Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
😢 inasikitisha sana
Tatizo linakuja kwa upande wa teknolojia na fundsMasikini ya Mungu, kuna watu wengi wamepotelewa na familia zao na hawakuwaona tena.
Ila huku kuna vipindi kwenye ITV (UK) kinaitwa Long lost family
Unawapa story yako nao wanaanza kazi ya kutafuta hata kama mama alikutoa ukiwa mchanga (adopted)
Au Ndugu alipotea miaka hata 60 watapata hata kaburi lake, kuna wengine walihama nchi na kwenda kukutwa kumbe wako Australia wana maisha Yao na familia na watoto pia
Sisi hatujui kuiga episodes za wenzetu
Kwa kweli wengi wangepatikana
TBC wangewezeshwa, ila tatizo hata hizo funds wajanja watazipitiaTatizo linakuja kwa upande wa teknolojia na funds
Watakuja kuyapata kupitia uzi huu.Yani familia yake na watoto wote wanaishi wakiwa hawana majibu na labda kamwe hawatakuja kuyapata 💔 .
Michezo hiyo kaka hahaha umeshtuka sioPolisi huwa mna mambo.
Unataka tutaje majina alafu mtuite oysterbay
HahahaMichezo hiyo kaka hahaha umeshtuka sio
Unashuka uzi weeee kumbe TISS wanafanya patrol kesho unaamka nje unakuta kuna cruiser nyeusi tinted inakusubiria uende ukamione alopotea 🤣🤣Hahaha
Wanadhania sisi ni watoto🤣🤣
HahahaUnashuka uzi weeee kumbe TISS wanafanya patrol kesho unaamka nje unakuta kuna cruiser nyeusi tinted inakusubiria uende ukamione alopotea 🤣🤣
mkuu acha kabisa,...kila nikiwaza naumia mno , maana na jamaa tulishamzoea kama mwenzetu ,..lakini dah!😭Nawaza maumivu yaliyobaki kwa familia mpaka muda huu 😒
NRNE ✌️Nina ndugu yangu ila niishie kusema No Reforms No Election
Trigger za trauma hasa zile za childhood.Watu wengine ingawa tunawatazama Kwa nje tunawaona wazima ..but wengine Wana changamoto za afya ya akili.... kwahiyo kuna kitu kina wa trigger wakiwa na watu wanaowajua...wanataka kukaa mbali Sana na watu wanao wajua....wagonjwa tu
Pole sana 💔💔Frank katabi where are you nigga ? Umeniacha na huzuni isiyofutika kaka ,tokea tuishi tena😭😭
Daaah hiyo ni aina ya investigative journalism ambayo bongo hatuna kabisa, waandishi wetu ni kama hao akina "Manara Tv" sasa huo uchimbuaji na ufuatiliaji wa kiundani hivyo watauweza wapi.Masikini ya Mungu, kuna watu wengi wamepotelewa na familia zao na hawakuwaona tena.
Ila huku kuna vipindi kwenye ITV (UK) kinaitwa Long lost family
Unawapa story yako nao wanaanza kazi ya kutafuta hata kama mama alikutoa ukiwa mchanga (adopted)
Au Ndugu alipotea miaka hata 60 watapata hata kaburi lake, kuna wengine walihama nchi na kwenda kukutwa kumbe wako Australia wana maisha Yao na familia na watoto pia
Sisi hatujui kuiga episodes za wenzetu
Kwa kweli wengi wangepatikana
Sana 💔Inatisha.
Inasikitisha sana mamie 💔Inasikitisha sana kupotelewa na ndugu yako au rafiki yako wa karibu