Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

kila kitu kinapita, ww amua kuwa kama tupac, ila tambua kuwa maisha ni yako , nafasi yako , hufanani na mtu! ww ni ww tu hapa duniani, usijisahau sana., unazaliwa, unaishi, unakufa ww kama ww,[emoji16][emoji849].amina.
 
Kwa big watu huwa wanafosi tu, ila pac ni mkali mnoo kwa big, sio mistari, sio flow, energy, kunata na biti.. Nyimbo pendwa kote huko pac anascore zaidi ya big.
Kama big alikua levels za pac kwanini ngoma zake zisiwe maarufu kama pac, ni mpaka uwe msikilizaji hip hop kweli ndio utazijua ngoma za big.

Hilo moja, mziki mzuri huwa na sifa mbili
1.mtamu masikioni, hapa unakuta mtu anapenda ngoma ya kilingala, ama ya kizungu na wala hajui kinazungumziwa nini mule, mradi tu mtamu masikioni... Ngoma nyingi za pac ni tamu masikioni.
2. Message.. Mtu anasikiliza ujumbe, kile kilichoimbwa, hapa unaweza mkuta mtu nasikiliza ngoma ya Bob, au hata ya fall ipupa, masikioni huelewi ila yeye muelewaji kavutika na ujumbe, hapa pia pac kamuacha big.
Nyongeza kwenye hip hop kuna ishu za vina, kucheza na maneno na kadhalika.. Maneno kuntu, mistari konzi, mistari fikirishi, fid q hapa bongo nahisi ndio kama mfalme sijui, jaribu kuivutia mistari yake huenda ukanielewa, Mfano Wayne kwenye no love anasema.. Bitch you try to kick me while I'm down I will break your leg, I stick to the script, you nigga skip sceens, 🤣

Mie nikisikiliza flow za big Kisha pac, naona bado pac ana flow tamu zaidi, sikiliza ain't mad at cha, all eyez on me, me against the world, Dea mama, hit em up.. Yaan mtu anaflow, hata sijui nikuelezeje.

Kama big wangekuwa wa kiwango cha pac basi kwenye mauzo na kadhalika huko angekuwa wanafanana nae.

JAYJAY na makaveli10 uzi huu lazima ashinde 2pac mmetisha
 
Kuna watu humu wameskiliza nyimbo mbili tatu za Pac na BIG bas wanajiona tyr washakuw wataalam wa HIPHOP na ni WAHENGA wa hii sanaa.. Kwamba wanawajua MARAPA wote wakali wa enzi hizo mpka sasa.

Kitu ambacho si kweli.

Mbili story za vijiweni + Google vinaleta mkanganyiko sana.

Kwanza nimeshangaa sana.. Kusema BIG ana Flow .. Nimeshangaa EMINEM kuwekwa ktk kundi la akina lil Wayne..

Pia nimeshangaa kuona Kendrick akibezwa.. Et hajui RAP.

Ukisema FLOW kali za RAP mweke BIG na Snoop Double G Y... utasema nan ana flow kali?!!!

Sijaona Mchambuzi wa HIPHOP Aliyekwiva.

Ni hayo.

(karibu ktk Mtanange wa kubishana kwa HOJA)
Ok mkuu huu ni mtizamo wako na tunauheshimu. Ila sasa haya mambo naweza kusema hayana mjuzi mmoja au wawili.
Mfano wewe unaweza kujiona unaujua zaidi na mziki wa Rap na ukaweka list yako unayoiamini, lakini akaja mwingine na yeye mjuzi vilevile akaja na list yake ambayo ni tofauti na ya kwako.

Na hii sio kwa wewe au mimi tu, hata huko Marekani kwa wajuzi wenyewe pia hali ni hiyo hiyo ambayo naiongelea hapa.

So acha niheshimu kila unachoamini, na wewe uheshimu kila ninachoamini. Huo ndio uungwana.
 
Kwa big watu huwa wanafosi tu, ila pac ni kali mnoo kwa big, sio mistari, sio flow, energy, kunata na biti.. Nyimbo pendwa kote huko pac anascore zaidi ya big.
Kama big alikua levels za pac kwanini ngoma zake zisiwe maarufu kama pac, ni mpaka uwe msikilizaji hip hop kweli ndio utajijua ngoma za big.

Hilo moja, mziki mzuri huwa na sifa mbili
1.matamu masikioni, hapa unakuta mtu anapenda ngoma ya kilingala, ama ya kizungu na wala hajui kinazungumziwa nini mule, mradi tu matamu masikioni... Ngoma nyingi za pac ni tamu masikioni.
2. Message.. Mtu anasikiliza ujumbe, kile kilichoimbwa, hapa unaweza mkuta mtu nasikiliza ngoma ya Bob, au hata ya fall ipupa, masikioni huelewi ila yeye muelewaji kavutika na ujumbe, hapa pia pac kamuacha big.
NY ongeza kwenye hip hop kuna ishu za vina, kucheza na maneno na kadhalika.. Maneno kuntu, mistari konzi, mistari fikirishi, fid q hapa bongo nahisi ndio kama mfalme sijui, jaribu kuivutia mistari yake huenda ukanielewa, Mfano Wayne kwenye no love anasema.. Bitch you try to kick me while I'm down I will break your leg.

Mie nikisikiliza flow za big Kisha pac, naona bado pac ana flow tamu zaidi, sikiliza ain't mad at cha, all eyez on me, me against the world, Dea mama, hit em up.. Yaan mtu anaflow, hata sijui nikuelezeje.

Kama big wangekuwa wa kiwango cha pac basi kwenye mauzo na kadhalika huko angekuwa wanafanana nae.
Pac ni kioo ambacho kila rapa alietaka kutoka kimziki alitazamia kwake.

Jay z alikuwa anajifanya hardcore uchwara akaona hatoki, akaja na "Me n my girlfriend" ambayo ni copy ya 2pac ndo akaanza sasa kujulikana katika ulimwengu wa mziki wa hiphop.
 
ila treach mkuu mbona ni mara chache sana watu kumtaja kama ni best or greatest of all the time cjawahikusikia jamaa akipewa masifa sana ila top 50 anaingia.
Naona umemtupa mbali. Kwenye top 50 😂😂😂
 
Pac ni kioo ambacho kila rapa alietaka kutoka kimziki alitazamia kwake.

Jay z alikuwa anajifanya hardcore uchwara akaona hatoki, akaja na "Me n my girlfriend" ambayo ni copy ya 2pac ndo akaanza sasa kujulikana katika ulimwengu wa mziki wa hiphop.
Another bullshit. Ni kweli Jay ali-sample wimbo wa Pac, lakini kusema eti "03 Bonnie and Clyde" ndio wimbo uliomtoa Jay ni uongo mkubwa. Huo wimbo uko kwenye albamu ya 6 ya Jay inayoitwa "The Blueprint 2: The Gift and The Curse" na ilitoka mwaka 2002. Albamu ya kwanza ya Jay "Reasonable Doubt" ilitoka mwaka 1996. Unataka kudanganya kwamba albamu zote tano za mwanzo Jay alikuwa bado hajajulikana mpaka alipotoa "The Blueprint 2"? Nina wasiwasi sana knowledge yako kuhusu hip hop.
 
Back
Top Bottom