Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #81
Ndefu sana kuiandika ila unaweza kuipitia hapa au ukagoogle.Tunataka hii story full.
Ndefu sana kuiandika ila unaweza kuipitia hapa au ukagoogle.Tunataka hii story full.
Good hapo umefanya jambo ngoja nisomeNdefu sana kuiandika ila unaweza kuipitia hapa au ukagoogle.
Mdude au ulitaka kusemaje?Ni wengi sana madam mnamtafuta ndugu yenu kumbe alishauliwa na kuzikwa muda sana
Hamna kiongozi nimeongelea wanapotea na kuuwawa kimya kimyaMdude au ulitaka kusemaje?
Sina huo mda
Ndio maana geita Iko tofauti kidogo na Kanda zingine kwenye uchimbaji Kama chunya maana Kanda ya ziwa lazima watu wa idara ya ukaguzi(inspectors) wapite kila duara na hata Kama wasipopita msimamizi wa duara lazima aandike orodha ya wanaoingia duarani kila siku na muhuri unapigwa na kwenye majina ya waponchaji Kuna taarifa za sehemu uliyotoka kuanzia Kijiji mpaka mkoa na namba za dharura ikitokea shida.nikiwa chimbo, kuna jamaa mgeni aliingia pale chimboni, akaomba connection akapewa,...akapiga kazi kama siku tatu,..akapata mpunga kiasi akaenda chunya mjini akala bata na jioni akarudi pale chimbo,...
Kwenye mastori ya hapa na pale, akatuambia,..yeye ni mwenyeji wa ARUSHA, ameoa na ana watoto wawili, pia mama na wadogo zake wanamtegemea,
mke na watoto wake wamehamia mbeya mjini kama mwezi mmoja umepita wakiwa wametokea machimbo ya kahama, wakafikia mbeya alipoiacha familia yake na yuko kwenye mchakato wa kuihamishia familia yake chunya mjini,...na alipoenda mjini aliwatumia pesa ya matumizi , maana wife bado hana mishe na watoto wanafanyiwa mchakato wa shule,...jamaa alikuwa na simu, aliiuza hukohuko chunya mjini maana alisema pesa haikutosha, so akabakiwa na laini tu,.....siku kama ,mbili mbele jama alienda kwenye migodi fulani kuchimba na washikaji wengine, aisee shimo likatitia jamaa akiwa bado shimoni wenzake wakapona lakini jamaa alifia mulemule na kumtoa ilishindikana kutokana na ulefu wa mgodi ule....
hakuna aliyekuwa anamjua jina lake kamili wala kufahamu inapoishi familia yake.....
huwa kila nikiwaza familia yake sipati picha🥲🥲[emoji17][emoji24]
aisee mimi niliacha chimbo sababu ya ushenzi wa maboss, duara linahitaji timba, boss hataki kutoa hela mpaka mawe yatoke yakasagwe,...wakati huo duara bovu,....ukiwashitaki kwenye mamlaka ,...kwanza wakaguzi wenyewe hawajii duarani na boss anakuja chimboni kibabe na shombo juu,....unaweza jikuta una kesi ya mauaji,.... kidogo unafuu ulikuwepo kipindi cha magu watu walikuwa na hofu,....pia duara alillofia mshikaji halikuwa rasmi,...Ndio maana geita Iko tofauti kidogo na Kanda zingine kwenye uchimbaji Kama chunya maana Kanda ya ziwa lazima watu wa idara ya ukaguzi(inspectors) wapite kila duara na hata Kama wasipopita msimamizi wa duara lazima aandike orodha ya wanaoingia duarani kila siku na muhuri unapigwa na kwenye majina ya waponchaji Kuna taarifa za sehemu uliyotoka kuanzia Kijiji mpaka mkoa na namba za dharura ikitokea shida.
Sikufika chunya siku nyingi Ina Nina amini masuala ya idara ya ukaguzi yatakuja tu
Ngoja nisome coz ni weweAcha ukorofi soma sentensi ya mwisho.
Watu wengine ingawa tunawatazama Kwa nje tunawaona wazima ..but wengine Wana changamoto za afya ya akili.... kwahiyo kuna kitu kina wa trigger wakiwa na watu wanaowajua...wanataka kukaa mbali Sana na watu wanao wajua....wagonjwa tuKwa hali aliyokua nayo ukichanganya na elimu yake ndogo hawezi kuwa spy
Kwa hali aliyokua nayo ukichanganya na elimu yake ndogo hawezi kuwa spy
Umenikumbusha kuna mwaka jamaa flani aliletaga story za maisha ya machimbo na lugha za machimbo huo uzi ulinichekesha sana... kuna neno La Kugongomeja aisee 😅😅😅 sitolisahauNdio maana geita Iko tofauti kidogo na Kanda zingine kwenye uchimbaji Kama chunya maana Kanda ya ziwa lazima watu wa idara ya ukaguzi(inspectors) wapite kila duara na hata Kama wasipopita msimamizi wa duara lazima aandike orodha ya wanaoingia duarani kila siku na muhuri unapigwa na kwenye majina ya waponchaji Kuna taarifa za sehemu uliyotoka kuanzia Kijiji mpaka mkoa na namba za dharura ikitokea shida.
Sikufika chunya siku nyingi Ina Nina amini masuala ya idara ya ukaguzi yatakuja tu
Duh!Spy sio mpk uwe na elimu kubwa inategemea unawekwa kwa kazi gani..
Naongea kwa kuwa naelewa..😊😊😊😊maybe huyo sio kweli ila elimu haihusiani kwny hiyo kazi....
Na hata kama alikua hajui anachotakiwa kufanya basi mafunzo maalumu yanatolewa kwa ajili hyo....
Nina watu wa krb wako huko..
Kanda ya ziwa fundi akitoka duarani inabidi akabidhi kazi yake kwa idara ya ukaguzi lasihivyo roller inashushwa chini hakuna kazi kuendelea mpaka waji ridhisheaisee mimi niliacha chimbo sababu ya ushenzi wa maboss, duara linahitaji timba, boss hataki kutoa hela mpaka mawe yatoke yakasagwe,...wakati huo duara bovu,....ukiwashitaki kwenye mamlaka ,...kwanza wakaguzi wenyewe hawajii duarani na boss anakuja chimboni kibabe na shombo juu,....unaweza jikuta una kesi ya mauaji,.... kidogo unafuu ulikuwepo kipindi cha magu watu walikuwa na hofu,....pia duara alillofia mshikaji halikuwa rasmi,...
kujogomeja,kuchumira,kuporora,chabo,fonka,longo,sesa,ng'andaUmenikumbusha kuna mwaka jamaa flani aliletaga story za maisha ya machimbo na lugha za machimbo huo uzi ulinichekesha sana... kuna neno La Kugongomeja aisee [emoji28][emoji28][emoji28] sitolisahau
Nina ndugu yangu ila niishie kusema No Reforms No ElectionNimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27.
Imenifanya nikawaza hivi watu wangapi wameuawa kikatili na wakazikwa bila ndugu au jamaa zao kujua?
Unamfahamu mtu yoyote iwe ndugu, rafiki au mtu wa mtaani aliyepotea ghafla tu na mpaka sasa haijulikani kama yuko hai au amekufa?
Share mkasa wake, alipoteaje?
Kama mazingira yanaruhusu, weka na jina na taarifa zake ili tumfahamu.
View attachment 3399750
Huyo jamaa ndo alikua anatupa tafsirikujogomeja,kuchumira,kuporora,chabo,fonka,longo,sesa,ng'anda
Yani Kuna maneno uliongea sehemu nyingine hakuna atakaye kuelewa
Alikuwa mzungu 🤔 bwasheeBabu mzaa baba wa mama yangu alihamia machame akaoa mwanamke akazaa watoto , mwisho wa siku kazi iliyo mleta ipo isha akaondoka zake mpaka leo hajulikani alipo na alitokea nchi gani
Jamii za watu wa kihabeshAlikuwa mzungu 🤔 bwashee
Oooh pole aseh mekuJamii za watu wa kihabesh