True JINO kwa JINO.Tawala za kiafrica kupambana nazo kwa kwa maneno ni ngumu ....ndo maana wengine wanamua kwenda msituni kuongea kwa risisa kwa risasi
Pumbavu wewe. Na wameimba YESU NI BWANA WA VITA MBELE YA RISASI ZENU. MNGEWAUWA SASA. HIYO MAMLAKA YA KISHETANI MUNGU ATAIKOMESHA.Mkikosaga pa kushika mnasingizia Mungu upuuzi.
Wewe ZEZETA. hivi kwanini mnauwa watu alafu mnalazimisha watu wanyamaze?. DAMU INANENA NA KAMWE AITANYAMAZA KWELI ARDHI MPAKA IPATE HAKI MBELE ZA MUNGU. khaa na Upumbavu wako kusingizia chadema. Na shehe MLIOMUUWA ZANZIBAR Naye aliwasikiliza chadema.Alipozungumzia suala la watu kupotea, chadema wakamuungia wakamjaza upepo, fahamu zikamtoka, ndipo shida ilipoanzia, hata leo, ukasimama unasema Rais mbaya, chadema wote watakusapoti, yaani Hawa jamaa hawana akili kabisa.
sasa alimshambulia au alimshauri kama Rais anaishi kwa kodi ya mtanzania kumshauri ni kumshambilia?Gwajima alimshambulia Rais hadharani kwa kusema asiwatumbue wateule wake wa vyombo vya ulinzi hadi bunge liamue. Angeongelea tu utekaji na kuzitaka mamlaka zishughulikie isingeleta shida. Tatizo ni mashambulizi yake kwa Rais
Shida ni kuwa wengi mnafikiri,it's bness as usualUmeandika vyema. Wanamjaza halafu wanamuacha peke yake.
Watafanyiaje kazi na wao ndiyo wauwaji mkuu. Shetani ATOI SHETANI wenzie hata siku moja. Mwisho wa haya mauwaji ni kuanza kuuwa watoto na wazazi wa WATEKAJI Tena kwa upanga waone uchungu ndiyo wataacha haya.Gwaji boy kaeleza kitu kiziri mamlaka zetu badala ya kuifanyia kazi press ya Gwaji wao wanamfitia usajili kanisa lake
🙏🙏Wabongo kwa kujifanya wana akili na maujuzi ya usalama dah, ngachoka, we mwenye akili na unayejua mbinu unatumia id fake kuelekeza! Acha wanaume wafanye kazi kule kama wamekosea we fanya yako mema!
Something must be done kwa hali tuliyofikia, hamnaga right time wala right process, hata Nyerere hakusubiri right/perfect time ndio aombe uhuru, we subiri kande tu hapo ushibe ubaki kupumua tu, hizi sio league zako ukiona huelewi
Hiki ndo watu wenye akili timamu wanajiulizaPamoja na hayo ebu pia tujiulize hivi nchi hii kwasasa ni kosa la jinai kukemea utekaji?
Ni kosa kubwa lipi alilolifanya Gwajima linalostahili haya yote anayofanyiwa. Ina maana watawala wana haki ya kutuvuna/kutuua sisi raia kila tunapoonekana kuwakosoa.
Je tuamini kwamba serikali ndiyo inayoteka, kutesa na kuua raia wake? Mbona watu wanaojitokeza kukemea kwa nguvu uovu unaofanywa nchi hii waonekane wanazipinga mamlaka?
Kama taifa tunatakiwa tujitafakari sana. Tunakoelekea siko kabisa.
eti mropokaji heche anaendelea kusema dah!🤣Shida iliyopo ni moja tu! Watu wakiamua kusema, kamwe hutaweza kuwanyamazisha wote! Unamfunga Lissu, Heche anaendelea kusema! Unamshambulia Kitima, Gwajima anajitokeza! Unamuua Ben Saanane, Mdude anaibuka! Unamuua Mdude, anatokea mwingine!!
Binafsi sikumbuki kama kuna mtawala katili aliwahi kunyamazisha midomo ya wakosoaji wake. Maana ukimuua mmoja, wanazaliwa wengine 100. Njia pekee ya kuondokana na haya makando kando ni kwa mtawala tu kukubali kusikiliza mawazo ya wananchi, badala ya kusikiliza mawazo potofu ya kundi baya la wahuni waliomzunguka.
Wanafikiri ni mjingasiamini kama naye gwaji kaingia vitani kichwa kichwa
Stop that superstitious beliefPumbavu wewe. Na wameimba YESU NI BWANA WA VITA MBELE YA RISASI ZENU. MNGEWAUWA SASA. HIYO MAMLAKA YA KISHETANI MUNGU ATAIKOMESHA.
NA NYINYI MSIJE KUWA KAMA M. HAWA MBELE ZA KITI CHA HUKUMU. KIWA NYOKA ALINIDANGANYA NIKALA.
dua la kuku huwa linaombwa na masikiniPumbavu wewe. Na wameimba YESU NI BWANA WA VITA MBELE YA RISASI ZENU. MNGEWAUWA SASA. HIYO MAMLAKA YA KISHETANI MUNGU ATAIKOMESHA.
NA NYINYI MSIJE KUWA KAMA M. HAWA MBELE ZA KITI CHA HUKUMU. KIWA NYOKA ALINIDANGANYA NIKALA.
Sasa ni mpuuzi sana. Endelea kuuwa Wala usijari. Sasa kawazuie kuimba Kama unao huo uwezo takataka wewe. Unaenda na siraha watu wanapiga pambio tu. Na utaburuzwa sana katika ushenzi kwa faida ya mabwana zako. Mnatetea kuuwawa kwa watu mtu anayakemea maovu unachukia. Mashetani mmeshikwa kende mnarukaruka tu .dua la kuku huwa linaombwa na masikini
tafuta hela, uache kuimbaimba hizi ngano za mashariki ya kati.....