miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Haahahaha yah. Mambo ya uzungu mimi sitaki. Diplomasia wabaki nayo akina Obama. I am a typical African. Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama being submisive ni ushamba basi let me beHahahah ondoa shaka, maombi yako yamejibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]! Im good at putting a woman in her place...Proudly a black king!
You earned my respect. Kama hujaolewa naomba nipe gharama za mahari mume yupo. We need more wives who hold the cultural values sio hizi mbuzi zinaojifanya kushupaza shingo. Keep up that spirit!Haahahaha yah. Mambo ya uzungu mimi sitaki. Diplomasia wabaki nayo akina Obama. I am a typical African. Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama being submisive ni ushamba basi let me be
Nilikuja kuelewa baadae sanaNareply kutokana na logic mkuu. Mimi ni muumini nayependa fairness to both sides. Miye mdada bana.
[emoji38]Maendeleo hayana chama...inanikera sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Tuna ndugu yetu,ni mwalmu Sec. Ameoa mwalimu pia,ila anafundisha Primary.
Huyo dada anaishi nyumba ya kotaz,ikabid amshawishi na jamaa ahamie pale..jamaa kahama aliko panga na kumfuata demu hapo kotaz.
Saiv ndugu yetu anakiona cha moto..! Anapelekwa mpera mpera,.
Nimetoka kutopokea simu ya mtu sasa hiviMizinga hapigi na mbaya zaidi simu za usiku ikifika saa nne anataka muongee mpaka saa saba usiku huko
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha ha ha....You earned my respect. Kama hujaolewa naomba nipe gharama za mahari mume yupo. We need more wives who hold the cultural values sio hizi mbuzi zinaojifanya kushupaza shingo. Keep up that spirit!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzio wanaona kama wanakuwa bullied eti. Mi ni yule baba ambaye sipendagi ujinga. Naitwaga dikteta humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuuNilikuja kuelewa baadae sana
Asante
Na ninahisi sio muda sana mtakinukisha tu.Aaah leo ni uwanja wenu kutusimanga; subirini tu zamu yetu
Ipo siku utachoka tuMie hata uniambiaje sikuachi
Nakung'ang'ania
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nimecheka, hadi sio vizuri....siku mojamoja upendeze na wewe..eeh
Nkabaki na maswali mengi kichwani..
Yule mkurya aliniambia, "dada zangu wamesema hunifai siwezi kukumudu". Aiseeeeee.
Ila maisha yalisonga
Hahahah mi mapema tu huwa nataka ujue kuwa utaishi na mimi kwa amani ukiwa unajua mipaka yako. Kwangu mwanamke anapika, kufua na kuosha vyombo na kulea na wala hamna room ya majadiliano kuhusu hayo😂😂😂😂 kuna mwenzako huyo kila tukifikia hapo ubishi unaanza. Anataka tupangiane zamu za kudeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua unaweza kuwa na principals na usiwe toxic? Lazima mwanaume awe na principals. Na lazima mujuane mapema. Vitu munavyoportray mwanzoni mwa mahusiano ndo mazoea ya milele hayo. Ukija lalamika inabidi tushangae
Hahahah ukijifanya kichaa kuna pilipili mbuzi pia. Cha muhimu kujitambua tu na kukaa katika nafasi yako always. Kuna raha mwanamke akiwa calm na msikivu. Makes you feel like a man and thats the most pleasurable feeling a woman can ever offer to her man.Ha ha ha ha ha ha....
Weee.... nyie wa huku jf? Sindo kuuana kabisa kwa presha? Matukio yatakua overdosage maana loh....