Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Vipi kuhusu watu wanaozaliwa vipofu macho yao hayawezi kutazama na kutofautisha rangi ?

Je hao wana kosa gani? Ama kwa sababu gani wameumbwa hawajakamilika kama wenzao
Huo ni uamuzi wake yeye Mwenyewe[Muumba] na yeye tu ndo anajua kwanini unaumba hivo.
Hivi wewe unajua siku yako ya kufa? Unajua kifo chako kitakuaje?
Hicho kifo nani au nini kilikiweka?
 
Kijana unatikisa mbuyu umejikuta unatikisa makalio yako mwenyewe.

Hata kama huamini achana na hilo DUDE linaloitwa MUNGU. Lipo nje ya uwezo wako kulielewa.

tafuta muda wa peke yako, uyaangalie mazingira yako milima na mabonde, nyota angani, wanyama, samaki, wadudu, ndege, n.k (angalia usiku na muda wa mchana)

Utaanza taratibu kugundua kuwa kumuamini MUNGU inahitaji kuuvua huo ujuaji wako.

tuliza akili kijana!
Unadhani uwepo wa nyota utapingana vipi na madai yangu hapo juu?
 
Kwanini unadhani lazima kuwe na "nani" wa kuweka hizo mechanisms?
Kwasababu hojayako ilijielekeza kwa Mungu na mwanadamu so siwezi kuuliza kwa kutumia "nini" ila ukitaka naweza kukuuliza pia
Nini kilitengeneza au kiliweka hizo mechanisms?
 
Ukisema MUNGU aliumbwa na binadamu njoo na majibu yote yenye utata kuhusu ulimwengu na mauti.

Kama huna majibu yaliyopelekea watu kuamini uwepo wa MUNGU ni kupoteza muda.

NB: Watu wanaamini kuhusu MUNGU sababu binadamu amefeli kujibu ulimwengu ni nn na kifo ni nn na vimetokana na nn.
 
Kwanini iwe ni lazima kujua majibu ya ulimwengu na kifo ili kuipinga dhana ya uwepo wa Mungu?

Unajua kuwa tunaweza kujua uongo wa kitu bila kujua ukweli halisi ni upi?
 
Huo ni uamuzi wake yeye Mwenyewe[Muumba] na yeye tu ndo anajua kwanini unaumba hivo.
Hivi wewe unajua siku yako ya kufa? Unajua kifo chako kitakuaje?
Hicho kifo nani au nini kilikiweka?

Nimekuuliza swali la kipofu. Umejibu juu juu kwa jibu jepesi sana.

Mimi sio muanzisha hoja.. ila kwa hilo jibu sizani kama unaweza mshawishi mtu mwenye akili alikubali.

Jibu la swali lako kuhusu kifo. Kifo kipo sababu hakuna kinachodumu milele. Hata vitu tunavyovitengeneza sisi binadamu kama bulb, magari, simu, etc huwa kuna muda wake vina kufa tu.
 
Kwasababu hojayako ilijielekeza kwa Mungu na mwanadamu so siwezi kuuliza kwa kutumia "nini" ila ukitaka naweza kukuuliza pia
Nini kilitengeneza au kiliweka hizo mechanisms?
Mimi kutokujua mechanisim hizo zilianzaje kunafanya muanzilishi awe ni mungu?
 
Jinsi uulizaji wako ulivyo wa kitoto na usio wa kufikirisha napenda kukushauri achana na hili jukwaa halikufai uzi kama huu usio na kichwa wala miguu kapost FB Uko utapata wa kukuunga hoja yako
Hujaonyesha utoto wangu ulipo....
 
ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.

Nawasilisha.
Wewe mwenyewe ullikujaje duniani?

Ikiwa Mungu aliunbwa wewe, wewe mwenyewe uliumbwa na nani?

Huna jipya ndugu, Mungu yupo jana leo na hata milele.

Acha upumbavu
 
Ulishawahi kuutafakari muundo wa mwili wako unavofanya kazi?
1. Jiulize jinsi macho yako yanavoweza kutazama na kutofautisha rangi
2. Ulimi wako unawezaje kutofautisha chungu chachu na tamu
3. Mpangilio wa vitu[moyo, mapafu, ini, nk] katika mwili wako nan alivipanga?
4. Mpangilio wa nerve sysytem na jinsi znavofanya kazi nani alitengeneza?
5. Fikiria unakula ugali mwili unatenganisha kinachohitajika na kisicho hitajika kinatolewa kama kinyesi halafu unasema hakuna mungu.
Tafakari kijana
Mzee usimsingizie Mungu kwenye vitu hivyo vya mwili wa binadamu ni Evolution tuu
 
Back
Top Bottom