Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
haujambo?Hebu jaribu nione kama itauma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haujambo?Hebu jaribu nione kama itauma
Hahahaha hebu kunywa bia hukoHapa nina mahasira ya Trump, Simba, Lissu
Na kama hujui, wanawake hutumia utani kufikisha ujumbe. Kuna siku utajua hujui pale utakapoachana naye kosha uanze kuutafakari utani wenu, lazima utagundua ulidharaulika zamani.Huyu mtoto wa watu hajawahi nijibu kunya, Labda kwenye utani
[emoji28][emoji28][emoji28]
Teh umenikumbusha kitu, kuna makahaba 3 wastaafu nawafahamu wameolewa ndoa kabisa za harusi kali, now wametulia tuliiiiAnd what makes you think kwenye dunia ya sasa kuna jinsia ambayo ina cha kupoteza? Hayo ya kusema eti wanawake ndiyo tunapoteza yamebaki kuwa ya mitandaoni tu!
Huko nje uhalisia ni tofauti kuna wanawake wako kwenye early 30s ni makahaba wastaafu ila wanaolewa ilihali vibinti vinavyojitunza in their mid 20s haviolewi mnasingizia eti havijielewi na visumbufu kwenye mahusiano! Wanaume wengi hamjui mnachotaka!
Si ndio hapo sasa! Mi nashangaa sijui na mwanaume wa hovyo anapata wapi ujasiri wa kusema anataka mwanamke mwenye sifa za mke sijui anataka ambebeshe mtoto wa nani huo mzigo na mbaya zaidi hataki kubadilika![emoji23][emoji23][emoji23] na wanaume wenye uume tu bila akili ndio wengi sikuhizi, na hata hyo zamani hawakuwepo ni vile walizoea kukandamiza wanawake, sasa sikuhizi Nani wakuvumilia ujinga wa mwanaume suruali aisee?
... wanawake wa siku hizi Mungu kawapa akili hadi wanaume wameshindwa kuishi nao. Yaani law of proportionality inafanya kazi against men, teh. Kadri mwanaume anavyopungukiwa akili ndio akili za mwanamke zinaongezeka.We hujiulizi kwanini ndoa siku hizi hazidumu na zinazodumu ziko hai bin taaban?
Simple tu, wanaume wa siku hizi AKILI hakuna kabisa.
Nishakunywa sparletta...Hahahaha hebu kunywa bia huko
Tukiongea hayo humu tunaonekana tunapenda kubishana! Lakini ninyi wenyewe wanaume si mnaona miujiza mnayoifanya huko mitaani ilihali humu mitandaoni mnaongea tofauti!Teh umenikumbusha kitu, kuna makahaba 3 wastaafu nawafahamu wameolewa ndoa kabisa za harusi kali, now wametulia tuliiii
Nimechekaaaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Na kama hujui, wanawake hutumia utani kufikisha ujumbe. Kuna siku utajua hujui pale utakapoachana naye kosha uanze kuutafakari utani wenu, lazima utagundua ulidharaulika zamani.
Ukiwa na uwezo wa kudunduliza sawa. Ila uwezo wa kiuchumi ukipanda tu, utasikia analalamika unamnyanyasaHahahah mi mapema tu huwa nataka ujue kuwa utaishi na mimi kwa amani ukiwa unajua mipaka yako. Kwangu mwanamke anapika, kufua na kuosha vyombo na kulea na wala hamna room ya majadiliano kuhusu hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwenzako huyo kila tukifikia hapo ubishi unaanza. Anataka tupangiane zamu za kudeki
😂😂😂😂😂Nishakunywa sparletta...
Niliwahi onja kiroba mwaka 07 nikasema sitakunywa tena sijawahi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe kiroba cha nini sasa kunywa wine,serengeti liteNiliwahi onja kiroba mwaka 07 nikasema sitakunywa tena sijawahi,
Hivyo vitu sijazoea na sitavijaribuSasa wewe kiroba cha nini sasa kunywa wine,serengeti lite
Drink 🍺 save waterHivyo vitu sijazoea na sitavijaribu
na PM umefungaDrink [emoji481] save water
Weee kweli?na PM umefunga
You make the rules when you make the money and not otherwise! Kama hausimamii majukumu yako you make the rules for what and for who au mnadhani mwanaume kuwa na uume tu ndiyo tayari umeumbwa kuwa kiongozi na kichwa cha familia?
In my opinion unaongea perfect sense.Unajua nimegundua kitu kimoja! Wewe unalazimisha mawazo yako mwenyewe ndiyo yawe ya kwangu hebu tuelewane kitu kimoja!
Kama baba ndiyo unaleta chakula nyumbani mimi hayo majukumu ya kupika sijui kufua wewe hayakuhusu niachie mwenyewe! Yaani mimi nitakufanyia kila kitu na kukuheshimu nitakuheshimu kama kawaida!
Ila ninachosema hapa ni kwamba wewe na huyo mwenzako mnaosema eti mwanamke akiwa mama wa nyumbani utakuwa unampelekesha kama punda eti kisa unamhudumia huo ndiyo upumbavu wenyewe! Muache afanye majukumu yake bila kumpelekesha wala kumfokeafokea bali uendelee kumhudumia na kumuonesha upendo!
Maana wewe hilo ni jukumu lako usione kama unamfanyia hisani! Timiza majukumu yako kama ambavyo yeye anatimiza ya kwake simple as that ya nini mpelekeshane!
Mwanaume hawezi kuwa na mayai bibie, Labda ulitaka kusema hana mbegu hai!?Wote tu hukera Sana, Mimi akinisiliba na mtoto na mwambie akazae huko asinichoshe Mimi ukute hata yeye Hana mayai vilevile
Mwanamke anayekuwekea ultimatum au conditions ili akupe mzigo aisee nikiona hizi dalili ni chap kwa haraka namreplace. Hata kama nimeoa. She needs to be put in her place.Ku provide sio hisani ila kinachotushangaza ni kwamba nyie watoto wa sikuhizi ndio mnaona kama kuwaheshimu wanaume zenu kama kuwafanyia favour hivi ndo maana mnakomaa na kushindana nao...eti ooh asiponifanyia hivi namie vile sifanyi. Mnaendaga deep na kuanza kubana ngenya mkihisi mtamkomoa mtu aanze kubembelezea kitobo wakati ameshapewa leseni ya matumizi toka madhabahuni.
Mambo ya kishamba kweli, yani kumfanyia jambo special mpenzi wako mpaka kuwe na condition flani. Af unategemea mume akupende! For what!