Nyundo ya shujaa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2025
- 399
- 547
Tatizo huwa wanajidanganganya kuwa mama ni mwema hawezi kuwafanya kitu.Technically hili ndilo alitakiwa alifanye na ndiyo hata Wenzake kote duniani wenye Akili Kubwa hufanya. Kakosea Hesabu.
Unapenda vichambo na pia kufuatilia maisha ya wanaume. I wish ningeitaumbua jinsia yako. Isije ikawa ninabishana na Suphian Juma kupitia ID fake.eti mropokaji heche anaendelea kusema dah!🤣
heche huyu huyuhuyu alie liwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti? si huyu mjamaa ambae kwa kushirikiana na walinzi wake katili sana alitaka kudhulumu uhai wa Sigrada Mligo pale Njombe au?
kama ni huyo ndio atasema nini sasa na askizwa? 🐒
Usikariri maisha mkuuKwani utekaji ulianza jana na juzi ??? , muda wote alikuwa wapi?? hatukumsikia kukemea; hata kuna wakati Marehemu Maalim aliwahi kwenda kukutana naye wala hakutamka chochote kukemea maovu ya serikali ya chama chake CCM
Kuna watu walipambana nyuma ya hiyo CIA unayoifikiria, bila haoSijadogosha mchango wa Mandela ila jua Mandela kuingia madarakani ni uamuzi wa CIA. Hata huu muungano wetu ulikuwa uamuzi wao. Kasome historia
Ukishaona unaopambana nao wanaikubali hiyo approach yako katika madai yako lakini hakuna utekelezaji ujue hayo sio mapambano badili mbinu au weka silaha chini kwamba umeshindwa.Nakubaliana nawe. Approach iliyotumika haijakaa sawa.
Tusubiri tuone mwisho wakeKuna watu walipambana nyuma ya hiyo CIA unayoifikiria, bila hao
Ukishaona unaopambana nao wanaikubali hiyo approach yako katika madai yako lakini hakuna utekelezaji ujue hayo sio mapambano badili mbinu au weka silaha chini kwamba umeshindwa.
Usikariri maisha mkuu
Things doesn’t work the way you want it be
Issue ni kwamba ukifanya jambo baya unapaswa kukemewa
Ukifanya jambo jema unapaswa kupewa mau yako
BTW sielewi hoja yako ni nini kulingana na mleta hoja
Unamuunga mkono mleta hoja kwamba Gwaji amekosea kukemea utekaji?
Nadhani utawala wa N.korea umefanikiwa katika hilo unalosema haliwezekaniShida iliyopo ni moja tu! Watu wakiamua kusema, kamwe hutaweza kuwanyamazisha wote! Unamfunga Lissu, Heche anaendelea kusema! Unamshambulia Kitima, Gwajima anajitokeza! Unamuua Ben Saanane, Mdude anaibuka! Unamuua Mdude, anatokea mwingine!!
Binafsi sikumbuki kama kuna mtawala katili aliwahi kunyamazisha midomo ya wakosoaji wake. Maana ukimuua mmoja, wanazaliwa wengine 100. Njia pekee ya kuondokana na haya makando kando ni kwa mtawala tu kukubali kusikiliza mawazo ya wananchi, badala ya kusikiliza mawazo potofu ya kundi baya la wahuni waliomzunguka.
Kwani SA inajitawala?Nelson Mandela angekuwa muoga hivi mpaka sasa SA ingekuwa inatawaliwa
Bahati mbaya kwa Tanganyika, hilo jambo unalo lisema haliwezekani! Maana North Korea ina historia na utamaduni tofauti kabisa na Tanganyika. Na hili ni jambo ambalo unatakiwa kulifahamu.Nadhani utawala wa N.korea umefanikiwa katika hilo unalosema haliwezekani