalinganishaje underground album (infinite) na Reasonable Doubt? Infinite iliyouza kopi 70? By the way Jay z ana catalogue ya kutosha kabla ya RD. Fuatilia.
Hakuna anayebisha kwamba Pac was ill, one of the greatest. Tatizo nyie stans mnataka kutulazimisha kunywa uji kwamba HE IS THE GREATEST EVER, he is not.
Kuna rappers wengine wenye impact, ability na sales at par with him or above him.
Hahaha... Au tupac na KENDRICK wakat huyo kendrick mwenyew katoa ile Poetic Justice kaiga kwa Pac enzi hizo aliachia Poetic Justice..Yah ki ukweli nimeamini kama ww pia ni mwenzetu kwa upande wa hip hop.
Sio hawa vijana wa juzi wanaowafananisha wasaani wakubwa kama vile Nas au Coolio na Lil Bow wow.
Nakubali mkuu uko vizuri.
Ya hapa nafikiri unazungumzia 'To my unborn child' ya Pac, lkn beat ni ya wimbo wa Michael Jackson 'Liberian girl'Hahaha... Au tupac na KENDRICK wakat huyo kendrick mwenyew katoa ile Poetic Justice kaiga kwa Pac enzi hizo aliachia Poetic Justice..
Na huyo huyo Pac mwenye watu wanamuiga ila na yeye kaiga Nyimbo na vionjo vya watu hasa hasa wa POP... nina file lake nje ndan kote alikoiba iba vitu maana mie kwenye R&B, Pop, Hiphop.. etc kote nafatilia kwa ukaribu..
Snoop around hiyo 90' alikuja na flow yake.. Alikuw anaiita Doggystyle.. Na akaw analalamika vijana wanaiga flow style yake maan ilikuw ni Hybrid ya R&B na Hip hop.. Ndio maana BIG na yeye akaw anaflow kwa kurelax sana ingaw hakumfikia Snoop ktk Rhythm na rhymes...!
Ni hayo...
Ya hapa nafikiri unazungumzia 'To my unborn child' ya Pac, lkn beat ni ya wimbo wa Michael Jackson 'Liberian girl'
Pamoj bro.
Mwaka 1996 Tupac alikuwa yuko Deathrow na alitoa albamu ya All Eyes On Me. What's your point?Sijalinganisha RD na Infinite, nimekumbia uniambie wakati huo Pac alikua wapi?
Background ya Jay naijua vizuri mkuu, haifanani na Pac na hazilingani ila kama unaeweza linganisha prove.
Kuwa na nyota hilo ni dhahiri na hakuna anayebisha. Also the guy had charisma.Year wapo, ila hawajawa hapo alipo Pac ndo maana hata ukienda chuo vitoto vya mwaka2000+ ukaviwekea picha ya Pac na ukaweka picha ya hao wengine Pac will be 1st one noticed kwajina na carrier yake atlist wimbo mmoja wa Pac wataujua na iyo sio sisi tunao ifanya iwe ivo ni automatic tuu sababu alikua ananyota kuliko wengine hata uyo diamond hawezi kumfikia barnaba kwenye huimbaji mkuu but who's shining? Nadhan unamjua na huwezi tumia iko kigezo tuu kumshusha yupo pale sio bahati mbaya ni uwezo binafsi alojaaliwa na iyo ndo sawa na Pac.
Acha ushamba. Poetic justice ni common phrase. Ni sawa angecheza movie inaitwa My love halafu mtu mwingine aje atunge wimbo unaitwa my love, ina maana atakuwa ameiga?Hahaha... Au tupac na KENDRICK wakat huyo kendrick mwenyew katoa ile Poetic Justice kaiga kwa Pac enzi hizo aliachia Poetic Justice..
Na huyo huyo Pac mwenye watu wanamuiga ila na yeye kaiga Nyimbo na vionjo vya watu hasa hasa wa POP... nina file lake nje ndan kote alikoiba iba vitu maana mie kwenye R&B, Pop, Hiphop.. etc kote nafatilia kwa ukaribu..
Snoop around hiyo 90' alikuja na flow yake.. Alikuw anaiita Doggystyle.. Na akaw analalamika vijana wanaiga flow style yake maan ilikuw ni Hybrid ya R&B na Hip hop.. Ndio maana BIG na yeye akaw anaflow kwa kurelax sana ingaw hakumfikia Snoop ktk Rhythm na rhymes...!
Ni hayo...
Mtu anayeijua hip hop angejua kwamba sampling ni kitu cha kawaida kwenye huu muziki. Karibu 99% ya nyimbo za hip hop huwa wana-sample nyimbo za genre nyingine.Chek ile ngoma ya Hit em Up skiliza beat vzr... Nakupa assignment kama ni mtaalam wa POP utajua kaitoa wap ile beat. Ingaw ya nyimbo OG inapiga kwa nguvu yaan beat kali zaidi ya ile.
Na huu mtindo wa kutumia nyimbo za pop kuingizia vocal za Hiphop ni utamadun tulioiga mpk sisi huku chek nyimbo za akina Songa na P the Mc..
Nan Mshamba mie au wewe?Acha ushamba. Poetic justice ni common phrase. Ni sawa angecheza movie inaitwa My love halafu mtu mwingine aje atunge wimbo unaitwa my love, ina maana atakuwa ameiga?
Halafu hiyo ni movie na wala sio ya Tupac, ameigiza tu. Nyie stans mna shida sana asee.
MKuu mimi sio mfuatiliaji sana wa pop japo nilikuwa namkubali na kumfuatilia Michael Jackson sometime. Ebu niweke sawa kidogo hapo kwenye beat ya hit em up. OG yake ni ya nani, ya wimbo gani na ilitoka mwaka gani?Chek ile ngoma ya Hit em Up skiliza beat vzr... Nakupa assignment kama ni mtaalam wa POP utajua kaitoa wap ile beat. Ingaw ya nyimbo OG inapiga kwa nguvu yaan beat kali zaidi ya ile.
Na huu mtindo wa kutumia nyimbo za pop kuingizia vocal za Hiphop ni utamadun tulioiga mpk sisi huku chek nyimbo za akina Songa na P the Mc..
Baada ya Ku Google ndio unakuja hapa..Mtu anayeijua hip hop angejua kwamba sampling ni kitu cha kawaida kwenye huu muziki. Karibu 99% ya nyimbo za hip hop huwa wana-sample nyimbo za genre nyingine.
The fact kwamba sampling watu wanaita "kuiga" ni ushahidi kwamba wengi wanaoposti kwenye huu uzi hawajui kitu kuhusu hip hop.
By the way, kwa kukusaidia, wimbo wa Hit 'em Up ulitumia sample ya wimbo Don't Look Any Further wa Dennis Edward. Biggie na Junior Mafia walitumia hiyo sample kabla ya Pac kwenye wimbo wa Get Money remix. Pac akaamua kuutumia kwenye hiyo diss song (hiki ni kitu cha kawaida kwenye rap beef, wenyewe huwa wanaita "jacking", unachukua beat ya adui yako kisha unaitumia kumdiss).
Kuna kijana ka google hapo kashataja ni ya nani..MKuu mimi sio mfuatiliaji sana wa pop japo nilikuwa namkubali na kumfuatilia Michael Jackson sometime. Ebu niweke sawa kidogo hapo kwenye beat ya hit em up. OG yake ni ya nani, ya wimbo gani na ilitoka mwaka gani?
Mwaka 1996 Tupac alikuwa yuko Deathrow na alitoa albamu ya All Eyes On Me. What's your point?
Fikiria kama uhai wake ungeendelea kusogea sogea hadi 2010 au 2015, sasa hivi angekuwa na album ngapi au nyimbo ngapi.2pac alifariki akiwa 25yo tu ila kaacha a lasting legacy Hadi kesho. Jamaa was way ahead of his time.