Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

And what makes you think kwenye dunia ya sasa kuna jinsia ambayo ina cha kupoteza? Hayo ya kusema eti wanawake ndiyo tunapoteza yamebaki kuwa ya mitandaoni tu!

Huko nje uhalisia ni tofauti kuna wanawake wako kwenye early 30s ni makahaba wastaafu ila wanaolewa ilihali vibinti vinavyojitunza in their mid 20s haviolewi mnasingizia eti havijielewi na visumbufu kwenye mahusiano! Wanaume wengi hamjui mnachotaka!
Teh umenikumbusha kitu, kuna makahaba 3 wastaafu nawafahamu wameolewa ndoa kabisa za harusi kali, now wametulia tuliiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na wanaume wenye uume tu bila akili ndio wengi sikuhizi, na hata hyo zamani hawakuwepo ni vile walizoea kukandamiza wanawake, sasa sikuhizi Nani wakuvumilia ujinga wa mwanaume suruali aisee?
Si ndio hapo sasa! Mi nashangaa sijui na mwanaume wa hovyo anapata wapi ujasiri wa kusema anataka mwanamke mwenye sifa za mke sijui anataka ambebeshe mtoto wa nani huo mzigo na mbaya zaidi hataki kubadilika!
 
We hujiulizi kwanini ndoa siku hizi hazidumu na zinazodumu ziko hai bin taaban?
Simple tu, wanaume wa siku hizi AKILI hakuna kabisa.
... wanawake wa siku hizi Mungu kawapa akili hadi wanaume wameshindwa kuishi nao. Yaani law of proportionality inafanya kazi against men, teh. Kadri mwanaume anavyopungukiwa akili ndio akili za mwanamke zinaongezeka.
 
Teh umenikumbusha kitu, kuna makahaba 3 wastaafu nawafahamu wameolewa ndoa kabisa za harusi kali, now wametulia tuliiii
Tukiongea hayo humu tunaonekana tunapenda kubishana! Lakini ninyi wenyewe wanaume si mnaona miujiza mnayoifanya huko mitaani ilihali humu mitandaoni mnaongea tofauti!
 
Na kama hujui, wanawake hutumia utani kufikisha ujumbe. Kuna siku utajua hujui pale utakapoachana naye kosha uanze kuutafakari utani wenu, lazima utagundua ulidharaulika zamani.
Nimechekaaaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Hahahah mi mapema tu huwa nataka ujue kuwa utaishi na mimi kwa amani ukiwa unajua mipaka yako. Kwangu mwanamke anapika, kufua na kuosha vyombo na kulea na wala hamna room ya majadiliano kuhusu hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwenzako huyo kila tukifikia hapo ubishi unaanza. Anataka tupangiane zamu za kudeki
Ukiwa na uwezo wa kudunduliza sawa. Ila uwezo wa kiuchumi ukipanda tu, utasikia analalamika unamnyanyasa
 
You make the rules when you make the money and not otherwise! Kama hausimamii majukumu yako you make the rules for what and for who au mnadhani mwanaume kuwa na uume tu ndiyo tayari umeumbwa kuwa kiongozi na kichwa cha familia?
Unajua nimegundua kitu kimoja! Wewe unalazimisha mawazo yako mwenyewe ndiyo yawe ya kwangu hebu tuelewane kitu kimoja!

Kama baba ndiyo unaleta chakula nyumbani mimi hayo majukumu ya kupika sijui kufua wewe hayakuhusu niachie mwenyewe! Yaani mimi nitakufanyia kila kitu na kukuheshimu nitakuheshimu kama kawaida!

Ila ninachosema hapa ni kwamba wewe na huyo mwenzako mnaosema eti mwanamke akiwa mama wa nyumbani utakuwa unampelekesha kama punda eti kisa unamhudumia huo ndiyo upumbavu wenyewe! Muache afanye majukumu yake bila kumpelekesha wala kumfokeafokea bali uendelee kumhudumia na kumuonesha upendo!

Maana wewe hilo ni jukumu lako usione kama unamfanyia hisani! Timiza majukumu yako kama ambavyo yeye anatimiza ya kwake simple as that ya nini mpelekeshane!
In my opinion unaongea perfect sense.

Japo practically ni ngumu kwasababu ya ego zetu wanaume ila thats how it should be.

Mwanaume ukicompromise kwenye funding usaidiwe then chill and give the woman a break. Let her manage the household ila usimpush.

Mwanaume ukitaka tight control over every thing the woman does, kwamba I want this done / ready by this time, pay for the fvcking privilege.

Either give your wife a break from financial responsibilities or domestic ones.

Personally I wish to give my wife a break from financial responsibilities ili awe exclusively kwa matumizi yangu binafsi.
 
Wote tu hukera Sana, Mimi akinisiliba na mtoto na mwambie akazae huko asinichoshe Mimi ukute hata yeye Hana mayai vilevile
Mwanaume hawezi kuwa na mayai bibie, Labda ulitaka kusema hana mbegu hai!?
 
Ku provide sio hisani ila kinachotushangaza ni kwamba nyie watoto wa sikuhizi ndio mnaona kama kuwaheshimu wanaume zenu kama kuwafanyia favour hivi ndo maana mnakomaa na kushindana nao...eti ooh asiponifanyia hivi namie vile sifanyi. Mnaendaga deep na kuanza kubana ngenya mkihisi mtamkomoa mtu aanze kubembelezea kitobo wakati ameshapewa leseni ya matumizi toka madhabahuni.

Mambo ya kishamba kweli, yani kumfanyia jambo special mpenzi wako mpaka kuwe na condition flani. Af unategemea mume akupende! For what!
Mwanamke anayekuwekea ultimatum au conditions ili akupe mzigo aisee nikiona hizi dalili ni chap kwa haraka namreplace. Hata kama nimeoa. She needs to be put in her place.

Tupambane kote ila sio kwenye vikojoleo. Kichwa cha chini hakina ubongo wa kujua right & wrong kinajaaga damu tu sasa ukikikorofisha balaa lake hutaliweza.
 
Back
Top Bottom