Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

ilikuwa ni majadiliano kiasi kuhusu mahusiano na jinsia zote mbili ke/me ghafla mwanamke mmoja akasema namnukuu:
"mwanaume hata umlambe ma**ko hawezi kutulia na mwanamke mmoja'' hii kauli ilinikata maini sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli mkuu Yani unapewa neno linajirudia kichwani mara miasaba na kusahau huwezi.
kwakweli ni kama mwaka umepita lakini huwa nakumbuka na kusema tu mungu na watu wake bwana
 
To me its very difficult. I am not an angel. Nakosea and i always apologise. Kitu siwezagi ni kugombana na mtu nayempenda. I always wall away to keep my inner peace. Kugombana na mtu nampenda ni too big tesion for me. And too bad nakutana na hawa narcissists sana. Sijui kwanini. They always play victims
 
Unaanza kumburuza yeye sasa [emoji23][emoji23][emoji23] narcissist anapagawa ukimpora attention tu.
It works a lot. A lot.... naona raha nikipitia status. At first i saw him pretending hajali. Laters status zimebadilika for some hope themes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji111] ila it hurts a lot
 
Wakitanga nilishakua nae alikua na tabia ya kukaa vijueni kunywa kahawa na watu nakupiga stori za simba na Yanga.....
[emoji3][emoji3][emoji3] Em mkuu nihadithie kdgo kuhusu huyo dem wa kukaa vijiweni??? Alkua mmama au ....Inashangaza
 
dont let yourself get sucked into the drama
 
I agree. I witnessed[emoji28] lets meet.. sina hela... halaf anaenda kwa slay queen mwisho wa siku sasa..
 
Hii ni hatari mkuu utasababisha mauaji upate kesi
 
kuna kauli sio mbaya ni laini kabisa ila huwa zinapasua moyo wa mtu,chunga sana kuzisikia.

niliambiwa hivi na binti mzuri sana niliyempenda"mkorinto najua unanipenda sana,lakini mimi nampenda zaidi fulani uliyemuweka profile whatsapp"
hiyo ni baada ya kushika simu yake siku kama mbili hivi nyuma na kukuta akimbembeleza mlamba lipsi mmoja hivi mwenye sura ya dada yake,mbaya zaidi jamaa hakuonyesha kubabaika kabisa na demu kama ambavyo mjuba nasafa[emoji1][emoji1][emoji1],aisee usisikie.nikawa nahisi maini yanatoka,huyo jamaa ndio huyo alimuweka kwenye profile,nilimuelewa alichoniambia.

nikasema wacha nikae kando nisome mchezo,miezi kama 7 hivi nashangaa mtu huyooo,mbona kimya nowerdays,nikamjibu niko bussy tu,vipi HB wako hajambo???akajibu achana naye tuzungunze yetu,nikamjibu una bahati mwanzo ulikuwa mkweli napenda watu wakweli,ingawa tulikuja achana kwa sababu nyingine.nikaoa sijui yeye yukoje aliko hope mambo ni slope pia kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…