Unajua Mimi ni Nani? au Una mtu pale? Rais Samia hii ndio dawa yake, imepatikana

Unajua Mimi ni Nani? au Una mtu pale? Rais Samia hii ndio dawa yake, imepatikana

Me nilijua ni serikali ndo imeanzisha kumbe ni kama mapendekezo ya mwananchi mwenzangi
 
Maoni yangu ni kwamba imekaa vzr sana itasaidiano endapo itafanyia implementation
 
Salary Slip njoo tia neno hapa, naona kule kuna 'sema na waziri' huku kuna 'sema na Rais' hahahaha
 
Back
Top Bottom