Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Watoto wadogo ndio watapinga heshima ya 2Pac na kumfananisha na zembe, snitch, jealous Big.
2pac atabaki kuwa 2pac.
Kwanza tujue tunaongelea maisha au mziki?
Kama ni maisha 2pac yupo juu kuliko BIG na ameacha alama kubwa kwasababu ya harakati zake.
Na ndio kinachofanya watu wamkumbuke.

ila tukiishia kuangalia mziki tu purely bila kufuatilia sijui nani alikuwa anapigania haki za kina nani.
BIG kimziki alikuwa anajua kuliko Pac.
Tukiangalia tu flow, style, wordplay BIG yuko juu.
Sema BIG mziki wake haukuwa kiharakati.

Hata saivi tukiangalia kimziki tu 2pac anazidiwa na wasanii wengi wa sasa ila kiharakati bado hawajamfikia.
 
Ukifuatilia
BIG alikuwa bora zaidi ya tupac
Kiundani kati ya hao wawili kuna utofauti BIG Aka Bigsmall yeye alikuwa mkali kwa Freestyle na ku Flow na kwa upande wa 2pac alikuwa ni muandishi hodari kuwahi kutokea duniani

Kwa hyo hao wote wana ubora kwa pande hizo mbili Big ana sifa zake na PAC ana sifa zake pia,kuna wanaoamini Big alikuwa mkali zaidi ya PAC na kuna wanaomini PAC alikuwa mkali kuliko Big
 
ITOSHE Kusema huu nyimbo ndio iliyomuua PAC😁
 
Angalau umechambua vema kwenye flow Big yupo njema.
 

Daaaah mkuu kwamba huyu 50 cent ni copy
 
Wamarekan wenyew wanakwambia kuwa toka mziki wa rap ulipoanzishwa mpaka leo, hakuna ngoma ya diss iliyowahi ku hit kama Hit em up.

Hiyo ngoma ukiisikiliza hata leo unaweza kuhisi imerekodiwa jana.
 
Safi mkuu naweka kambi hapa nakubali sana lifestyle ya tupac sema lugha tu inatupgaga chenga sometimes ila namkubali sana
Sisi tulioanza kufuatilia mziki wa hip hop toka miaka ya 90s tunamkubali sana huyu mwamba. Ukiona mtu anamkataa au kujaribu kumfananisha na wasanii wabovu kama Lil wayne, Eminem, Ja rule nk jua huyo ameanza kusikiliza na kufuatilia mziki wa rap miaka ya 2000s. Huyu mwamba hata kina Big, Nas, Mr P nk walikuwa wamshamshindwa kumdhibiti katika game la mziki.
 
Daaaah mkuu kwamba huyu 50 cent ni copy
Ya 50 cent amechukua jina hilo kutoka kwa kibaka mmoja aliekuwa maarufu sana kwa wizi mitaa ya New York City.
Narudia tena.

Kilichompa umaarufu 2pac ni mdomo mchafu, unaotema shombo.

Ila kimistari japo ni mkali but I can put Nas above him. Na kwa flow japo ni mkali but BIG is above him.
Nas mwenyew anaonesha ni jinsi gani anamkubali na kumheshimu king wa mziki huo.
Nas adui yake na saizi yake alikuwa ni Jay z aka 'jigga'.

2pac kwa Nas au wasanii wengine alikuwa ni kama maji kama haukuyanywa basi utayapikia au kuyakoga.

Ndio maana wamefanya kila wawezalo kujifananisha nae.

Kuna wasanii wengi tu walitangulia mbele ya haki kabla na baada ya Pac kama vile Easy E, Pin Punish na wengine wengi, lakini hakuna mtu anaewaiga kama anavyoigwa Pac.
Tukubali tu kama wanavyokubali wasanii wenyewe wakubwa kuwa Pac ameacha alama kubwa katika mziki huo na hakuna wa kuiziba alama hiyo zaidi ya miaka 27 sasa.
 

Attachments

  • images (29).jpeg
    33.7 KB · Views: 29
  • images (32).jpeg
    17.1 KB · Views: 30
Watoto wadogo ndio watapinga heshima ya 2Pac na kumfananisha na zembe, snitch, jealous Big.
2pac atabaki kuwa 2pac.
Wahenga wanakwambia kizuri kinajiuza. Heshima anayopewa 2pac na wasanii wakubwa, ni uthibitisho tosha kuwa hakuna msanii anaekubalika na kupewa heshima kubwa duniani kama 2pac.
 
Mwanangu Akilihuru hauna documentary ya manniga Pac?
Nikitapa muda mzuri nitakuweka mkuu, ila kwa nilichoandika katika uzi huu kuhusu Pac nina imani kuna mazuri uliyoyapata kupitia thread na comments za wachangiaji wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…