Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha enzi fulani
Shemeji yangu alikuwa akinywa pombe anachangamka hatari..akirudi home anampigisha stories kila mtu,Sasa akikaa sebuleni anaanza kuongea na sister basi mtacheka hadi basi.
Hahhaaaa basi mi na yeye hatujatofautiana sana.. nakua talkative utani mwingi yaan basi tu.
 
mkuu sasa sisi wasambaa hapo tumetokea wapi!? mbona unatunyanyasa!?..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] nisamehe mbwanga. Si nyie mkiongea kisambaa hatulalamiki shuleni ila tukiongea kidogo tu lugha ngeni kosa. Tunateeengwaaa. Ila mkisema nzenze basi kwatu roho zenu
 
Aahh mimi kama tunapeana pesa kwa usawa basi hata kazi za ndani tutafanya kwa usawa tu hilo halina ubishi! Hayo yote nitafanya mwenyewe ikiwa pesa yangu ni yangu while pesa yako ni yetu fullstop!

Chanzo cha haya yote ni pale wanaume mlipoanza kutaka wanawake tuwasaidie majukumu yenu kitu ambacho hakipo kwenye tamaduni zetu! Mbaya zaidi mnaipinga 50/50 ila eti majukumu yenu tufanye kwa usawa!
Tulianza baada ya nyie kutaka 50/50
 
Tulianza baada ya nyie kutaka 50/50
Walitaka 50/50 baada ya ninyi kuona kama kuwatolea mahari na kuwahudumia ndoani ni kama kuwafanyia hisani wakati ni jukumu lenu! Hivyo mkaanza kuwanyanyasa kwa sababu mlijua hawana kauli na hawana pa kukimbilia!
 
Mkuu, hii mimba aliishika hapohapo hotelini? Na ukagundua mkiwa hapohapo? Na ukampima hapohapo? Sikatai kuwa alibeba mimba, ila nitashangaa kuwa ulijua ana mimba ndani ya wiki moja bila hata kupima.

Kingine kama ni kweli alibeba mimba yako na ukamfanyia hivo, ulimkosea mwanao na sio huyo mwanamke.
Baada ya kuachana hotel nilienda Songea for 1 month akanipa hiyo habari na nilivorudi Dar nikaprove but sikuwa na muda mrefu nkadandia pipa
 
Hivi kumbe bado mnawategemea madaktari kuwapa majibu ya afya za wake zenu? Hao hao madaktari ambao wakipewa kidogo tu wanatoa majibu ya uongo?

Hivi wanaume wanaopima DNA wakaambiwa watoto ni wao unafikiri wote majibu yanakuwa ni ya kweli? Wewe utasema unamhonga daktari hela ili akupe majibu ya ukweli mwenzio anagawa papuchi ili atoe majibu ya uongo na hautakaa ujue ndiyo maana nikasema bado hamjazijua akili za wanawake wa sasa mfumo dume umewatia upofu sana!

Unajua mie nikiongeaga haya huwa naonekana kama kahaba fulani hivi ambaye nayafanya haya! Uzuri kuna wanaume wenzenu wako humu tunafahamiana nje ya JF na wanajua mie ni mtu wa aina gani na wanajua ninapoongea haya huwa namaanisha nini!

Mie ninachojaribu kuwaambia humu ni uhalisia ambao upo kwenye jamii za sasa achana na hao wanawake wanaojisemea wenyewe nafsi zao eti they can be submissive to their men no matter what! Jamani wanaume hii dunia ya sasa imebadilika na imeharibika hao wanawake mnaowataka na kuwaota humu kila kukicha hawapo tena na kama wapo basi ni wa kumulika kwa tochi ambao ni wachache kulingana na idadi ya wanaume mnaowahitaji!
Wapo wengi tu sema maoandika andika vizungu ndo wengi mnafeli

Mnaamini mmeelimika na kujitambua

Tamaduni za ulaya unazileta huku
 
Jamani wanaume hii dunia ya sasa imebadilika na imeharibika hao wanawake mnaowataka na kuwaota humu kila kukicha hawapo tena na kama wapo basi ni wa kumulika kwa tochi ambao ni wachache kulingana na idadi ya wanaume mnaowahitaji!

Aiseee
 
Back
Top Bottom