Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ndipo matatizo yalipoanzia.

Naona tu jinsi wanavyotulaumu humu[emoji23][emoji23]
 
Alikuwa anaongea na simu huku akifoka.. nikamuuliza vipi mama unaongea na nani mbona unamfokea ivo akaniambia ni mtu wangu wa zamani bado ananililia lia hapa.. nikasema duu.. akajibu..

" wakati wake ulishapita , sahizi ni wakati wako bhana, ukitoka wewe utakuja wakati wa mwingine pia , ndo maisha yenyewe"..
 
Duh kwani yeye amekua kama basi ya mwendo kasi kushusha nakupakia abiria wampya pole sana
 
niliwahi ambiwa "we si unanichukulia poa eee!!! kwa taarifa yako kuna wanaume wazuri na wenye vipato zaidi yako wananihitaji"

kauli hii ilinikata maini nikaamua kumuacha taratibu,
wanawake sa ingine wakiuliziwa sana na vidume kitaa huvimba bt matokeo yake huangukia pua na kuwakumbuka walowatamkia shit
 
si unaonekana bahili.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana hutoi hadi uombwe
 
Mwanamke akiwa na soko anakuwa na nyodo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji849][emoji849]
 
Hahahahah hii lazma macho yakutoke kama fundi saa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mmh nilipata mrembo slayi queen nilidhani nimepata mke wa kudumu.....siku moja namkuta chumbani anatafuna mirungi (mira) na bigG nilishia nguvu nilianza kujiiuliza masuali mengi......nimeferi wapi lakini
Huyo lazma mtoto wa kitanga tuπŸ˜…
 
Kuna binti flani nilikua na date nae kipindi nipo chuo hapa mjini. Huyu binti sijui ni usichana mwingi, u much know sana, sijui ndio alikua ame hit peak yake au lah.

Alikua anapenda sana matusi ya reja reja. Leo akwambie acha usenge bhasi, mara upo slow sana, acha uboya na mengineyo mengi. Ila on top ni hili "https://jamii.app/JFUserGuide you boy". Alinambia mara ya kwanza nikamkanya hakusikia.

Aliporudia mara ya pili, nikasema acha iwe. Mwanaume nikapiga chini. Cha ajabu sasa alinililia sana. Mno mpaka kunitishia amebeba ujauzito wangu, mpaka nikabaki nashangaa sasa matashtiti yots yale yalikua ya nini.
 
πŸ‘Hahah you handled that disrespect situation like a real man! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Safi sana mzee adabu imerejea mahali pake.
 
Alikuwa anajifanya Tom-Boy uchwara! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…