Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Financially ofcourse! Majukumu ya nyumbani si ni ya kwake?Katika lipi? Financially au majukumu ya nyumbani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Financially ofcourse! Majukumu ya nyumbani si ni ya kwake?Katika lipi? Financially au majukumu ya nyumbani?
Naam niko sawa kabisa! Kwani kuna shida mkuu?@Karma kuna tatizo? Uko sawa mdogo wangu?
Wacha bwana! Enhe shida iko wapi?Oooh sasa nimeelewa shida iko wapi
Sio kweliNaam niko sawa kabisa! Kwani kuna shida mkuu?
I suspected she was about to start mahusiano mapya nikamuuliza akaruka but viashiria viliendelea kuwepo.
Nikamuuliza tena n she came out like "We mwanaume una shida mahala,HUJIAMINI KABISAAAA.JIFUNZE KUJIAMINI BANA,UNABOA".
Yaani siwez sema nilivyojisikia since I 100% trusted my insticts that shit was bout to go down.
Siku anakwenda kunyanduliwa na huyo boya i had a dream,nikamuuliza asubuhi akanikumbusha "nisivyojiamini" but alikwenda,nikaona hotel walioingia.I refrained from having sex with her for a while before we broke up.
lONG STORY SHORT, she is now HIV+.
Sisi kwetu ni Africa na hapa ndio kwetu. Mtaishi kwa taratibu zetu za kiuongozi sio kuleta itikadi za ajabu ajabu.Basi hata ninyi kwa mentality hizo itabidi muende kuishi uzunguni huko ambako hela ya mwanaume ni ya wote na ya mwanamke ni ya wote na hakuna mgawanyo wa majukumu! Huku africa mtaendelea kulalamika na kuwaona wanawake ni wabinafsi ila hilo mnalotaka halitakaa kuja kutokea sababu tamaduni zetu zinalazimisha kuwe na mgawanyo wa majukumu hata yale ambayo yanaweza kufanywa na jinsia yoyote nayo yamegawanywa!
Basi aendelee kusubiri tu labda ataolewa na mzungu, Mana mume wake mtarajiwa hayupo Afrika hiiAlishasemaga kuwa yeye na dada zake ni newschool na wala mama yao hawamzingatii sababu yeye ni old school.[emoji28][emoji28][emoji28]
Umeona mkuu, Kuna shida mahaliOooh sasa nimeelewa shida iko wapi
Hata kufanya kazi kujitafutia kipato binafsi kwa mwanamke sio tamaduni zetu. Tamaduni zetu Ni zile za mwanamke golikipa. Nkikuruhusu ufanye kazi basi lazima hela yako nitie mkono wangu pia.Sawa hilo halina shida kama jamii haiwezi kuwa hivyo! Ila mbona na ninyi mnataka kulazimisha jamii ambayo mwanamke naye atakuwa anatoa pesa pasu kwa pasu sawa na mwanaume kwa kisingizio cha kwamba hayo ndiyo mapenzi wakati siyo tamaduni zetu?
[emoji3][emoji3][emoji3]Hata kufanya kazi kujitafutia kipato binafsi kwa mwanamke sio tamaduni zetu. Tamaduni zetu Ni zile za mwanamke golikipa. Nkikuruhusu ufanye kazi basi lazima hela yako nitie mkono wangu pia.
Nilipobaini kwake wanaume wote ni takataka nilimshauri aachane na mambo ya ndoa/mapenziUmeona mkuu, Kuna shida mahali
Asinielewe vibaya, Ila kwa mtazamo wake huo kla mwanaume ataupingaAtakuona kama unamzingua ila kimsingi ipo tafsiri kubwa katika hio sentensi hapo bro.
Wala mtazamo wake sio wa wanawakeAsinielewe vibaya, Ila kwa mtazamo wake huo kla mwanaume ataupinga
Hivi unafikiri ni rahisi kumnyima hela mwanamke unayempenda?Ndiyo na hata wewe ukiona mwanamke wako malaya au kiburi kwanini umhudumie? Usimpe hata mia yako ikiwezekana muambie akapewe na hao wanaume wengine kwani ukimnyima atakufanya nini wakati pesa ni zako?
By the way mie huwa nashangaa sana wanaume wanaolalamika eti wanawake wanapenda pesa! Yaani ningekuwa mwanaume kama mwanamke sijisikii kumpa pesa si simpi tu kwani nisipompa atanifanya nini yaani!
Kama ndivyo, mwanamke hatakiwi kufanya kazi. Akae nyumbani alee familia. Kwanini mnataka upande mmoja tu ndio unufaikie/kuumia na hiz 50/50 zenu? Yaani maana ya 50 50 inakuwaje sasa iwapo changu chako na chako chako?Inakuwaje lazima wakati siyo tamaduni za kiafrika? Si mnasema tunatakiwa tufuate tamaduni zetu za kiafrika au?
Sasa hizo distinctions mbona mnaziweka kwenye majukumu mengine? Mbona kwenye pesa hamziweki?Sisi kwetu ni Africa na hapa ndio kwetu. Mtaishi kwa taratibu zetu za kiuongozi sio kuleta itikadi za ajabu ajabu.
Mwanamke kiasili ameumbwa kutawaliwa. Njia ni tofauti ila mwisho wa siku kila mtu ana jinsi ya kum manage wa kwake.
Njia zangu zinaweza kuwa tofauti ila haimaanishi sio sahihi! If they work for me then kwangu ni OG! Kama ambaye anaona ni sahihi kwake kupangiana zame za kudeki na mkewe basi nayo OG. Kwangu mie kuna distinctions kati ya mke na mume.
Chief nunua mashine ya kufulia nguo kurahisisha kazi nyumbani.Unaongea na mwanaume wa tofauti sana na hao unaosema wapo katika jamii
Ni jana tu nimetoka kumsaidia wife shughuli fulani za nyumbani maana wiki hii amebanwa sana na shughuli za kuitafutia kipato familia
Sio kwamba mimi sina shughuli yangu ninayo ila yake kwao kuna moja imetokea nae akawemo na hiyo hela ameileta nikaiona tukaipangia
Kama kuna wanaume katika mazingira haya bado wataona wamejidhalilisha hawako sahihi
Mwanamke hawezi kutoka saa 10 alifajiri akaenda kutafuta hela akakuacha nyumbani umelala akarudi jioni sana pengine saa moja kasoro ukivaa viatu vyake unaona kabisa lazima atakuwa amechoka halafu aamke usiku afanye shughuli zake ndio aende huko anakojihimu kwa akili ya kawaida unajiongeza tu unaangalia shughuli iliyopo unamsaidia ili akiamka avae na kuondoka tu
Jana nimefua nguo zangu, zake na za mtoto kumpunguzia kazi
Sijajua unazungumzia wanaume wa aina gani pengine hapa ndio tunapishana
Kama ni Marioo hao hawakubaliki piga spana
Kama wale waliotopea kwenye mfumo dume piga spana
Kama wale washusha vipigo piga spana
Lakini kwa mwanaume straight lazima uende nae sawa
Nilihofia maana ilibaki kidogo useme wanaume wote mbwa...sio wotw bhana
Africa hii hii wapo wanaume hao hao ninaowaongelea! Jambo kama wewe haujawahi kuliona au kulisikia haimaanishi kuwa halipo jua kuna mwenzio kashaliona au kashalisikia mahali!Basi aendelee kusubiri tu labda ataolewa na mzungu, Mana mume wake mtarajiwa hayupo Afrika hii