Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Big alichokuwa anaweza ni kuruka ruka na kutingisha kichwa tu basi, au kidogo kuimba kuhusu maisha yake binafsi hakuna kingine.

Tofauti na Pac ambae aligusia political, ubaguzi wa rangi, aliimba nyimbo ya kuwaasa wazungu na mablack wawe kitu kimoja, wasibaguane maana mbele ya Mungu hakuna rangi iliyokuwa bora isipokuwa ni matendo yako tu ndo yatakuokoa, nyimbo hiyo ni CHANGE. Ameimba dear mama ambayo imekuwa kama kioo cha ulimwengu kwa mama zetu wote waliohai na waliokufa mpaka kupelekea kina Christian Bella, Banana Zoro, Mr Nice, GK na wengineo nao kuona umuhimu wa kuimba nyimbo za kuwasifu mama zao (zetu) Pac aliimba my unborn child ambapo ujumbe wake unatumiwa na wazazi wengi kwa watoto wao kule Marekani maana alitoa usia wa maana sana. Pac aliimba ain't mad cha pia ni ujumbe mzuri sana kwa vijana mabaru baru kutulia na kuweka akili chini ili kujenga maisha yao upya yalioharibiwa na madawa, wizi nk.

Ki ukweli ukona mtu anasema Big ni zaidi ya Pac basi ujue huyo sio mfuatiliaji au mjuaji wa maana ya miziki inayoimbwa na wasanii hao.
Hakika mkuu
 
Sisi tulioanza kufuatilia mziki wa hip hop toka miaka ya 90s tunamkubali sana huyu mwamba. Ukiona mtu anamkataa au kujaribu kumfananisha na wasanii wabovu kama Lil wayne, Eminem, Ja rule nk jua huyo ameanza kusikiliza na kufuatilia mziki wa rap miaka ya 2000s. Huyu mwamba hata kina Big, Nas, Mr P nk walikuwa wamshamshindwa kumdhibiti katika game la mziki.
Tupac ni legendary
 
Nikumbushe hv ameuza record ngapi vile huyo notorious BIG na jumla ana nyimbo ngapi...movie je anazo ngp vile nikumbushe tu....Tuzo je? Vp kuhusu ile museum ya Tupac Wake me when I'm free na vp kuhusu ile siku inayoazimishwa ya 2pac
Umeuliza maswali ya msingi, najua jamaa hawezi kujibu hata 1 😂😂😂
 
Huu uandishi wako inaonesha wewe ni kizazi cha 2000s.. mziki unao ujua ni wa akina lil wyne na drake.
Hata hao uliomtajia pengine hawajui kaandika kishabiki tu. Uandishi wake umekaa kisingeli singeli tu huyu, hana analojua kuhusu mziki wa hip hop mkuu.
 
Nikumbushe hv ameuza record ngapi vile huyo notorious BIG na jumla ana nyimbo ngapi...movie je anazo ngp vile nikumbushe tu....Tuzo je? Vp kuhusu ile museum ya Tupac Wake me when I'm free na vp kuhusu ile siku inayoazimishwa ya 2pac

Tatizo watoto hawa watoto wameanza KUSIKIA huu mziki wanajifany wajuaji wanatuona kaka zao tulio SIKILIZA mziki ni hatuna akili, mtu mwenye akili timamu hawez kumfananisha tupac na kitoto iko BIG kwa kilakitu kwanza wakae wakijua pac ndo dingi yao wote pili pac ilikua ni package ilio kamili kuanzia kwenye sauti( jamaa alikua na saut ya ushindi na kuhamasisha kama zakina martin rk yani akisema watu waaandamane watu wanafwata tuu) ukiacha ayo kwenye maandishi jamaa mpaka leo nawaza simmalizi alafu alikua na dis tracks package kwa maadui zake na alikua nyimbo za kuelemisha na kutia moyo( kwangu mimi napenda sana -mam dont cry na baby dont cry) kwa washabik zake kuanzia theme ya nyimbo mpaka mashairi pac alikua anakaa kwenye mada anaiongelea anaimaliza alafu uje umfananishe na uyo dogo alie jaribu kuongelea ma dada zetu single alafu nyimbo nzima hakuna alipostik kwenye mada na kuichambua kama nyimbo yenyewe ilivyosema "second chance" sasa sikiliza dear mama ya pac kwasbabu iyo ndo common unaijua hujifunze jinsi watu walivojua kusimama na mada moja na kuichambua na kuleta burudani na elimu ndani yake.

Uyo dogo big alikua ni freestyler tuu na support kubwa alipewa na maadui wa pac kutoka east na tupac naturally hakua na hueast wala huwest walimpandikizia tuu hao maadui zake sababu walitaka kumega mashabiki zake ili wapige ela nandomaana ukiangalia kuanziq kwa kina junior mafia,Big,Nas and etc woote hao hawakua na maadui nyuma yao maana hawakua na lakuchukiwa kos hawana maajabu kwa mtazamo wangu mimi ukiniambia uyo Big na records ya Badboy yote mi ntamchukua bossy wao DIDDY kwanza nashangaa sijui kwanin alisubir big afe ndo aanze kuimba maana anamfunika uyo dogo kwakila kitu kama we uyo apo juu anasema anapenda anapenda flow sijui kunata na beat bas aende akamsikilize dingi wa big uyo Diddy alafu amlinganishe na dogo sio 2Pac...PAC ni swala jingine sio wakulinganishwa na mtu kwanza pac aliingia kwa Suge sababu ya ulinzi tuu but he rise him self from the ground sio hao madogo.
 
Wewe umelewa mahaba, na hakuna chochote ntakachosema kukubadilisha.

Nitajie wimbo mmoja wa pac unaouzidi huu.
Sing about me im dying of thirst-K.Lamar
Aisee.. tupac unamlinganisha na kendric lamar??? Mtu ambae huyo kendric mwenyewe ni idol wale

Mashabiki wa muziki kweny kizazi cha trap mnashida sn na itoshe kusema HUJUI MUZIKI
 
Big alichokuwa anaweza ni kuruka ruka na kutingisha kichwa tu basi, au kidogo kuimba kuhusu maisha yake binafsi hakuna kingine.

Tofauti na Pac ambae aligusia political, ubaguzi wa rangi, aliimba nyimbo ya kuwaasa wazungu na mablack wawe kitu kimoja, wasibaguane maana mbele ya Mungu hakuna rangi iliyokuwa bora isipokuwa ni matendo yako tu ndo yatakuokoa, nyimbo hiyo ni CHANGE. Ameimba dear mama ambayo imekuwa kama kioo cha ulimwengu kwa mama zetu wote waliohai na waliokufa mpaka kupelekea kina Christian Bella, Banana Zoro, Mr Nice, GK na wengineo nao kuona umuhimu wa kuimba nyimbo za kuwasifu mama zao (zetu) Pac aliimba my unborn child ambapo ujumbe wake unatumiwa na wazazi wengi kwa watoto wao kule Marekani maana alitoa usia wa maana sana. Pac aliimba ain't mad cha pia ni ujumbe mzuri sana kwa vijana mabaru baru kutulia na kuweka akili chini ili kujenga maisha yao upya yalioharibiwa na madawa, wizi nk.

Ki ukweli ukona mtu anasema Big ni zaidi ya Pac basi ujue huyo sio mfuatiliaji au mjuaji wa maana ya miziki inayoimbwa na wasanii hao.
Mtu anaemdisi tupac ni kwamba hajui mziki
 
mkali tuko mashabiki wa hip hop wngi ila unaonekna una mapnzi yako binafsi na 2pac
Nas hkuwa mkali kipindi icho ila for what NAS has done to this hip hop game up to now Put some respect on his Name
Kila mtu ni mkali kwa muda flani not forever ndo mziki
Hakuna aliesema nas hajui... ila kwenye muziki wa hip hop tupac ni icon... uez kuzungumzia hiphop bila kumuhusisha pac
 
Nas namkubali pia mkuu. Kwangu mimi nampa nafasi ya pili after Pac, japo kuna watoto wadogo watakuja kukwambia kuwa Nas anashindwa hata na Eminem, Wayne nk.
Mkuu naomba untajie top 5 yko ya muda wote kwa wasanii wa hiphop
 
Tatizo watoto hawa watoto wameanza KUSIKIA huu mziki wanajifany wajuaji wanatuona kaka zao tulio SIKILIZA mziki ni hatuna akili, mtu mwenye akili timamu hawez kumfananisha tupac na kitoto iko BIG kwa kilakitu kwanza wakae wakijua pac ndo dingi yao wote pili pac ilikua ni package ilio kamili kuanzia kwenye sauti( jamaa alikua na saut ya ushindi na kuhamasisha kama zakina martin rk yani akisema watu waaandamane watu wanafwata tuu) ukiacha ayo kwenye maandishi jamaa mpaka leo nawaza simmalizi alafu alikua na dis tracks package kwa maadui zake na alikua nyimbo za kuelemisha na kutia moyo( kwangu mimi napenda sana -mam dont cry na baby dont cry) kwa washabik zake kuanzia theme ya nyimbo mpaka mashairi pac alikua anakaa kwenye mada anaiongelea anaimaliza alafu uje umfananishe na uyo dogo alie jaribu kuongelea ma dada zetu single alafu nyimbo nzima hakuna alipostik kwenye mada na kuichambua kama nyimbo yenyewe ilivyosema "second chance" sasa sikiliza dear mama ya pac kwasbabu iyo ndo common unaijua hujifunze jinsi watu walivojua kusimama na mada moja na kuichambua na kuleta burudani na elimu ndani yake.

Uyo dogo big alikua ni freestyler tuu na support kubwa alipewa na maadui wa pac kutoka east na tupac naturally hakua na hueast wala huwest walimpandikizia tuu hao maadui zake sababu walitaka kumega mashabiki zake ili wapige ela nandomaana ukiangalia kuanziq kwa kina junior mafia,Big,Nas and etc woote hao hawakua na maadui nyuma yao maana hawakua na lakuchukiwa kos hawana maajabu kwa mtazamo wangu mimi ukiniambia uyo Big na records ya Badboy yote mi ntamchukua bossy wao DIDDY kwanza nashangaa sijui kwanin alisubir big afe ndo aanze kuimba maana anamfunika uyo dogo kwakila kitu kama we uyo apo juu anasema anapenda anapenda flow sijui kunata na beat bas aende akamsikilize dingi wa big uyo Diddy alafu amlinganishe na dogo sio 2Pac...PAC ni swala jingine sio wakulinganishwa na mtu kwanza pac aliingia kwa Suge sababu ya ulinzi tuu but he rise him self from the ground sio hao madogo.
Pac ni level ya kina Bob Marley na wale watu wachache wenye akili kubwa. Pac alikuwa muwazi kwa kila kitu, hakupenda kuficha au kuogopa kupinga uonevu uwe wa rangi au wa jinsia ni lazima ataongea tu kupitia nyimbo zake. Pac alikuwa mtetezi wa haki za watu weusi, mtetezi wa latino na wale wote waliokuwa wananyimwa haki zao. Pac alikuwa mtetezi pia wa haki za wanawake, ukiisikiliza baby don't cry, ukiisikiliza keep ya head na nyingine nyingi ameimba kuwatetea wanawake waliokuwa wananyanyaswa na waume zao. So mtu mwenye akili hawezi kumuweka Big katika level za mtu mwenye akili kubwa kama Pac. Big alichoimba kama nilivyosema huko juu ilikuwa ni kuzungumzia maisha yake ya mtaani na hapo mengine alikuwa anaimba tu ila hayana uhalisia wowote. Mfano Big alikuwa anaimba kuwa yeye ni gangastar alieheshimika na kuogopeka, lakini siku alipohojiwa mama yake alisema kwamba Big alikuwa mtu wa kawaida tu. Yale aliyokuwa anaimba mengi hayakuwa na uhalisia wowote na maisha yake, jamaa alikuwa bonge nyanya tu aliefunzwa mbinu za kivita na Pac. Pac miaka 13 kaaondoka kwao (new york) kwenda kutafuta maisha katika miji mingine huko Auckland bila kuwa na ndugu hata mmoja, na alivyofika huko kutokana na talent yake, ujanja wake, na upambanaji wake akafanikiwa kujenga jina na kuheshimika mtaani, kama hiyo haitoshi Pac ameishi tena katika miji mingine tofauti ukiwemo alioishi mara ya mwisho ya LA California. So Big alikuwa mtoto wa mama, hakuwa na ujanja wa kukata kamba (kumuacha mama) kwenda kutafuta maisha kwengine tena sehem ambayo hana ndugu wala jamaa kama Pac. Mishe zake zote kafanyia New York tu kwao, ila Pac kapime mishe maeneo mbali mbali ya Amerika tena katika miji yenye makundi hatari hatari ya magenge yalioshindikana na bado Pac katusua na kujijengea heshima kubwa kwenye magenge hayo.
 
2pac ndio alimpa show ya kwanza B.I.G aperform
Enzi hizo Big bado mshamba anaogopa hata camera, Pac anampa Big ujasiri wa kujiamini kwa lolote lile analofanya kama ziongeavyo picha hizi. Ilifika kipindi wameenda kutumia sehem Big anaambiwa na Pac achague kile ambacho angependa kutumia siku ile, big kwa kutojiamini sana akaagiza maji ya kunywa na sigara hapo pichani 😂😂😂😂.
 
Attachments

  • images (44).jpeg
    images (44).jpeg
    28 KB · Views: 19
  • images (45).jpeg
    images (45).jpeg
    28.6 KB · Views: 18
  • images (43).jpeg
    images (43).jpeg
    29.9 KB · Views: 17
  • images (40).jpeg
    images (40).jpeg
    32.9 KB · Views: 16
Aisee.. tupac unamlinganisha na kendric lamar??? Mtu ambae huyo kendric mwenyewe ni idol wale

Mashabiki wa muziki kweny kizazi cha trap mnashida sn na itoshe kusema HUJUI MUZIKI
Dogo anamzungumzia Kendrick Lamar ambae hana uwezo wa kusimama hata na Drake. Kweli mziki wa sasa umeingiliwa.
 
Back
Top Bottom