T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Tafuta mtu sahihi, sasa hapa ndio ugumu unapokuja huwezi kumtambua mapemaNi kweli maisha ni rahisi sana! Ila tu watu wengi wanapata watu wasio sahihi na hali kama hii ndiyo inafanya wengi tuogope kuingia kwenye mahusiano au ndoa maana hali ni tete!
Katika uchumba watu wanaigiziana sana
Hitimisho ni kuomba Mungu tu ukipata anayeelewa masuala yalivyo utawashangaa wanaotazama ndoa kwa mtazamo chanya
Ingawa changamoto hazikosekani maana hamkuzaliwa tumbo moja lakini mengine yanavumilika