Tafuta mtu sahihi, sasa hapa ndio ugumu unapokuja huwezi kumtambua mapemaNi kweli maisha ni rahisi sana! Ila tu watu wengi wanapata watu wasio sahihi na hali kama hii ndiyo inafanya wengi tuogope kuingia kwenye mahusiano au ndoa maana hali ni tete!
Kwani hili ni la ajabu na kwanini mlitumie kama sababu? Na ndiyo maana nasema jamii ndiyo inatakiwa ianze kubadili mtazamo ianze kuona ni kawaida na hao mashoga ni sehemu ya jamii!Unaweza ukawa sawa usemacho, Ila je, utafurahi siku wamekuja mashoga zako kukutembelea wakakuta mumeo anaosha vyombo au anadeki!???
Kwa kweli mie nasemaga inategemea na huyo mwanaume ana tabia zipi! Kama ni limalaya au linyanyasaji kwa kweli hapana atanisamehe!Kulingana na hali za kiuchumi
Kwahiyo hutaki?
Na hapo ndipo ubishi unapozaliwa kwa binti Karma. Muongelee yote ila kitu kinachoitwa cost sharing ni msamiati ambao haupo kwake.Kulingana na hali za kiuchumi
Kwahiyo hutaki?
Sawa hilo ni sawa kabisa na wala hakuna atakayekulazimisha kufanya hizo kazi wakati wote! Kwa sababu hata mwanamke naye anatakiwa akusaidie pale unapokwama tu na siyo wakati wote au eti nusu kwa nusu!Mimi sifanyi wakati wote nisiwe muongo lakini kuna wakati nafikiri anahitaji msaada
Kama alipokuwa mjamzito, alianza kuumwa tangu wiki ya kwanza mpaka miezi tisa
Nimenyooka kweli kweli kupika, kufua nk. hadi alipopatikana binti msaidizi
Kwa akili hii unastahili kuishi mji wa Roma tu sio Africa. Mentality yako na iendelee kuishi kichwani mwako maana haina mahali ambapo itakuwa salama katika anga la Africa.Kwani hili ni la ajabu na kwanini mlitumie kama sababu? Na ndiyo maana nasema jamii ndiyo inatakiwa ianze kubadili mtazamo ianze kuona ni kawaida na hao mashoga ni sehemu ya jamii!
Mkuu mimi nimeona nibaki single tu hadi nakufa sihitaji uchumba wala ndoa na wala sihitaji tendo la ndoa maana kwangu siyo starehe! I am better off being single!Tafuta mtu sahihi, sasa hapa ndio ugumu unapokuja huwezi kumtambua mapema
Katika uchumba watu wanaigiziana sana
Hitimisho ni kuomba Mungu tu ukipata anayeelewa masuala yalivyo utawashangaa wanaotazama ndoa kwa mtazamo chanya
Ingawa changamoto hazikosekani maana hamkuzaliwa tumbo moja lakini mengine yanavumilika
Hahahaha hilo linaitwa pigo takatifu π π πNiliambiwa sioni umuhimu wa kuwa na wewe... mweee nilichoka nkakaa na chini na kiherehere changu kikaniisha nikakubali kushindwa nkaachana nae for good maisha yakasonga nashukuru Mungu nw nipo na mwanaume wa maisha yangu....
Wewe ndiyo unajifanya haunielewi! Mwanaume akinisaidia majukumu yangu hata mie nitamsaidia yake ila akiniachia yangu nifanye peke yangu basi hata yake nami nitamuachia afanye peke yake sasa hapo shida iko wapi?Na hapo ndipo ubishi unapozaliwa kwa binti Karma. Muongelee yote ila kitu kinachoitwa cost sharing ni msamiati ambao haupo kwake.
Yani kote mtaenda sawa ila hapo pa yeye kutoa sh.100 yake tu kuchangia matumizi ndani ya nyumba ata kwa kununua pilipili tu ya kulia ugali lazma akushushie gazeti ila kwenye kupangiana zamu za kudeki na kupika au kufua aah moyo wake baridiiii[emoji28][emoji28][emoji28]!!! Atakuita jentromeni na kijana wa kileo kabisa.
Hii vita ni kubwa kama Marekani na Mrusi.
Basi hata ninyi kwa mentality hizo itabidi muende kuishi uzunguni huko ambako hela ya mwanaume ni ya wote na ya mwanamke ni ya wote na hakuna mgawanyo wa majukumu! Huku africa mtaendelea kulalamika na kuwaona wanawake ni wabinafsi ila hilo mnalotaka halitakaa kuja kutokea sababu tamaduni zetu zinalazimisha kuwe na mgawanyo wa majukumu hata yale ambayo yanaweza kufanywa na jinsia yoyote nayo yamegawanywa!Kwa akili hii unastahili kuishi mji wa Roma tu sio Africa. Mentality yako na iendelee kuishi kichwani mwako maana haina mahali ambapo itakuwa salama katika anga la Africa.
NakubaliKwa kweli mie nasemaga inategemea na huyo mwanaume ana tabia zipi! Kama ni limalaya au linyanyasaji kwa kweli hapana atanisamehe!
Nafikiri tunaelewana anasema inategemea na mwanaume hapo nakubaliana naeNa hapo ndipo ubishi unapozaliwa kwa binti Karma. Muongelee yote ila kitu kinachoitwa cost sharing ni msamiati ambao haupo kwake.
Yani kote mtaenda sawa ila hapo pa yeye kutoa sh.100 yake tu kuchangia matumizi ndani ya nyumba ata kwa kununua pilipili tu ya kulia ugali lazma akushushie gazeti ila kwenye kupangiana zamu za kudeki na kupika au kufua aah moyo wake baridiiii[emoji28][emoji28][emoji28]!!! Atakuita jentromeni na kijana wa kileo kabisa.
Hii vita ni kubwa kama Marekani na Mrusi.
Jamii gani unayoiongelea, kama Ni hii ya kwetu sahau. Huo mtazamo umerithi kwa mama au ni wa kwako tu. Na kama ni wako ushawahi kumuulza mama akakujibu nini. Au utasema mama nae ana mtazamo oldschoolKwani hili ni la ajabu na kwanini mlitumie kama sababu? Na ndiyo maana nasema jamii ndiyo inatakiwa ianze kubadili mtazamo ianze kuona ni kawaida na hao mashoga ni sehemu ya jamii!
Katika lipi? Financially au majukumu ya nyumbani?Sawa hilo ni sawa kabisa na wala hakuna atakayekulazimisha kufanya hizo kazi wakati wote! Kwa sababu hata mwanamke naye anatakiwa akusaidie pale unapokwama tu na siyo wakati wote au eti nusu kwa nusu!
@Karma kuna tatizo? Uko sawa mdogo wangu?Kwani hili ni la ajabu na kwanini mlitumie kama sababu? Na ndiyo maana nasema jamii ndiyo inatakiwa ianze kubadili mtazamo ianze kuona ni kawaida na hao mashoga ni sehemu ya jamii!
Alishasemaga kuwa yeye na dada zake ni newschool na wala mama yao hawamzingatii sababu yeye ni old school.π π πJamii gani unayoiongelea, kama Ni hii ya kwetu sahau. Huo mtazamo umerithi kwa mama au ni wa kwako tu. Na kama ni wako ushawahi kumuulza mama akakujibu nini. Au utasema mama nae ana mtazamo oldschool
Ndiyo na hata wewe ukiona mwanamke wako malaya au kiburi kwanini umhudumie? Usimpe hata mia yako ikiwezekana muambie akapewe na hao wanaume wengine kwani ukimnyima atakufanya nini wakati pesa ni zako?Nakubali
Huyo kanielewa sana ila kaamua kukaza kichwa! Maana hata ukiangalia kila tunavyobishana mie huwa naongea yale yale kila siku ila anajifanya hanielewi!Nafikiri tunaelewana anasema inategemea na mwanaume hapo nakubaliana nae
Oooh sasa nimeelewa shida iko wapiMkuu mimi nimeona nibaki single tu hadi nakufa sihitaji uchumba wala ndoa na wala sihitaji tendo la ndoa maana kwangu siyo starehe! I am better off being single!
Sawa hilo halina shida kama jamii haiwezi kuwa hivyo! Ila mbona na ninyi mnataka kulazimisha jamii ambayo mwanamke naye atakuwa anatoa pesa pasu kwa pasu sawa na mwanaume kwa kisingizio cha kwamba hayo ndiyo mapenzi wakati siyo tamaduni zetu?Jamii gani unayoiongelea, kama Ni hii ya kwetu sahau. Huo mtazamo umerithi kwa mama au ni wa kwako tu. Na kama ni wako ushawahi kumuulza mama akakujibu nini. Au utasema mama nae ana mtazamo oldschool