cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Si ndo mayai yenyewe hayo mkuuMheshimiwa, Shahawa siyo mayai bali ni majimaji yanayobeba mbegu za mwanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndo mayai yenyewe hayo mkuuMheshimiwa, Shahawa siyo mayai bali ni majimaji yanayobeba mbegu za mwanaume.
Like what options ladyKu play part yangu hufanya Ila Kuna siku tu nakuwa moodless kabisa staki kufanya Jambo flani so hapo kwa kweli natafta another option
Hahhaaaa basi mi na yeye hatujatofautiana sana.. nakua talkative utani mwingi yaan basi tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha enzi fulani
Shemeji yangu alikuwa akinywa pombe anachangamka hatari..akirudi home anampigisha stories kila mtu,Sasa akikaa sebuleni anaanza kuongea na sister basi mtacheka hadi basi.
Kuna vitu Mimi sipendi kufanya lakini my partner anataka ana force licha ya kumpa sababu so huwa sipendi na mwishowe ananiona mbishi anataka la kwake tu litimie by any meanslike what options lady
Heheheh pole sana mkuuHata sitaki. Kwakweli nisamehewe tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] nisamehe mbwanga. Si nyie mkiongea kisambaa hatulalamiki shuleni ila tukiongea kidogo tu lugha ngeni kosa. Tunateeengwaaa. Ila mkisema nzenze basi kwatu roho zenumkuu sasa sisi wasambaa hapo tumetokea wapi!? mbona unatunyanyasa!?..
Ukitukana unapigwa huo mdomo.....Hongera sana
Kila mtu na malengo yake
Basi kumbe mpo kwa ajili ya kupoteza muda msilalamike mkitukanwa
Walevi buana[emoji23]hahhaaaa basi mi na yeye hatujatofautiana sana.. nakua talkative utani mwingi yaan basi tu.
Sawa nadhani wote mtakuwa mnaendana tuUkitukana unapigwa huo mdomo.....
Hapana mheshimiwa, mayai na mbegu ni vitu viwili tofauti ndiyo maana hata majina yake ni tofauti.Si ndo mayai yenyewe hayo mkuu
Tulianza baada ya nyie kutaka 50/50Aahh mimi kama tunapeana pesa kwa usawa basi hata kazi za ndani tutafanya kwa usawa tu hilo halina ubishi! Hayo yote nitafanya mwenyewe ikiwa pesa yangu ni yangu while pesa yako ni yetu fullstop!
Chanzo cha haya yote ni pale wanaume mlipoanza kutaka wanawake tuwasaidie majukumu yenu kitu ambacho hakipo kwenye tamaduni zetu! Mbaya zaidi mnaipinga 50/50 ila eti majukumu yenu tufanye kwa usawa!
Walitaka 50/50 baada ya ninyi kuona kama kuwatolea mahari na kuwahudumia ndoani ni kama kuwafanyia hisani wakati ni jukumu lenu! Hivyo mkaanza kuwanyanyasa kwa sababu mlijua hawana kauli na hawana pa kukimbilia!Tulianza baada ya nyie kutaka 50/50
Baada ya kuachana hotel nilienda Songea for 1 month akanipa hiyo habari na nilivorudi Dar nikaprove but sikuwa na muda mrefu nkadandia pipaMkuu, hii mimba aliishika hapohapo hotelini? Na ukagundua mkiwa hapohapo? Na ukampima hapohapo? Sikatai kuwa alibeba mimba, ila nitashangaa kuwa ulijua ana mimba ndani ya wiki moja bila hata kupima.
Kingine kama ni kweli alibeba mimba yako na ukamfanyia hivo, ulimkosea mwanao na sio huyo mwanamke.
Fuatilia kuhusu mwanao/damu yako.Baada ya kuachana hotel nilienda songea for 1month akanipa hyo habar na nilivorud dar nikaprove but sikua na muda mrefu nkadandia pipa
Wapo wengi tu sema maoandika andika vizungu ndo wengi mnafeliHivi kumbe bado mnawategemea madaktari kuwapa majibu ya afya za wake zenu? Hao hao madaktari ambao wakipewa kidogo tu wanatoa majibu ya uongo?
Hivi wanaume wanaopima DNA wakaambiwa watoto ni wao unafikiri wote majibu yanakuwa ni ya kweli? Wewe utasema unamhonga daktari hela ili akupe majibu ya ukweli mwenzio anagawa papuchi ili atoe majibu ya uongo na hautakaa ujue ndiyo maana nikasema bado hamjazijua akili za wanawake wa sasa mfumo dume umewatia upofu sana!
Unajua mie nikiongeaga haya huwa naonekana kama kahaba fulani hivi ambaye nayafanya haya! Uzuri kuna wanaume wenzenu wako humu tunafahamiana nje ya JF na wanajua mie ni mtu wa aina gani na wanajua ninapoongea haya huwa namaanisha nini!
Mie ninachojaribu kuwaambia humu ni uhalisia ambao upo kwenye jamii za sasa achana na hao wanawake wanaojisemea wenyewe nafsi zao eti they can be submissive to their men no matter what! Jamani wanaume hii dunia ya sasa imebadilika na imeharibika hao wanawake mnaowataka na kuwaota humu kila kukicha hawapo tena na kama wapo basi ni wa kumulika kwa tochi ambao ni wachache kulingana na idadi ya wanaume mnaowahitaji!
Jamani wanaume hii dunia ya sasa imebadilika na imeharibika hao wanawake mnaowataka na kuwaota humu kila kukicha hawapo tena na kama wapo basi ni wa kumulika kwa tochi ambao ni wachache kulingana na idadi ya wanaume mnaowahitaji!
Nani mzuri? Uzuri uko kwa mtu dear.Kumbe na nyie wazuri wazuri huwa mnapigwa chini pia![emoji6][emoji6][emoji6]
Nipo mpenzi. Sikuoni hata WhatsApp na wewe.Duh, hii ilikuwa major hit! Pole sana glad uliweza move on! Sikuhiz umepotea mpenzi...nani kakuficha aisee.?