Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha enzi fulani
Shemeji yangu alikuwa akinywa pombe anachangamka hatari..akirudi home anampigisha stories kila mtu,Sasa akikaa sebuleni anaanza kuongea na sister basi mtacheka hadi basi.
Hahhaaaa basi mi na yeye hatujatofautiana sana.. nakua talkative utani mwingi yaan basi tu.
 
mkuu sasa sisi wasambaa hapo tumetokea wapi!? mbona unatunyanyasa!?..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] nisamehe mbwanga. Si nyie mkiongea kisambaa hatulalamiki shuleni ila tukiongea kidogo tu lugha ngeni kosa. Tunateeengwaaa. Ila mkisema nzenze basi kwatu roho zenu
 
Tulianza baada ya nyie kutaka 50/50
 
Tulianza baada ya nyie kutaka 50/50
Walitaka 50/50 baada ya ninyi kuona kama kuwatolea mahari na kuwahudumia ndoani ni kama kuwafanyia hisani wakati ni jukumu lenu! Hivyo mkaanza kuwanyanyasa kwa sababu mlijua hawana kauli na hawana pa kukimbilia!
 
Baada ya kuachana hotel nilienda Songea for 1 month akanipa hiyo habari na nilivorudi Dar nikaprove but sikuwa na muda mrefu nkadandia pipa
 
Wapo wengi tu sema maoandika andika vizungu ndo wengi mnafeli

Mnaamini mmeelimika na kujitambua

Tamaduni za ulaya unazileta huku
 
Jamani wanaume hii dunia ya sasa imebadilika na imeharibika hao wanawake mnaowataka na kuwaota humu kila kukicha hawapo tena na kama wapo basi ni wa kumulika kwa tochi ambao ni wachache kulingana na idadi ya wanaume mnaowahitaji!

Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…