Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
Cult ni aina ya utapeli unaofanywa kwa mgongo wa dini/imani. cult yoyote inakuwa na dalili kuu hizi hapa: cult yoyote lazima iwe na kiongozi mkuu mmoja na hakuna kinachofanyika bila ruhusa ya huyo kiongozi mkuu. Mara nyingi rasilimali zote za dhehebu hilo ikiwa pamoja na dhehebu lenyewe ni mali ya kiongozi huyo. hivyo ukiona dhehebu ulilopo linaendeshwa hivyo hiyo ni dalili kubwa wewe upo kwenye dhehebu au dini ya kitapeli (cult), hapo upo na majambawazi (japo hawana nyengo wala bisibisi hao ni majambawazi), ujue upo na wajasiriamali walioamua kutoka kwa mgongo wa imani.

ukiona kwenye dini/dhehebu au imani ulipo, mambo yote muhimu yanayohusu maisha yako binafsi yanaendeshwa na hao wahusika wa hilo dhehebu au taasisi hiyo ya kidini yani wao ndio wanaamua uongee na nani na usiongee na nani, uende wapi na wapi usiende. ukiona maisha yako ya kila siku yanaendeshwa namna hii basi ujue hapo wewe ndio shamba lenyewe, unavunwa kila uchao, unaibiwa kwa mgongo wa imani/dini, hivyo kimbia haraka sana hiyo ni dini ya kitapeli kwa 100%.

ukiona dhehebu au taasisi yako ya kidini au kiimani ndiyo inatawala maamuzi yako ya namna ya kutumia fedha zako yaani fedha ni zako lakini uongozi ndio wanakupangia ununue nini na nini usinunue. hiyo ni dalili kuwa haupo kwenye imani sahihi, shtuka mapema, tembea, hapo upo na matapeli.

ukiona dini yako ndiyo inakuchagulia ndugu au marafiki wa kuwa nao au kuchangamana nao na wakati mwingine hawaogopi hata kukwambia usichangamane na hata wazazi wako au ndugu wako wengine wa karibu. wanapenda uzungukwe na 'watu wema tu' waliokuchagulia wao. ukiona dhehebu au dini yako inafanya hivi ujue hapo wewe ni shamba lenyewe unavunwa kila uchao.jua fika hapo hakuna dini hapo hiyo ni cult, ni kikundi cha wajasiriamali wanaotumia mgongo wa dini.

cult yoyote hairuhusu uhuru wa muumini kuchangamana na mtu yoyote umtakaye bali wao ndio watakuchagulia mtu au watu 'sahihi' wakuchangamana nao. wanafanya hivo makusudi kabisa ili waweze kuwa na control ya maamuzi yako. wanajua ukishachamangana na wengine wenye mawazo huru utafunguliwa utaujua ukweli, utaujua ujambawazi wao wanaoufanya na mwisho watakupoteza wewe na mapato uliyokuwa unawaletea. habari ndiyo hiyo.

Je wewe una uhakika gani kama hapo unapoabudu haupo kwenye cult? una uhakika gani wewe sio mradi wa kuwaweka watu hapa mjini?
 
Dini zote iwe Christian au Islam ,budha,Shinto,Shiva, Buddhism, madhehebu yote uyajuayo hata ambayo yalikuwa hayajawa cult ,yote yamekuwa cult, Kuna mengine yamezidi sana ,mengine kiasi mengine kidogo,

Sababu Shetani aliahidi kabisa

ISAYA 14
12 Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
14 Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.
15 Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo

Hapo tunaona Shetani akiapa kwa MUNGU akisema"Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini."

UKISOMA

Zaburi 48
1 Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu.

2 Kuinuka kwake ni mzuri sana, Ni furaha ya dunia yote. Mlima Sayuni pande za kaskazini, Mji wa Mfalme mkuu.

UTAONA PANDE ZA KASKAZI NDIPO LILIPOKUWEPO HEKALU PALE MLIMA SAYUNI NA NDIPO MAHALI PALIPOKUWA NA UWEPO WA MUNGU , HIVO SHETANI ALIAPA KUKAA NADNI YA MAKANISA KWA SIKU ZETU AMBAPO TUNAKUSANYIKA TUKIAMINI TUNAMUABUDU MUNGU

Tuanze mada yetu sasa, fatana nami....

Katika FREEMASON Degree ya 33 ( hii ndio hatua ya juu ya Fremason kwa ujumla Duniani, huitwa"Degree of the Craft", na mwanachama mwenye Degree 3, anaitwa Mastermasonry/Grand master, hawa ndio wapangaji wa mipango, hawa ndio wanao jua siri ya free masoni na hii degree unaipatia katika Blue Lodge.
Freemason, imegawanyika katika Vyama mbali mbali lakini vyote hujulikana kwa jina la freemason, na kila chama kina jiendesha kwa misingi yake, mfano York rite na scottish rite.
York rite, hii inapatikana marekani katika lodge za huko, na katika york rite , wao waliongeza degree 10, za ziada, lakini huwezi kupata hizi degree bila kuwa na degree tatu , ambazo ndio msingi wa freemason Duniani kwote..na katika York rite degree ya 10, na maanisha ya 13, ukijumlisha na zile degree tatu za msingi, hiyo ni hatua ya juu ambayo inaitwa the Order of the Temple, na mwanachama mwenye degree hizi anaitwa "Knight templar".

Katika Scottish rite, katika chama cha scotiland, kupitia Lodge zao, wao waliongeza Degree 30, na kuzifanya ziwe 33, na huwezi kupata hizi degree bila kuwa na degree 3, za msingi. katika hizi degre, degree ya 32, ndio degree ya juu kabisa ambayo mwana chama mwenye hatua hii anakuwa Master of the royal secreat, siri zote za freemason unapewa.

Japo katika scottish rite , kuna jumla ya degree 33, lakini freemason wana amini degree ya 33, haipo, kwasababu ni adimu sana , labda mtu mwenye IQ, kubwa kama 160, na kama wapo basi wana fahamika na freemasoni wenye degree za juu kabisa.
wapo watu wanao amini labda hii degree ya 33, hii ndio degree inayo muhusu Lucifer.. pia baadhi wana amini Albert pike, mwandishi wa kitabu cha "Morals and dogma" alikuwa na degree 33, lakini wapo ambao wana amini hakufikia hatua hiyo.
Freemason ni chama ambacho kina daiwa kuwa na mambo ya siri mengi, na hawa inasemekana wanachama wake wengi wenye degree za juu , wapo katika chama cha Illuminat.

Unaweza kuona aina za digrii hizo; kwa mfano digrii ya 18 inayoitwa ‘Knight of Rose Croix’ hushughulika na elimu ya aina za misalaba na jinsi ya kufanisha kuziingiza ndani ya taasisi na madhehebu mbalimbali kwa imani ya Illuminati na freemason na kwa kweli freemason wa digrii hiyo wamefanikiwa kwa kiwango cha juu kabisa kuingiza aina nyingizi za misalaba ndani ya makanisa na taasisi bila ya waumini kujua maana ya misalaba hiyo.

Ukatoliki ni Cult, uislamu ni cult,kumbuka uislamu umeanzishwa na Ukatoliki

Kina martin Luther,John Knox,Isack Newton, John Zwingil, na wengine wengi waliondoka ndani ya Ukatoliki ili kusafisha au kufanya matengenezo,matokeo yake walipokufa na wao Freemason na illuminati wameteka hayo madhehebu

Hapa nitakuonesha baadhi ya madhehebu na jinsi yalivyoingiliwa , soon nitaandika kitabu kuelezea kila dhehebu jinsi ma freemason walivyoingia

Brethen Assemblies: Mwanzilishi ni ndg. Dabi 1800 – 1882 ambaye alikuwa ni muumini wa Anglican na akajitenga na kanisa hilo na kuanzisha kanisa lake. Dabi aliamua kujitenga na Anglican kutokana na kanisa hilo kutawaliwa na familia ya freemasons.

Makanisa ya Kipentekoste au kilokole: Ni makanisa yaliyoanzishwa miaka ya hivi karibuni. Makanisa haya yalianzishwa huko Kansas City Marekani mwaka 1901kwa lengo la kupata nguvu ya kile kinachoaminiwa kuwa roho mtakatifu. Je, unajua uhusiano uliopo kati ya muziki wa‘rap’ au ‘kufoka’ na uvuvio wa kunena kwa lugha kutoka kwa kile kinachoaminiwa kuwa ni nguvu za roho mtakatifu wakati waumini wa kilokole wanapokuwa wakiomba? Kumbuka kwamba Muziki wa rap ulianzia huko Kansas City Marekani, mahali ambako makanisa ya kipentekoste yalianzishwa. Panapo majaaliwa, nitakuwa na makala ndefu kuhusu asili, lengo na nguvu inayoonekana kwa viongozi wa makanisa ya kilokole kama kina mwamposa. Kwa wakati huu nasema,‘Soma Biblia na Tafakari’!

Gospel terbenacle: Mwanzilishi ni Pastor A.B. Simpson mwaka 1881 akitokea Presybiterian.

Christian Churches: Mwanzilishi ni Thomas Chapel mwaka 1807 akitokea Presybiterian.

Seventh –Day Advetist Church: Mwaka 1844 baada ya kutokurejea kwa Yesu duniani kama ilivyohubiriwa na muhubiri mashuhuri aitwaye William Miller, watu wengi walivunjika moyo isipokuwa watu 50 tu ndio walioendelea kujifunza Biblia miongoni mwao akiwa ni Ellen G. White. Watu hao waliendelea kuchunguza makosa yaliyofanywa na William Miller maana wao pia waliamini juu ya marejeo ya Yesu tarehe 22/10/1844. Hatimaye mwaka 1863 kanisa hilo likapewa jina la Seventh –Day Adventists Church huku likiwa na motto au kauli mbiu ya “Amri za Mungu na imani ya Yesu na Ujumbe wa malaika watatu” na baadaye kanisa hilo likawa chini ya rais wa General Conference ya SDA makao makuu yake yakiwa huko Marekani. Rais huyo ndiye kiongozi (kichwa) mkuu wa kanisa hilo duniani na huchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Wakati viongozi wa kanisa walipokutana ili kujadili mambo ya kanisa, palikuwa na ‘Mwenyekiti’(Chairman of General Conference) ambaye aliongoza kikao hadi mwisho. Baada ya kikao kumalizika, mwenyekiti huyo alimaliza muda na kazi yake.

Hata hivyo kulitokea mabadiliko kutoka mwenyekiti wa baraza kuu hadi na rais wa kanisa ulimwenguni. Kila baada ya miaka mitano hufanyika uchaguzi wa kumpata rais wa kanisa hilo. Tofauti na makanisa mengine, kanisa hili linaabudu siku ya Jumamosi wakati makanisa mengine yanaabudu siku ya jumapili. Sasa hivi kuna makanisa mengi ya SDA ambayo yametoka ndani ya kanisa la ‘General conference of Seventh-Day Adventists’(GCSDA) kwa madai kwamba kanisa hilo limeingiliwa na freemasons.

Wengi wa waumini wa SDA waliojitenga na GCSDA wanasema kwamba walikuwa wakipinga‘protest’ mafundisho machafu huku wakiendelea kuwa ndani ya GCSDA lakini hawakuweza kuleta mabadiliko yoyote maana hali ilikuwa inazidi kuwa mbaya. Hatimaye waumini hao waliamua kufuata nyayo za akina Luther za kujitenga na sasa wanafanya ‘reformation’ au ‘matengenezo’ hatua kwa hatua maana walitoka na mafundisho machafu ambayo waliyapokea kama kweli wakiwa ndani ya GCSDA.Waumini hao wanadai kwamba walijitenga na GCSDA kwa sababu,

tukio kubwa ikiwa ni freemason kuingiza nembo yao,huku wakiiondoa ile nembo ya UJUMBE WA MALAIKA WATATU,Freemeson huingiza mafundisho, au alama zao kupitia viongozi wa juu wa kanisa kama ilivyo kawaida ya makanisa yote uyajuayo.

Leo ngoja niishie hapa
 
Mm nisie na Iman yyt ngoja nisicoment chcht maana cjaulizwaa swali mm...

Tunanawakaribisha wenye Iman zenu mtupe mawazo
Imani yoyote ya dini ikikukolea huna tofauti na wadau wengine wenye matatizo ya afya akili...hakuna cha cult wala cut,walioleta imani za kigeni sasa wako busy na innovation ya mambo mbalimbali huku sisi tukibishana habari za mitume na manabii ambazo ni myth tu.
 
Cult ni aina ya utapeli unaofanywa kwa mgongo wa dini/imani. cult yoyote inakuwa na dalili kuu hizi hapa: cult yoyote lazima iwe na kiongozi mkuu mmoja na hakuna kinachofanyika bila ruhusa ya huyo kiongozi mkuu. Mara nyingi rasilimali zote za dhehebu hilo ikiwa pamoja na dhehebu lenyewe ni mali ya kiongozi huyo. hivyo ukiona dhehebu ulilopo linaendeshwa hivyo hiyo ni dalili kubwa wewe upo kwenye dhehebu au dini ya kitapeli (cult), hapo upo na majambawazi (japo hawana nyengo wala bisibisi hao ni majambawazi), ujue upo na wajasiriamali walioamua kutoka kwa mgongo wa imani.

ukiona kwenye dini/dhehebu au imani ulipo, mambo yote muhimu yanayohusu maisha yako binafsi yanaendeshwa na hao wahusika wa hilo dhehebu au taasisi hiyo ya kidini yani wao ndio wanaamua uongee na nani na usiongee na nani, uende wapi na wapi usiende. ukiona maisha yako ya kila siku yanaendeshwa namna hii basi ujue hapo wewe ndio shamba lenyewe, unavunwa kila uchao, unaibiwa kwa mgongo wa imani/dini, hivyo kimbia haraka sana hiyo ni dini ya kitapeli kwa 100%.

ukiona dhehebu au taasisi yako ya kidini au kiimani ndiyo inatawala maamuzi yako ya namna ya kutumia fedha zako yaani fedha ni zako lakini uongozi ndio wanakupangia ununue nini na nini usinunue. hiyo ni dalili kuwa haupo kwenye imani sahihi, shtuka mapema, tembea, hapo upo na matapeli.

ukiona dini yako ndiyo inakuchagulia ndugu au marafiki wa kuwa nao au kuchangamana nao na wakati mwingine hawaogopi hata kukwambia usichangamane na hata wazazi wako au ndugu wako wengine wa karibu. wanapenda uzungukwe na 'watu wema tu' waliokuchagulia wao. ukiona dhehebu au dini yako inafanya hivi ujue hapo wewe ni shamba lenyewe unavunwa kila uchao.jua fika hapo hakuna dini hapo hiyo ni cult, ni kikundi cha wajasiriamali wanaotumia mgongo wa dini.

cult yoyote hairuhusu uhuru wa muumini kuchangamana na mtu yoyote umtakaye bali wao ndio watakuchagulia mtu au watu 'sahihi' wakuchangamana nao. wanafanya hivo makusudi kabisa ili waweze kuwa na control ya maamuzi yako. wanajua ukishachamangana na wengine wenye mawazo huru utafunguliwa utaujua ukweli, utaujua ujambawazi wao wanaoufanya na mwisho watakupoteza wewe na mapato uliyokuwa unawaletea. habari ndiyo hiyo.

Je wewe una uhakika gani kama hapo unapoabudu haupo kwenye cult? una uhakika gani wewe sio mradi wa kuwaweka watu hapa mjini?
Wee toa sadaka
Zaka
Shukran
Ujenzi
Nk hayo ya utapeki achia na Mungu waooo usijipige kitanzi utoisadaka kisa utapeli
 
ni rahisi sana. chukua kitabu cha Matendo ya mitume, kisome chote mara tano hivi. inaweza kuchukua muda, halafu jifunze kanisa la kwanza lilikuwaje, fuata hayo. ila kukusaidia tu, vitu vya msingi ili kujua kuwa kanisa fulani ni kikundi cha wanadamu kinachoweza kukusaidia umtafute na kumwona Mungu, zingatia haya;

1. wanahubiri wokovu.kwa maana ya kwamba, mtu amkiri na kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake kwa kumaanisha kuacha dhambi. na katika hili, sabato, katholic, jehova na hao wanaohubiri miujiza na kuuza maji badala ya kuokoka na kuukulia wokovu, ni cults.

2. angalia kama wanahubiri umuhimu wa ujazo wa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha. Yesu Kristo alituambia wazi kwamba, Roho Mtakatifu ndiye atatuongoza na kututia kwenye kweli yote. kinachotutia kwenye kweli yote sio katekisimo, liturgia nzuri au mapokeo ya dhehebu, au kukariri Biblia. ndio maana sote tunatumia Biblia na wengine kama ndugu zangu wasabato na mashahidi wa jehova wanaweza kumeza Bible nzima kichwani lakini haipo moyoni na hawana Mungu. ni kwa sababu wanamkosa Roho Mtakatifu na hawataki kujazwa, wanasema ni mapepo na sio muhimu kwa sasa. Yesu alisema wanafunzi wasiondoke Yerusalemu hadi wampokee huyo kwani ndio Nguvu. Petro aliyekuwa mvuvi tu, asiye na elimu, aliyekuwa mgomvi hadi siku Yesu anakamatwa alikata mtu sikio, alipojazwa Roho Mtakatifu kule gorofani, alihubiri mno na watu wakamshangaa maana sio yule waliyemzoea. watu waliuliza tufanyeje sasa ili tupate icho kipawa tuwe kama wewe? Petro akasema tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa Jina lake Yesu mpate ondoleo la dhambi nanyi mtapata kipawa cha Roho Mtakatifu, maana ahadi hii ni kwa ajili yenu, na watoto wenu na wote watakaomjia Bwana. Kumbe hii ni ahadi kwa sisi sote, sio kwa wachache tu kama waalimu wenu wanavyowafundisha. kwa hiyo ukienda kwenye kanisa ukaona mwezi mzima hawajafundisha umuhimu wa ujazo wa Roho Mtakatifu na hakuna madhihirisho yake, kimbia, hapo hapakusaidii. na kwa maana hiyo, madhehebu kama wasabato, wayehova, wakatoliki, walutheran (ukiondoa kwa mbali fellowship), anglican, moravian etc ambao hawahimizi icho kitu, wanatembea bila Roho, na kinabakia kikundi fulani tu cha fanatics au waabudu dini.

3. angalia, wanahubiri toba na utakatifu au la. kama jibu ni hapana kimbia. Kanisa la kwanza hata kama waliponya wagonjwa, walifufua wafu, walifanya chochote, msisitizo haukuwa kwenye mali na mambo ya dunia hii. msisitizo mkuu ulikuwa ni UTAKATIFU. walikuwa wanakemea dhambi, sio siku hizi wamekuja watu wanajiita watu wa imani ya neema. wao wanaamini ukishamkiri Yesu tu unakuwa umeshaweka maisha yako mikononi mwa Yesu, hata ukitenda dhambi Yesu anaziondoa automatically. hawajui kuwa, Neema inayoongelewa hapa ni neema ya kufuta dhambi na kukukomboa tena. Mfano; ukishaokoka ukatenda dhambi, haiondoki bila kuitubia, usipotubu itakutafuna na kukuondoa kwenye uso wa Mungu. zamani ukitenda dhambi ulikuwa unagarimia binafsi kwa kuchinja mnyama, maana ya neema ni kwamba Yesu anakulipia deni la dhambi hiyo husika, sio dhambi zote zingine. Neema haipo ili tuendelee kutenda dhambi. hivyo ukiona kuna kikundi cha watu hawahubiri utakatifu wao ni mafanikio tuuu, kimbia hapo. hata kufanikiwa kwenyewe hautafanikiwa.

4. waangalie wachungaji, ukiona wanajipenda sana, wanavaa sana, masharobaro, kimbia hapo. watakuambia ukiokoka haimaanishi usiwe smart. kuna usmart, ila kuna usharobaro ambao hauwezi kuutofautisha na dunia hii. wala msiifuatishe namna ya dunia hii ndugu zangu, hayo yote yanapita.

5. Kiburi, ukiona wachungaji wana kiburi, kimbia hapo. wengi wa wachungaji wa uongo, utakuta waumini maskini, ila wao ni matajiri wakubwa na wana viburi vya pesa mno, wanaongea kwa dharau, midomo yao imejaa kulaani badala ya kubariki, wanapenda kuinuliwa, wanazunguka na mabodigadi rundo (though sio wote wenye bodigadi ni wa uongo), hawa hawana tofauti na kina hamonize wanavyozungukwa na mabodigadi, wanapenda kusifiwa, kutukuzwa wao badala yakumtukuza Mungu.

6. Jambo kubwa, ni CONTROL. ukiona mchungaji anawacontrol waumini kupita maelezo, anawatishia wasiposikiliza anachosema watapata madhara, kimbia hapo. hii ni kwa sababu mchungaji pia ni mwanadamu, ana madhaifu, na kuna wakati huwa anaweza kusaidiwa na waumini wake kurudi kwenye njia. manabii wa uongo wengi ni wakali mno kimwili, wanalazimisha ufuate wanachotaka, usipofuata wanakutishia hautabarikiwa au utakufa au utapata madhara fulani au Mungu atakuua n.k. kwa njia hiyo wamepora pesa sana, na wamelala sana na wanawake wadhaifu, na hata ukijua siri zao chafu wanasema unatakiwa kuwafunika kama watoto wa Nuhu walivyofunika uchi wa baba yao hawakulaaniwa. hawa ni watu hatari sana. yaani yeye pale anajiweka kama ndio malaika wa hapa duniani, mtakatifu kuliko ninyi nyote, anayepokea moja kwa moja toka kwa Mungu, ninyi wengine hamwezi kupokea, kila kitu lazima kipitie kwake. KIMBIA HAPO. Mchungaji halisi ni yule anakufundishe Neno ujitegemee, usimtegemee yeye kudownload toka kwa Mungu, sasa hawa wa uongo wanakuweka kwenye position kwamba, bial wao hauwezi fika popote na hautasikia toka kwa Mungu maana wao ndio njia.

7. mahubiri yao hayana uwepo wa Mungu. ndugu zangu, Mungu ni dhahiri, na giza ni dhahiri. mtu huwezi kuwa wa gizani ukatoa kinywani mwako yale ya nuru, na huwezi kuwa wa nuru ukatoa ya giza. uwepo wa Mungu umejitenga kabisa na uwepo wa kipepo. wengi wa wahubiri wa uongo, wanahubiri kwa kutumia akili na theolojia, hakuna uvuvio wa Roho Mtakatifu, na popote pasipokuwepo Roho, hapana wokovu. ni Roho Mtakatifu huwa anagusa moyo, sio maneno yako ya ujanja au uzoefu.

8. wanakuambia "madhabahu yangu ndio imekuponya", au mungu wangu amekuponya, badala ya kumtukuza Yesu moja kwa moja. wengine huwa wamechukua upako kwenye madhabahu fulani, na utasikia watu kwenye ushuhuda wanamwambia "madhabahu ya ...........ina nguvu", ni madhabahu gani? ya Mungu au ya mungu wao, maana kuna miungu mingi duniani lakini aliye MKuu ni mmoja tu, Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo. madhabahu ya siloam, madhabahu ya kanisa la baba mungu, madhabahu ya mwamposa, madhabahu ya ngurumo, madhabahu ya kuhani, madhabahu sijui ya nani, hao wote jiulize, ni madhabahu gani hiyo tofauti na Jina la Yesu? na wao wanapenda useme hivyo. kwanini wasiseme tu Yesu Kristo ameniponya, au Jina la Yesu Kristo limeniponya, kwanini wanataka utukuze madhabahu yao badala ya Jina la Yesu?

ALL IN ALL, ukiona mchungaji sharobaro, kama hao manabii wa uongo, sometimes wala usiende hata kuuliza kwa watu, KIMBIA, anapata wapi muda wa kuomba na kumtafuta Mungu na
 
Umepotea sana siku hizi🤔
wew na mkuu Fake P mmenikumbusha miaka flani uko nyuma kuna watu fulani wawili, mtu mke na mtu mume walianza kusalimiana kiuchokozi ivi ivi kama mlivoanza nyinyi apa. bdae kidogo nikaona wote wanachekacheka😇sijakaa sawa wamepotea, siwaoni😳mara nasikia kitanda kinapiga kelele (ni vile vitanda vya zamani vya chuma na springi katikati) uko ndani, mm khee!🤯nkajua tyr kimeumana🤣
 
Kabisa mkuu hata hapa ndivyo ilivyo haujakosea kitu kabisa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom