Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Heheheh hujamwambia lakini mzee 😂😂😂! Ila wanawake wana kauli chafu kweli yani...Sasa hapo ni kuwa anataka umpe go ahead wakati kashacheza faulo tayari
Wanawake Akil zao ni ndog mno.

Mim nilikuw busy na maswal ya Kazi sas anatak muda wote muwasiliane wakat Si rahisi kama anavyohisi.. kila siku kaul hiyo hiyo.. nikaona nimuache kwa Amani.

Umuhim wa mtu huonekana akiwa Hayupo.. sahiv akil itakuw imemkaa sawa
 
Hahahah sasa mtu uache kaz uchat nayeye, next time make sure una date na 25+ mzee! Thats for serious
 
Mkuu mtu unapata vp ujasiri wa kuishi kwenye nyumba ya mwanamkee.. hapa ndipo dharau inapoanza.
 
Mkuu mtu unapata vp ujasiri wa kuishi kwenye nyumba ya mwanamkee.. hapa ndipo dharau inapoanza.
Tuna ndugu yetu,ni mwalmu Sec. Ameoa mwalimu pia,ila anafundisha Primary.
Huyo dada anaishi nyumba ya kotaz,ikabid amshawishi na jamaa ahamie pale..jamaa kahama aliko panga na kumfuata demu hapo kotaz.

Saiv ndugu yetu anakiona cha moto..! Anapelekwa mpera mpera,.
 
Mnapenda sana heka heka... mauza uza [emoji23][emoji23][emoji23]...mwanaume ni kuwa headache... pasua kichwa...kivuruge haswaa
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani. Honestly, napenda kuwa chini. Whats the difference sasa akiwa soft hivyo. Yaan nataka akiongea najisemea hee hapa nikijichanganya nimekwisha. Ndo raha bwana. Mwanaume akipooza sana anaboa
 
Tunawakatakata maini yote[emoji1787][emoji1787]
 
Ninadate na 27+ hana tofauti na stori ya jamaa hapo niache kazi nianze chat nae hawajawahi kukua hawa....

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Huyo demu mzigo huyo, mwanamke anayelazimish mchati muda wote maana hana shughuli inayomkeep busy. Sitaki kuongelea na mizinga kiasi gani unapigwa ila ipo kazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani. Honestly, napenda kuwa chini. Whats the difference sasa akiwa soft hivyo. Yaan nataka akiongea najisemea hee hapa nikijichanganya nimekwisha. Ndo raha bwana. Mwanaume akipooza sana anaboa
Ila akiwa hivyo mtasema tena oh limwanaume lina ukoloni sana. Ubabe mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…