Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Hakuna aliesema nas hajui... ila kwenye muziki wa hip hop tupac ni icon... uez kuzungumzia hiphop bila kumuhusisha pac
Siku zote mtu hujilinganisha na yule anaemzidi. Kwahiyo kitendo cha Nas kujilinganisha na Pac, hii ni ishara kuwa Nas mwenyew anamkubali na kumheshimu Pac.
 

Attachments

  • images (29).jpeg
    images (29).jpeg
    33.7 KB · Views: 10
  • images (32).jpeg
    images (32).jpeg
    17.1 KB · Views: 9
Pac ni level ya kina Bob Marley na wale watu wachache wenye akili kubwa. Pac alikuwa muwazi kwa kila kitu, hakupenda kuficha au kuogopa kupinga uonevu uwe wa rangi au wa jinsia ni lazima ataongea tu kupitia nyimbo zake. Pac alikuwa mtetezi wa haki za watu weusi, mtetezi wa latino na wale wote waliokuwa wananyimwa haki zao. Pac alikuwa mtetezi pia wa haki za wanawake, ukiisikiliza baby don't cry, ukiisikiliza keep ya head na nyingine nyingi ameimba kuwatetea wanawake waliokuwa wananyanyaswa na waume zao. So mtu mwenye akili hawezi kumuweka Big katika level za mtu mwenye akili kubwa kama Pac. Big alichoimba kama nilivyosema huko juu ilikuwa ni kuzungumzia maisha yake ya mtaani na hapo mengine alikuwa anaimba tu ila hayana uhalisia wowote. Mfano Big alikuwa anaimba kuwa yeye ni gangastar alieheshimika na kuogopeka, lakini siku alipohojiwa mama yake alisema kwamba Big alikuwa mtu wa kawaida tu. Yale aliyokuwa anaimba mengi hayakuwa na uhalisia wowote na maisha yake, jamaa alikuwa bonge nyanya tu aliefunzwa mbinu za kivita na Pac. Pac miaka 13 kaaondoka kwao (new york) kwenda kutafuta maisha katika miji mingine huko Auckland bila kuwa na ndugu hata mmoja, na alivyofika huko kutokana na talent yake, ujanja wake, na upambanaji wake akafanikiwa kujenga jina na kuheshimika mtaani, kama hiyo haitoshi Pac ameishi tena katika miji mingine tofauti ukiwemo alioishi mara ya mwisho ya LA California. So Big alikuwa mtoto wa mama, hakuwa na ujanja wa kukata kamba (kumuacha mama) kwenda kutafuta maisha kwengine tena sehem ambayo hana ndugu wala jamaa kama Pac. Mishe zake zote kafanyia New York tu kwao, ila Pac kapime mishe maeneo mbali mbali ya Amerika tena katika miji yenye makundi hatari hatari ya magenge yalioshindikana na bado Pac katusua na kujijengea heshima kubwa kwenye magenge hayo.

Kaka ilitoshe tu kusema Pac ilikua ni package kamili acha hawa wadogo waropoketuu.
 
Enzi hizo Big bado mshamba anaogopa hata camera, Pac anampa Big ujasiri wa kujiamini kwa lolote lile analofanya kama ziongeavyo picha hizi. Ilifika kipindi wameenda kutumia sehem Big anaambiwa na Pac achague kile ambacho angependa kutumia siku ile, big kwa kutojiamini sana akaagiza maji ya kunywa na sigara hapo pichani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwanza ichek koba Pac ilivotupia🫡
 
Enzi hizo Big bado mshamba anaogopa hata camera, Pac anampa Big ujasiri wa kujiamini kwa lolote lile analofanya kama ziongeavyo picha hizi. Ilifika kipindi wameenda kutumia sehem Big anaambiwa na Pac achague kile ambacho angependa kutumia siku ile, big kwa kutojiamini sana akaagiza maji ya kunywa na sigara hapo pichani 😂😂😂😂.
Kwenye hizo picha Big anaonekana wa kuja sana ,2Pac amechangamkia camera na mikato yake ya kijanja.
 
ile michano kwenye HIT EM UP daaa !!! jamaa alikuw mhuni vibaya mno.sio hawa marapa wakiwa wanakuchana wanaficha ficha unabaki unajiuliza kanichana mimi au kamchana fulan

sasa mwamba yeye alikuwa anaanza na jina la mhusika ,halafu zinafuata mazafacka sasa[emoji3]

na ndivyo maisha yanavyotakiwa yawe,nikikosea nichane sio kuniwekea mafumbo kama hawa marappa wa kibongo.
"Ain't no nigga like me, fvck Jay Z
He broke and I smoke daily, baby, let's be friends" [emoji23][emoji23]TUPAC-FvCK FRIENDS
 
nadhani sasa kuna haja ya uzi, tukiwaachia muendelee kupotosha uma namna hiii watu wanaweza amini kuwa msemacho ni kweli wakati sivyo.

Em alimcopy pac na hujazungumzia ni Nyimbo ipi, ila umesema sijui rap cartoon hivi rap cartoon vile.......
em wa 2012 kushuka chini?
huyo ndio Em mwenye the eminem show, relapse, na album kali nyingine ambazo sidhani kama ni katuni kwako.

pac alikuwa yupo concious ndio, more kama mwanaharakati kuliko msanii.
ukiskiliza album ya kwanza 2paclypse hadi ya mwisho akiwa hai the don killuminant, utachoka ladha ni ile ile style ya uimbaji ni ile ile.


nowhere near Nas, Em, BIg hao wamemuacha kilometer nyingi kwangu kama mpezi na mnazi wa hiphop.
lifestyle yake ndio imempa umaarufu, nna uhakika kuna watu wanajua kuhusu kifo chake ila hawajui chochotee kuhusu nyimbo zake nna hawataki kujua labda.
 
nadhani sasa kuna haja ya uzi, tukiwaachia muendelee kupotosha uma namna hiii watu wanaweza amini kuwa msemacho ni kweli wakati sivyo.

Em alimcopy pac na hujazungumzia ni Nyimbo ipi, ila umesema sijui rap cartoon hivi rap cartoon vile.......
em wa 2012 kushuka chini?
huyo ndio Em mwenye the eminem show, relapse, na album kali nyingine ambazo sidhani kama ni katuni kwako.

pac alikuwa yupo concious ndio, more kama mwanaharakati kuliko msanii.
ukiskiliza album ya kwanza 2paclypse hadi ya mwisho akiwa hai the don killuminant, utachoka ladha ni ile ile style ya uimbaji ni ile ile.


nowhere near Nas, Em, BIg hao wamemuacha kilometer nyingi kwangu kama mpezi na mnazi wa hiphop.
lifestyle yake ndio imempa umaarufu, nna uhakika kuna watu wanajua kuhusu kifo chake ila hawajui chochotee kuhusu nyimbo zake nna hawataki kujua labda.
2PaC ana nyota kali ya umaarufu unakuta muhuni mtaani anajiita 2paC ila hajui hata ngoma moja ya Pac .
 
2PaC ana nyota kali ya umaarufu unakuta muhuni mtaani anajiita 2paC ila hajui hata ngoma moja ya Pac .
ndio nachosemea hapa, watu wanahadaika na nyota ila kimuziki ni level ya kawaida tu.......
binafsi navutiwa zaidi na interviews zake kuliko ngoma zake
 
Si ndio utuwekee tuone Big ashafanya mangapi mazuri ya kuigwa.
2pac ashaimba nyimbo za maana kama vile
1) Dear mama
2) Change
3) Ain't mad cha na nyingine nyingi za kumtetea mtu mweusi. 2pac ashawahi kuwapiga risasi maafisa wa polisi wawili kwa kisa cha kumkamata kijana mdogo mweusi na kuanza kumpa kipiga bila sababu. Kitu ambacho kilimuuzi 2pac aliekuwa anapita na kuwamiminia risasi, 2pac alifungwa kesi hii na baadae aliachiwa baada ya wale maofisa kuonekana walifanya kazi yao kinyume cha sheria. Kwamba washamfunga dogo pingu afu bado wanamshushia kipigo. So Big ashafanya yapi ya maana au nyimbo ipi ya maana kuhusu haki za watu weusi, jamii yake au hata kumuimbia mama yake.
Dear mama kila mwaka ikifika ile sikukuu ya mother's day huwa inapigwa na studio za dunia nzima, sasa Big yeye kaimba kipi cha maana cha kukumbukwa? Au wewe unasikiliza mdundo tu haujui maana ya kilichoimbwa?

Big na waimba hip hop nzima wa Marekani hawana ujanja au uwezo wa kuweza kuongea maneno ya aina hii hapo chini [emoji116]. Huyu alikuwa ni zaidi ya Professor wa hip hop na mwanamapinduzi wa kweli kabisa wa mfumo wa kidhalimu wa wazungu wa miaka ile, na alipambana kuhakikisha haki inapatikana bila kujali madhila aliyopita ya kubambikiwa kesi mbali mbali na serikali hiyo ili kumnyamanzisha. Tofauti na Big ambae alikuwa muoga, asieweza kutetea jamii yake, na mbaya zaidi alikuwa mnafiki

Jamaa kazaliwa mwanaharakati, mama yake alikuwa black panther
 
Back
Top Bottom