Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #121
Inatisha mno, tuombeane tu πNimetoka kuangalia habari kwenye chanel ya Millard ayo, kuna mtu kafukuliwa kwenye nyumba ya mtu, maisha haya tulipofikia tuombe tu neema za mwenyezi Mungu
Acheni ku-overthink kila kitu jamani!Hahaha
Aalfu hapa unajifanya eti kutoa details sijui majina
Aaaah wapi...π
Na ikawe hivyo Inshallah!Watakuja kuyapata kupitia uzi huu.
Daaah poleni π π muda mrefu sana umepita.Kaka yake Mama alipotelea Zambia,hatujui ni mzima au amekufa....huyu mjomba kwa story za mama ambaye alikuwa wa mwisho kwao, siku alipoenda kumuandikisha shule ya msingi mwaka 1964 ndiyo siku aliondoka kwenda kutafuta maisha, mama hajawai kumuona tena mpaka leo.
Shangazi yetu aliondoka inasemekana miaka ya 1970 nyumbani kwenda Tanga,kwa story za Mama shangazi yetu huyo Dada yake Baba, mara ya mwisho aliwasiliana na mama kwa njia ya barua mwaka 1986, mpaka leo hatujui kama yupo hai au alikufa
Inaonekana alidhamiria kuondoka π kulikua na migogoro au matatizo ya familia.Bibi yangu aliondoka nyumbani kaacha ATM cards na passwords zake, mpaka leo ni miaka tele hajaonekana tena.
Hakuna mgogoro wowote, aliondoka tu ghafla.Inaonekana alidhamiria kuondoka π kulikua na migogoro au matatizo ya familia.
Au aliondoka ghafla tu bila sababu?
Naamini aliacha maswali mengi kuliko majibu, poleni sana πHakuna mgogoro wowote, aliondoka tu ghafla.
Wapo wa calibre hiyo hiyo, kutafuta taarifa za chini...Kwa hali aliyokua nayo ukichanganya na elimu yake ndogo hawezi kuwa spy
π―Wapo wa calibre hiyo hiyo, kutafuta taarifa za chini...
Ahsante ππPole sana ππ
Ni kweli kabisaDaaah hiyo ni aina ya investigative journalism ambayo bongo hatuna kabisa, waandishi wetu ni kama hao akina "Manara Tv" sasa huo uchimbuaji na ufuatiliaji wa kiundani hivyo watauweza wapi.
Umesema sahihi kabisa πNi kweli kabisa
Kina Ayo hao
Ila inataka funds kubwa, na sisi utaratibu wa kukusanya hela za hivyo hatuna kabisa
Wenzetu kufika hapo walipo sio kwa bahati bali wamepambana kwa hali na mali.
Wananchi wanatoa sana na kila duka unakuta wameweka makopo ya kusaidia maisha ya kila siku
Yaani ukiwaona wanavyoishi kwa kusaidiana ndio utajua kuna mambo mengi serikali haina mkono ila kiasi tu
Duuuh π inasikitisha sana!kuna mzee flani namuelewa wasiojulikana walipita nae kipindi cha Jiwe, mpaka leo hakuna taarifa zake.