Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Acha kujificha kwenye maneno yasiyo na msingi. Unataka kujua kuhusu mwanzo wa kutajwa mungu lazima uwe specific mungu yupi, babu zako walitaja mizimu kabla hawajetewa biblia na quran.
Kuna mungu wa dini zaidi ya 4000 wenye historia tofauti kulingana na asili ya binadamu husika.
Kijana inakuwaje mjinga kiasi hichi ? Unakubali kulikuwa na mwanadamu wa kwanza ? Sasa vipi wasiwepo watu au jamii ya kwanza kumuongelea Mungu ? Swali langu liko wazi sana na nikakusaidia ya kuwa Buddha alianza kuwepo kabla ya Hindu na Wakristo Bali mpaka nyinyi. Hata hao kina Thales, Plato, Socrates walio kuja kuelezea kuhusu chanzo Cha uhai nyuma Yao au kabla Yao walikuwepo mitume na manabii walio fundisha kuhusu uwepo wa Mungu.

Sasa jibu swali langu la msingi, ni kina nani wa kwanza mumuumba Mungu baada ya kukosa majibu juu ya kifo. Sasa msiwe mnaandika andika tu ujinga ujinga na mnashidwa kuutetea.
 
Wanasayansi kushindwa kutengeneza bawa la mbu kunamfanya mungu awe muumba wa hilo bawa?

Ukweli unapatikana wapi?
Bila shaka kabisa.

Ukweli ni uhalisia na upo ni kuchukua tu na kutumia akili yako kwa usahihi. Shida yenu hamfikirii kwa akili zenu Bali kwa mawazo ya watu walio shindwa na kukosea huko zamani.
 
Kwanini unanihoji kuelezea kitu ambacho sijakitolea madai?
Unaniuliza " nini" ina sifa gani wakati hakuna mahala nimeitaja hiyo " nini"
Rejea tulipo Toka. Naona huna Cha kunijibu unanipotezea muda.
 
Kila mtu ana mpaka wake, mimi nishajiwekea mpaka kuwa siwezi kupoteza muda wangu kubishana na watu wanaopinga sayansi.
Watu wanaomini sijui dunia ni flat, dunia ina miaka 6000, Dunia haizunguki jua nk. Huwa sipotezi Muda wangu mtukufu kujadiliana nao hayo maswala....utanisamehe mkuu, Huo ni mpaka wangu binafsi.
Nimecheki sana, Sasa kama una hoja za Kisayansi uziweke hapa uone kama napinga Sayansi. Shida yenu mnapenda stori za Wanasayansi na Maigizo Yao, sisi tunahoji na kitafiti. Mimi naishi katika Sayansi ila ujinga na utoto sipendi.

Wewe mimi nakupa miaka mia uje uthibitishe ya kuwa Dunia inazunguka.

Kazi yangu nimemaliza.

Shukrani.
 
Kitendo cha kusema mimi najua tayari ni kujionesha unajua.
Na kama hujui unachodhani unajua, huwezi kujua kama hujui bali utajua kuwa unajua.

Kwahyo hata wewe huna tofauti na unachokikemea.
Niko tofauti pakubwa sana na wewe sababu najua hiki ninachokijadili na ninaweza kukijengea hoja tofauti na wewe.
 
Ukiuliza hili swali kwa waliozoea kula sadaka watasema ni swali la kitoto. Wanataka ukariri tu kuwa Mungu yupo na ni muweza wa vyote.
 
Kijana inakuwaje mjinga kiasi hichi ? Unakubali kulikuwa na mwanadamu wa kwanza ? Sasa vipi wasiwepo watu au jamii ya kwanza kumuongelea Mungu ? Swali langu liko wazi sana na nikakusaidia ya kuwa Buddha alianza kuwepo kabla ya Hindu na Wakristo Bali mpaka nyinyi. Hata hao kina Thales, Plato, Socrates walio kuja kuelezea kuhusu chanzo Cha uhai nyuma Yao au kabla Yao walikuwepo mitume na manabii walio fundisha kuhusu uwepo wa Mungu.

Sasa jibu swali langu la msingi, ni kina nani wa kwanza mumuumba Mungu baada ya kukosa majibu juu ya kifo. Sasa msiwe mnaandika andika tu ujinga ujinga na mnashidwa kuutetea.
Sijui imekuaje ila it's ludicrous that I have been having this discussion with you.
 
Usioonekana kwa macho ya nyama yaani ndani ya ulimwengu huu kuna ulimwengu mwingine maisha yanaendelea Ili kuuona hata kuungia ni lazima uwe na macho ya rohoni.
Pale kigamboni ferry mkono wa kulia zinapopaki boti za uvuvi kuelekea chuo cha Mwalimu Nyerere kuna mlango wa kuingia ulimwengu mwingine, pembeni Mwa ghorofa la bandarini baharini kuna mlango wa kuingia ulimwengu mwingine,kwa macho ya kawaida huwezi ona.
Viumbe vyenye uwezo wa kuona ulimwengu usioonekana ni watoto wadogo ambao awajaanza kuongea, vichaa, bubu, wachawi, waganga, watumishi original wa MUNGU,wanyama mfano mbwa,paka,nk
Hakuna ulimwengu usioonekana
 
Na haya ndio matatizo ya kuchunguza visivyochunguzika, haya tuanzie hapa hayo makosa ya kimantiki kwenye quran ni yepi?.
 
Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Chuma kinakwambia baada ya uchunguzi wa kina hatimae amegundua mungu ameumbwa na mwanadamu, mmmh.
 
Unazidi kuipa hoja yangu nguvu kuwa hizi imani zinasababishwa na uvivu wa kufikiri..

Unataka kusema kama jambo lipo mbali na upeo wetu tuliache kama lilivyo na tusihangaike kulijua tuiishie kuamini?
Utalijuaje wakati akili yako imefika mwisho? Wewe (amabaye sio mvivu wa kufikiri)umeulizwa Wewe umetokea wapi? Ukasema sijui, Sasa kwa Nini unasumbuka na Mambo makubwa wakati Hata hayo madogo huyajui. Tafakari tu kidogo jinsi uumbaji wako ulivyo wa ajabu. Tumefanywa kuwa zaidi ya kiwanda chochote hapa duniani.

Imagine tu mwanadamu ktk kutafuta kifaa Cha kufanya kazi ya figo anajaza vifaa chumba kizima na bado sio efficient. Lakini NIKO AMABAYE NIKO ameyengeneza kakitu kadogo Kama ngumi ya MTOTO kako pale Hata miaka 100. Anza na haya ya we ulivyo, kidogo akili yako itakaa sawa. Wewe ni SISIMIZI kwenye Airbus
 
Back
Top Bottom