Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Siku zote mtu hujilinganisha na yule anaemzidi. Kwahiyo kitendo cha Nas kujilinganisha na Pac, hii ni ishara kuwa Nas mwenyew anamkubali na kumheshimu Pac.
Jamaa mpingaji kama hajakuelewa hapa basi tu huyo ni mbishi wa asili kama watu wa Kigoma.
 
Daah sasa huku ni kumdhalilisha Biggie, haya maisha tu, wengi hupitia kabla ya kutoka.

Pamoja na yote alofanyiwa na 2PAC ila Biggie nae alikuwa na kipawa chake cha kipekee tofauti na Tupac.

Yaani yule mwalimu wako alokufundisha Hesabu sio kwamba ndo atakuwa mkali wa hesabu kuliko wewe mwanzo mwisho, though ataendelea kuwa kifani bora kwako.

BTW, 2PAC was born a STAR. Kiujumla 2pac alikuwa better than Biggie " sky is the limit"
 
Nashukur sana mkuu kwa hiki ulichokiandika, kijana anaonekana mengi hayajui kuhusu mziki huu wa Hip Hop.
Ila nimeshampa somo kweny post ya hapo juu namb #153

[emoji16][emoji16]alafu nimegundua tunamuelewesha mtu anayejua ukweli sema kaamua kukaza fuvu uzuri hakuna asie jua ukubwa wa Pac kwenye game
 
2 pac anaonekana ni mkali zaidi kwa sababu alitangulia kupigwa risasi kabla ya big. So yeyote aliyetangulia kupigwa risasi katicya hao lazima angekuwa ni maarufu tu.
Siku Pac alipotoa ngoma ya Hit em up Marekani ilitikisika! HAKUNA WA KULINGANISHWA NA PAC!
 
Umeandika ukweli mtupu mkuu.
 
[emoji16][emoji16]alafu nimegundua tunamuelewesha mtu anayejua ukweli sema kaamua kukaza fuvu uzuri hakuna asie jua ukubwa wa Pac kwenye game
Hakika hakuna asiejua, hata Big mwenyew alikuwa analijua hili. Lkn alikomaa ili angalau na yey aweze kupata jina kupitia beef lake na Pac.
 
Siku Pac alipotoa ngoma ya Hit em up Marekani ilitikisika! HAKUNA WA KULINGANISHWA NA PAC!
Uliloongea ni kweli mtupu. Ile ngoma ilisababisha studio zote za radio zipige ngoma nyingine yoyote zaidi ya ile ya Pac. Big alitaman ardhi ipasuke akajifiche chini ya mchanga.
 
Ok mkuu, kwa upande wangu top 5 ni

1) 2Pac Shakur
2) Nas escoba
3) Notorious B.IG
4) Big Punish
5) Easy E
6) Dr Dree
7) Jay z & DMX
8) Snoop
9) 50 Cent
10) Eminem & Lil wayne
Top 5 halafu unataja watu 12? Dre na Easy E kwenye top 10? Anyway ni listi yako ngoja ninyamaze.
 
Umeandila utumbo mtupu. Eminem katokea Detroit, Michigan, hajatokea New York. Halafu Jay kaanza way back kabla ya Eminem, unawawekaje kundi moja?
 
Kama ishu ni kutangulia then kina KRS 1, LL Cool J, Rakim, Kool G Rap, Big L na Big Daddy Kane wanastahili sifa kuliko Tupac.
 
Top 5 halafu unataja watu 12? Dre na Easy E kwenye top 10? Anyway ni listi yako ngoja ninyamaze.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ amna mkuu huu ni mtazamo wangu tu, japo na wewe unaweza kuweka mtazamo wako hapo chini hahahaha
 
Kama ishu ni kutangulia then kina KRS 1, LL Cool J, Rakim, Kool G Rap, Big L na Big Daddy Kane wanastahili sifa kuliko Tupac.
Amna mkuu ishu hapa ni uwezo tu wa msanii, na sio swala la kutangulia wala kuchelewa.
 
Umeandila utumbo mtupu. Eminem katokea Detroit, Michigan, hajatokea New York. Halafu Jay kaanza way back kabla ya Eminem, unawawekaje kundi moja?

Ahsante, nashukulu kama niandikacho ni utumbo ila swali lako la kwanza nshatolea majibu thread ya juu,
Kuhusu Jay na Em nenda kafatilie R.D album ya Jay ilikua mwaka gani na Infinite ya Em ilikua mwaka gani alafu uje uniambie huo mda Pac alikua yupo wapi.
 
Kama ishu ni kutangulia then kina KRS 1, LL Cool J, Rakim, Kool G Rap, Big L na Big Daddy Kane wanastahili sifa kuliko Tupac.

Yeap wanaheshima zao wanazo stahili na wanapewa mpaka now na 2pac anaheshima yake anayo stahili na apewe, na hata hao waliomfata wanaheshima yao wanayo stahili kil mmoja hawatakiwi kuvunjiwa heshima zao kila mmoja kwa nafasi yake.

Naona shida ni tupac kung'aa zaid kuliko hao ndo kinachowaumiza, bas pambana kuprove wrong kitu walichoshidwa odds wake wote tangu yupo hai hadi wakaona wamuue but he still shining..
 
Pac ataendelea kuwa king wa hip hop. Almost 30 years sasa hana mbadala.
 
Naomba Eminem usimuingize ktk huu mjadala.

Yule ana Dunia yake ya kipekee
 
Kuna watu humu wameskiliza nyimbo mbili tatu za Pac na BIG bas wanajiona tyr washakuw wataalam wa HIPHOP na ni WAHENGA wa hii sanaa.. Kwamba wanawajua MARAPA wote wakali wa enzi hizo mpka sasa.

Kitu ambacho si kweli.

Mbili story za vijiweni + Google vinaleta mkanganyiko sana.

Kwanza nimeshangaa sana.. Kusema BIG ana Flow .. Nimeshangaa EMINEM kuwekwa ktk kundi la akina lil Wayne..

Pia nimeshangaa kuona Kendrick akibezwa.. Et hajui RAP.

Ukisema FLOW kali za RAP mweke BIG na Snoop Double G Y... utasema nan ana flow kali?!!!

Sijaona Mchambuzi wa HIPHOP Aliyekwiva.

Ni hayo.

(karibu ktk Mtanange wa kubishana kwa HOJA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…