Na zaidi. Kuna mmoja aliwahi kuleta ufala wa namna hii. Yeye kila tukiongea sawa, anasema "mwanaume anayempiga mwanamke huwa namdharau." Wakati huo alikuwa akiniudhi naondoka eneo la tukio, hasira zikiisha namtafuta.
Siku ya tukio alinitumia ujumbe fulani wa kukera. Nikampigia simu kuuliza kulikoni akanijibu ndio hivo. Mbaya zaidi akaongeza "hv kwenye kundi la wanaume na wewe umo?" [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] nikajifanya mpole nikaomba msamaha (ili ajae) akavunga kunitukana zaidi. Nikamuuliza kwann asije tuyajenge kuliko kunitukana hivo? Lengo langu aje home ili adhabu ikianza wasiseme nilimvamia coz hasira ilikuwa imezidi urefu wangu. Alivyo pimbi akaunga mpaka home. Tuko chumbani nikamuuliza shida nini. Nina kawaida moja, mtu akiniudhi halafu nikajitenga nae huwa hasira zinapotea. So demu alivyokuja akaona hili boya kabisa. Akaanza ujinga wa kwenye simu, nikakumbuka kilichomleta. Nikamwambia tulia unielezee maana naweza kukubadilikia mpaka ushangae. [emoji15][emoji15][emoji15] "aiubadilike, unafikiri nakuogopa, kha! Kama wewe ni mwanaume unaetembea **mbu zimening'inia ndani ya boksa, niguse uone." Aisee alikula ngumi moja ya kidevu akapiga yowe nikahisi bati linnang'oka. Ni ngumi mbili na makofi matatu yaliyopelekea achuruzike damu puani na mdomoni, eti akavunga amezimia. Nikamuamsha naona kimya[emoji2308][emoji2308] nikajua nimeua. Nikamuweka koridoni nikaleta maji bila kutia neno kwenye jagi. Nilimpiga nayo usoni akili zikamkaa sawa. Nikamwambia "utaondoka hivohivo au utaoga kwanza[emoji3][emoji3][emoji3] akasema nimuitie boda, nikamwmbia kwa pesa yako, akajibu sawa. Nikamuonesha kituo cha bodaboda.
Alienda polisi ila nilifanikiwa kula kona. Nilipoambiwa ameenda polisi nikawahi nikakaa kwenye kihoteli kiko maeneo yale (ni mbali kidogo na home) kwakuwa nilijua hawawezi kuhisi nitakuwa pale. Jioni nafika home naambiwa natafutwa, nilishtuka kidogo lakini ke ni ke. Nikampigia simu nikamwambia yaishe akasema nimpe 50000 nikasema poa, nitakupa kwa awamu. 10000 aliyotumia kujitibu kichwa nikamwambia nitamtumia na 40 ilayobaki nitampa baada ya wiki, akasema freshi. Nikamtumia 10 yake. Tumekaa kama wiki na nusu akanitumia meseji ya vitisho kuwa kama simlipi pesa yake atarudi polisi. Ujinga alioufanya nikuniamini na kuleta RB tukaichana kwamba hakuna kesi na kule polisi nilihakikisha amefuta mashtaka kuwa tumemalizana kifamilia[emoji3][emoji3]
Nikamwambia 40 yako nitakupa tu usijali. Lahaulah! Si akasema ananidai 50, nikahoji how wakati nilishampa 10? Akasema sijawahi kumpa pesa. Nikasema sawa, nikakata simu na kufowad muamaala nilioufanya kisha nikamwambia aende polisi. Tuliachana hivohivo nikamwambia akumbuke hapendi mwanaume anayepiga wanawake na mimi sipendi mwanamke anayetaka kupigwa.