Kijana inakuwaje mjinga kiasi hichi ? Unakubali kulikuwa na mwanadamu wa kwanza ? Sasa vipi wasiwepo watu au jamii ya kwanza kumuongelea Mungu ? Swali langu liko wazi sana na nikakusaidia ya kuwa Buddha alianza kuwepo kabla ya Hindu na Wakristo Bali mpaka nyinyi. Hata hao kina Thales, Plato, Socrates walio kuja kuelezea kuhusu chanzo Cha uhai nyuma Yao au kabla Yao walikuwepo mitume na manabii walio fundisha kuhusu uwepo wa Mungu.Acha kujificha kwenye maneno yasiyo na msingi. Unataka kujua kuhusu mwanzo wa kutajwa mungu lazima uwe specific mungu yupi, babu zako walitaja mizimu kabla hawajetewa biblia na quran.
Kuna mungu wa dini zaidi ya 4000 wenye historia tofauti kulingana na asili ya binadamu husika.
Sasa jibu swali langu la msingi, ni kina nani wa kwanza mumuumba Mungu baada ya kukosa majibu juu ya kifo. Sasa msiwe mnaandika andika tu ujinga ujinga na mnashidwa kuutetea.