Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Aiseee
I suspected she was about to start mahusiano mapya nikamuuliza akaruka but viashiria viliendelea kuwepo.
Nikamuuliza tena n she came out like "We mwanaume una shida mahala,HUJIAMINI KABISAAAA.JIFUNZE KUJIAMINI BANA,UNABOA".
Yaani siwez sema nilivyojisikia since I 100% trusted my insticts that shit was bout to go down.
Siku anakwenda kunyanduliwa na huyo boya i had a dream,nikamuuliza asubuhi akanikumbusha "nisivyojiamini" but alikwenda,nikaona hotel walioingia.I refrained from having sex with her for a while before we broke up.
lONG STORY SHORT, she is now HIV+.
 
Basi hata ninyi kwa mentality hizo itabidi muende kuishi uzunguni huko ambako hela ya mwanaume ni ya wote na ya mwanamke ni ya wote na hakuna mgawanyo wa majukumu! Huku africa mtaendelea kulalamika na kuwaona wanawake ni wabinafsi ila hilo mnalotaka halitakaa kuja kutokea sababu tamaduni zetu zinalazimisha kuwe na mgawanyo wa majukumu hata yale ambayo yanaweza kufanywa na jinsia yoyote nayo yamegawanywa!
Sisi kwetu ni Africa na hapa ndio kwetu. Mtaishi kwa taratibu zetu za kiuongozi sio kuleta itikadi za ajabu ajabu.

Mwanamke kiasili ameumbwa kutawaliwa. Njia ni tofauti ila mwisho wa siku kila mtu ana jinsi ya kum manage wa kwake.

Njia zangu zinaweza kuwa tofauti ila haimaanishi sio sahihi! If they work for me then kwangu ni OG! Kama ambaye anaona ni sahihi kwake kupangiana zame za kudeki na mkewe basi nayo OG. Kwangu mie kuna distinctions kati ya mke na mume.
 
Sawa hilo halina shida kama jamii haiwezi kuwa hivyo! Ila mbona na ninyi mnataka kulazimisha jamii ambayo mwanamke naye atakuwa anatoa pesa pasu kwa pasu sawa na mwanaume kwa kisingizio cha kwamba hayo ndiyo mapenzi wakati siyo tamaduni zetu?
Hata kufanya kazi kujitafutia kipato binafsi kwa mwanamke sio tamaduni zetu. Tamaduni zetu Ni zile za mwanamke golikipa. Nkikuruhusu ufanye kazi basi lazima hela yako nitie mkono wangu pia.
 
Ndiyo na hata wewe ukiona mwanamke wako malaya au kiburi kwanini umhudumie? Usimpe hata mia yako ikiwezekana muambie akapewe na hao wanaume wengine kwani ukimnyima atakufanya nini wakati pesa ni zako?

By the way mie huwa nashangaa sana wanaume wanaolalamika eti wanawake wanapenda pesa! Yaani ningekuwa mwanaume kama mwanamke sijisikii kumpa pesa si simpi tu kwani nisipompa atanifanya nini yaani!
Hivi unafikiri ni rahisi kumnyima hela mwanamke unayempenda?
 
Inakuwaje lazima wakati siyo tamaduni za kiafrika? Si mnasema tunatakiwa tufuate tamaduni zetu za kiafrika au?
Kama ndivyo, mwanamke hatakiwi kufanya kazi. Akae nyumbani alee familia. Kwanini mnataka upande mmoja tu ndio unufaikie/kuumia na hiz 50/50 zenu? Yaani maana ya 50 50 inakuwaje sasa iwapo changu chako na chako chako?
 
Sisi kwetu ni Africa na hapa ndio kwetu. Mtaishi kwa taratibu zetu za kiuongozi sio kuleta itikadi za ajabu ajabu.

Mwanamke kiasili ameumbwa kutawaliwa. Njia ni tofauti ila mwisho wa siku kila mtu ana jinsi ya kum manage wa kwake.

Njia zangu zinaweza kuwa tofauti ila haimaanishi sio sahihi! If they work for me then kwangu ni OG! Kama ambaye anaona ni sahihi kwake kupangiana zame za kudeki na mkewe basi nayo OG. Kwangu mie kuna distinctions kati ya mke na mume.
Sasa hizo distinctions mbona mnaziweka kwenye majukumu mengine? Mbona kwenye pesa hamziweki?
 
Unaongea na mwanaume wa tofauti sana na hao unaosema wapo katika jamii
Ni jana tu nimetoka kumsaidia wife shughuli fulani za nyumbani maana wiki hii amebanwa sana na shughuli za kuitafutia kipato familia

Sio kwamba mimi sina shughuli yangu ninayo ila yake kwao kuna moja imetokea nae akawemo na hiyo hela ameileta nikaiona tukaipangia

Kama kuna wanaume katika mazingira haya bado wataona wamejidhalilisha hawako sahihi

Mwanamke hawezi kutoka saa 10 alifajiri akaenda kutafuta hela akakuacha nyumbani umelala akarudi jioni sana pengine saa moja kasoro ukivaa viatu vyake unaona kabisa lazima atakuwa amechoka halafu aamke usiku afanye shughuli zake ndio aende huko anakojihimu kwa akili ya kawaida unajiongeza tu unaangalia shughuli iliyopo unamsaidia ili akiamka avae na kuondoka tu

Jana nimefua nguo zangu, zake na za mtoto kumpunguzia kazi

Sijajua unazungumzia wanaume wa aina gani pengine hapa ndio tunapishana

Kama ni Marioo hao hawakubaliki piga spana
Kama wale waliotopea kwenye mfumo dume piga spana
Kama wale washusha vipigo piga spana

Lakini kwa mwanaume straight lazima uende nae sawa

Nilihofia maana ilibaki kidogo useme wanaume wote mbwa...sio wotw bhana
Chief nunua mashine ya kufulia nguo kurahisisha kazi nyumbani.
 
Back
Top Bottom