kuna kauli sio mbaya ni laini kabisa ila huwa zinapasua moyo wa mtu,chunga sana kuzisikia.
niliambiwa hivi na binti mzuri sana niliyempenda"mkorinto najua unanipenda sana,lakini mimi nampenda zaidi fulani uliyemuweka profile whatsapp"
hiyo ni baada ya kushika simu yake siku kama mbili hivi nyuma na kukuta akimbembeleza mlamba lipsi mmoja hivi mwenye sura ya dada yake,mbaya zaidi jamaa hakuonyesha kubabaika kabisa na demu kama ambavyo mjuba nasafa[emoji1][emoji1][emoji1],aisee usisikie.nikawa nahisi maini yanatoka,huyo jamaa ndio huyo alimuweka kwenye profile,nilimuelewa alichoniambia.
nikasema wacha nikae kando nisome mchezo,miezi kama 7 hivi nashangaa mtu huyooo,mbona kimya nowerdays,nikamjibu niko bussy tu,vipi HB wako hajambo???akajibu achana naye tuzungunze yetu,nikamjibu una bahati mwanzo ulikuwa mkweli napenda watu wakweli,ingawa tulikuja achana kwa sababu nyingine.nikaoa sijui yeye yukoje aliko hope mambo ni slope pia kwake.