Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Kutokuwa zoba haimaanishi uwe komando John Cenna uanze kufanyia mazoezi ya ngumi mwili wa mwanamke.
Wanakuita dikteta maana ni muumini wa kupiga.
Hahahah nawatishiaga tu bana mi naanzaje kupiga burudani yangu ya nafsi 😂😂😂! Mie huwa nawaonya tu.
 
Mimi akishaweka neno "kama wewe ni mwanaume kweli." Nampiga mpaka achakae[emoji35][emoji35] ajue tu kuwa wanawake wanapenda kufanana na sisi ila mwanaume huwezi kupenda uwe kama wao.
Kipigo cha mbwa kachoka kile 😂😂😂
 
Nishawahi kuambiwa kila kitu ulichoandika hapo na maneno mengine mengi yachukizayo nilitamkiwa na kabinti nilikokua navimba nako mtaani kama kumbikumbi hakaoni hatari kunila kinywa kwa daladala over the sudden kakaanza ku question utanashat wangu, my intelligence, my future ,body fitness, ndevu, urefu uongeaji huwezi kuamini ilifikia kipindi nikiwa nalalamikiwa eti kwanini sinywi bia kama vijana wengine nikaishia tu kusema kheee!
Duh!! Mpka bia?
 
Ndo tushakuona dikteta.
Mimi mwanaume wa kunipiga Aki ya nani tutapigana hata Kama nitapigwa ila siwezi muacha bure
Amna bana mi sio wa hivyo..Jua tu utapigwa na ukuni tu bana ujiandae kubeba mimba tu, mambo ya ngumi achia mwakinyo😅
 
Kipigo cha mbwa kachoka kile [emoji23][emoji23][emoji23]
Na zaidi. Kuna mmoja aliwahi kuleta ufala wa namna hii. Yeye kila tukiongea sawa, anasema "mwanaume anayempiga mwanamke huwa namdharau." Wakati huo alikuwa akiniudhi naondoka eneo la tukio, hasira zikiisha namtafuta.

Siku ya tukio alinitumia ujumbe fulani wa kukera. Nikampigia simu kuuliza kulikoni akanijibu ndio hivo. Mbaya zaidi akaongeza "hv kwenye kundi la wanaume na wewe umo?" [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] nikajifanya mpole nikaomba msamaha (ili ajae) akavunga kunitukana zaidi. Nikamuuliza kwann asije tuyajenge kuliko kunitukana hivo? Lengo langu aje home ili adhabu ikianza wasiseme nilimvamia coz hasira ilikuwa imezidi urefu wangu. Alivyo pimbi akaunga mpaka home. Tuko chumbani nikamuuliza shida nini. Nina kawaida moja, mtu akiniudhi halafu nikajitenga nae huwa hasira zinapotea. So demu alivyokuja akaona hili boya kabisa. Akaanza ujinga wa kwenye simu, nikakumbuka kilichomleta. Nikamwambia tulia unielezee maana naweza kukubadilikia mpaka ushangae. [emoji15][emoji15][emoji15] "aiubadilike, unafikiri nakuogopa, kha! Kama wewe ni mwanaume unaetembea **mbu zimening'inia ndani ya boksa, niguse uone." Aisee alikula ngumi moja ya kidevu akapiga yowe nikahisi bati linnang'oka. Ni ngumi mbili na makofi matatu yaliyopelekea achuruzike damu puani na mdomoni, eti akavunga amezimia. Nikamuamsha naona kimya[emoji2308][emoji2308] nikajua nimeua. Nikamuweka koridoni nikaleta maji bila kutia neno kwenye jagi. Nilimpiga nayo usoni akili zikamkaa sawa. Nikamwambia "utaondoka hivohivo au utaoga kwanza[emoji3][emoji3][emoji3] akasema nimuitie boda, nikamwmbia kwa pesa yako, akajibu sawa. Nikamuonesha kituo cha bodaboda.

Alienda polisi ila nilifanikiwa kula kona. Nilipoambiwa ameenda polisi nikawahi nikakaa kwenye kihoteli kiko maeneo yale (ni mbali kidogo na home) kwakuwa nilijua hawawezi kuhisi nitakuwa pale. Jioni nafika home naambiwa natafutwa, nilishtuka kidogo lakini ke ni ke. Nikampigia simu nikamwambia yaishe akasema nimpe 50000 nikasema poa, nitakupa kwa awamu. 10000 aliyotumia kujitibu kichwa nikamwambia nitamtumia na 40 ilayobaki nitampa baada ya wiki, akasema freshi. Nikamtumia 10 yake. Tumekaa kama wiki na nusu akanitumia meseji ya vitisho kuwa kama simlipi pesa yake atarudi polisi. Ujinga alioufanya nikuniamini na kuleta RB tukaichana kwamba hakuna kesi na kule polisi nilihakikisha amefuta mashtaka kuwa tumemalizana kifamilia[emoji3][emoji3]

Nikamwambia 40 yako nitakupa tu usijali. Lahaulah! Si akasema ananidai 50, nikahoji how wakati nilishampa 10? Akasema sijawahi kumpa pesa. Nikasema sawa, nikakata simu na kufowad muamaala nilioufanya kisha nikamwambia aende polisi. Tuliachana hivohivo nikamwambia akumbuke hapendi mwanaume anayepiga wanawake na mimi sipendi mwanamke anayetaka kupigwa.
 
Wangu alikuwa ana tabia ya matusi nahisi alikuwa ana pepo mchafu,nilitaka kumfunga ili akome ukenge wake, basi namchukia kuliko ibilisi ninavomchukia naona hakuwa mwanaume kamili
[emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo unamchukia mwanaume mwenye mapepo ila unampenda ibilisi? Maajabu.
 
Hamna tusi baya kama linalohusisha manhood! Au mwanamke umtukanie hedhi [emoji23][emoji23][emoji23] atakuchukia hadi siku ya mwisho. Ndio tusi pekee linaweza kumfunga mdomo mtoto wa kike chap kwa ukali [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba maneno yatakayomchukiza mkuu. Hata inbox kama hapa hapafaii. Kuna ng'ombe nataka niipe.
 
Na zaidi. Kuna mmoja aliwahi kuleta ufala wa namna hii. Yeye kila tukiongea sawa, anasema "mwanaume anayempiga mwanamke huwa namdharau." Wakati huo alikuwa akiniudhi naondoka eneo la tukio, hasira zikiisha namtafuta.

Siku ya tukio alinitumia ujumbe fulani wa kukera. Nikampigia simu kuuliza kulikoni akanijibu ndio hivo. Mbaya zaidi akaongeza "hv kwenye kundi la wanaume na wewe umo?" [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] nikajifanya mpole nikaomba msamaha (ili ajae) akavunga kunitukana zaidi. Nikamuuliza kwann asije tuyajenge kuliko kunitukana hivo? Lengo langu aje home ili adhabu ikianza wasiseme nilimvamia coz hasira ilikuwa imezidi urefu wangu. Alivyo pimbi akaunga mpaka home. Tuko chumbani nikamuuliza shida nini. Nina kawaida moja, mtu akiniudhi halafu nikajitenga nae huwa hasira zinapotea. So demu alivyokuja akaona hili boya kabisa. Akaanza ujinga wa kwenye simu, nikakumbuka kilichomleta. Nikamwambia tulia unielezee maana naweza kukubadilikia mpaka ushangae. [emoji15][emoji15][emoji15] "aiubadilike, unafikiri nakuogopa, kha! Kama wewe ni mwanaume unaetembea **mbu zimening'inia ndani ya boksa, niguse uone." Aisee alikula ngumi moja ya kidevu akapiga yowe nikahisi bati linnang'oka. Ni ngumi mbili na makofi matatu yaliyopelekea achuruzike damu puani na mdomoni, eti akavunga amezimia. Nikamuamsha naona kimya[emoji2308][emoji2308] nikajua nimeua. Nikamuweka koridoni nikaleta maji bila kutia neno kwenye jagi. Nilimpiga nayo usoni akili zikamkaa sawa. Nikamwambia "utaondoka hivohivo au utaoga kwanza[emoji3][emoji3][emoji3] akasema nimuitie boda, nikamwmbia kwa pesa yako, akajibu sawa. Nikamuonesha kituo cha bodaboda.

Alienda polisi ila nilifanikiwa kula kona. Nilipoambiwa ameenda polisi nikawahi nikakaa kwenye kihoteli kiko maeneo yale (ni mbali kidogo na home) kwakuwa nilijua hawawezi kuhisi nitakuwa pale. Jioni nafika home naambiwa natafutwa, nilishtuka kidogo lakini ke ni ke. Nikampigia simu nikamwambia yaishe akasema nimpe 50000 nikasema poa, nitakupa kwa awamu. 10000 aliyotumia kujitibu kichwa nikamwambia nitamtumia na 40 ilayobaki nitampa baada ya wiki, akasema freshi. Nikamtumia 10 yake. Tumekaa kama wiki na nusu akanitumia meseji ya vitisho kuwa kama simlipi pesa yake atarudi polisi. Ujinga alioufanya nikuniamini na kuleta RB tukaichana kwamba hakuna kesi na kule polisi nilihakikisha amefuta mashtaka kuwa tumemalizana kifamilia[emoji3][emoji3]

Nikamwambia 40 yako nitakupa tu usijali. Lahaulah! Si akasema ananidai 50, nikahoji how wakati nilishampa 10? Akasema sijawahi kumpa pesa. Nikasema sawa, nikakata simu na kufowad muamaala nilioufanya kisha nikamwambia aende polisi. Tuliachana hivohivo nikamwambia akumbuke hapendi mwanaume anayepiga wanawake na mimi sipendi mwanamke anayetaka kupigwa.
Huyo mwanamke mpumbavu kweli, she thinks she can just jump over your head ila we umkalie kimya sababu huumii au? Mwanaume kamili hawezi ku tolerate huo ujinga wa makusudi kabisa.

Kosa kubwa wanalofanya wanawake ni kutu abuse wakihisi ni haki yao ya msingi na hatupaswi kureact katika hilo...Sawa na mtu anayekuchoma kende na lighter halafu kakuziba mdomo usitie kelele.Its obviously impossible!

Ulifanya kazi nzuri sana, whooping the crazy shit out of her! Kuna mtu also nilimzibuaga hakuamini...alikuwaga mtu wa kejeli na matusi hio siku tumetoka nikampa bata la kutosha huku nashusha safari zangu nikamdrop ghetto kwake ile tumekaa si akaanza lugha zake za mkato nikasema leo namtolea uvivu nilimtia umeme wa kiwango cha Stieglers Gorge yani mkoyongo fc, na alivyokuwa mweupe week nzima aliingia job na miwigi na mishungi kuficha nako bites usoni. Hakuamini kilichompata maana ilifikia stage alikuwa ananiona kama shoga yake wa kike.
 
Wote tu hukera Sana, Mimi akinisiliba na mtoto na mwambie akazae huko asinichoshe Mimi ukute hata yeye Hana mayai vilevile
Hii kauli ya "kwann hupati mtoto" isikie tu kwa wenzako. Ikitokea muda wa kuzaa umefika uko tayari lakini mimba ni kama zimeenda likizo, ndio utajua uchungu wa hiyo kauli. Hapo umeambiwa na mawifi na mama mkwe pekee, akimalizia jamaa unaweza kujinyonga.
 
Huyo mwanamke mpumbavu kweli, she thinks she can just jump over your head ila we umkalie kimya sababu huumii au? Mwanaume kamili hawezi ku tolerate huo ujinga wa makusudi kabisa.

Kosa kubwa wanalofanya wanawake ni kutu abuse wakihisi ni haki yao ya msingi na hatupaswi kureact katika hilo...Sawa na mtu anayekuchoma kende na lighter halafu kakuziba mdomo usitie kelele.Its obviously impossible!

Ulifanya kazi nzuri sana, whooping the crazy shit out of her! Kuna mtu also nilimzibuaga hakuamini.
Kweli aisee. Mimi bora angeishia kunitukana mengine kwenye simu ila sio kunitukania mzazi na hilo la kama mwanaume kweli niguse uone. Aisee, hata Bathimayo angeambiwa "nipige uone" angewatandika sana kina Mariam magdalene. Unaniambia nikupige nione? Kwani sioni? Kipi unataka nione, badala yake aliona yeye. Ule ukunga mpaka leo tukikutana hawezi kuniangalia usoni japo imepita miaka zaidi ya 7
 
Hii kauli ya "kwann hupati mtoto" isikie tu kwa wenzako. Ikitokea muda wa kuzaa umefika uko tayari lakini mimba ni kama zimeenda likizo, ndio utajua uchungu wa hiyo kauli. Hapo umeambiwa na mawifi na mama mkwe pekee, akimalizia jamaa unaweza kujinyonga.
Unaweza kudanja kiukweli ni nomare 😂😂😂
 
Mimi kuna mmoja aliniambia simvutii..nikajiweka zangu pembeni..cha ajabu haipiti siku hajanitafuta..sasa sijui anamtafutaje mtu asiyemvutia.
Kumuelewa mwanamke ni kazi sana. Mimi kuna mmoja niliwahi kumtongoza, ila baadae nikaja kugundua bado ni mgeni (0km) ajabu siku ananikubalia aliniambia kitu nikasita hata kumpa alichokitaka. Mimi nilipenda kweli ila mwenzangu akasema "kulingana na stori zako nimeamua kukupa nafasi ya kunitoa usichana wangu lakini ujue sikupendi kabisa." Sio kwamba alikuwa anajifanya, ni kweli alinichukia na mpaka nikawa nalijua hilo. Kuna muda alikuwa akiwa darasani anaongea shit sana kuhusu mimi kwa mafumbo. Nilimuonya na kupiga juu bado hakuacha. Nilichokifanya ni kumshawishi kihisia mpaka akaanza kunielewa. Niseme kweli, sikuvutiwa nae kwakuwa ni kigori, bali nilimuelewa tu kama kawaida yetu wanaume. Kitendo cha kutaka nifungue kitabu kwa mara ya kwanza kwa mtu anayenidharau itakuwa kuukosea heshima mwili wangu. Yaani nitumike kama chambo? Hell no. Aliponielewa ile kiukweli nikamuita akaja mpaka home. Tukapiga stori sana. Nikamuandaa vizuri kabisa mmpaka akawa hana ujanja. Kisha nikamwambia sijisikii kutembea na mwanamke ambaye haniheshimu. Nikamwambia avae aondoke. Wakati huo mshale ulikuwa umejaa kwenye boksa ila nilitaka nayeye nimtese kama alivyofanya. Alikaa wiki nzima bila kuja shulr wana kukutana na mimi. Aliporejea heshima yake kwangu ilikuwa juu ya viwango. Nilifanikiwa kumpa anachokitaka ila baadae tulizinguana.

Aliolewa baada ya kuhitimu ila mpaka leo huwa anapiga simu kunijulia hali.
 
In my opinion unaongea perfect sense.

Japo practically ni ngumu kwasababu ya ego zetu wanaume ila thats how it should be.

Mwanaume ukicompromise kwenye funding usaidiwe then chill and give the woman a break. Let her manage the household ila usimpush.

Mwanaume ukitaka tight control over every thing the woman does, kwamba I want this done / ready by this time, pay for the fvcking privilege.

Either give your wife a break from financial responsibilities or domestic ones.

Personally I wish to give my wife a break from financial responsibilities ili awe exclusively kwa matumizi yangu binafsi.
She has to be ready for that maana ni ngumu kum convince mwanamke wa kileo kwamba aache kazi alee familia. Utaishia kuambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje??? Hapo ndipo utajua hujui 😂
 
Hakika. Yeye anaiona ni ya kawaida kwakuwa hana tatizo. Ajaribu kufanya utafiti kw wasiozaa.
Watu wasiozaa kama akina Wema, Jide wanakuwa so abused hadi wanajiskia fedhea. Tunaona jinsi ambavyo wako abused.
 
Huwa napenda sana kuutumia huu msemo na niliutoa kwako! Uliwahi kusema "ifike mahala wanaume wenye akili tu ndiyo waoe"!

Huo msemo una maana kubwa sana! Sababu siku hizi mtu akishakuwa na uume tu akaanza kuota ndevu na mavuzi anajiona na yeye ni mwanaume na anafaa kuoa mwanamke mwenye sifa nzuri hapo ndipo shida inapoanzia!
Kwahio wanaume tuoe wanawake wenye sifa mbaya ili tukose amani ya ndoa ama?
 
Na kama hujui, wanawake hutumia utani kufikisha ujumbe. Kuna siku utajua hujui pale utakapoachana naye kosha uanze kuutafakari utani wenu, lazima utagundua ulidharaulika zamani.
Kejeli zao huwa zina maanisha kitu sema wanafanyia cushioning ili kidume usije uka over react maana mengine yanakuwaga deep sana kwa ground! Kuna tofauti kubwa Ke akikwambia:

We mwanaume ndio huna akili kabisa yani sasa si ungeongea na mrajisi kwanza.

VS

Ha hah but mume wangu mi naona kama ungewasiliana na mrajisi kwanza ingekuwa jambo la akili zaidi mpenzi.

Katika hizi kauli mbili lengo ni kukosoa ila ya juu iko cold/harsh kiasi inaweza amsha hisia za hasira kwa mlengwa kwa kuona kama amedharaulika ila kauli ya pili ina warmth which means imekosoa constructively kiasi mtu hawezi feel offended kabisa.

Wanawake wengi hawajui the art of good communication. Wengi ni good speakers but not good communicators.
 
Wewe wa hvi nikishakujua Mimi ndo nitakua wa kwanza kukuachisha kazi ...coz kazi unayofanya haina faida yoyote kwenye familia nakuachisha kazi unakua modern beki tatu
Utahenyeka
Utapiga kazi Kama watumwa wa Livingston
Boxer utafua
Soksi utafua
Yani Mimi kazi Yangu Ni kula kupendeza na kuleta hela nyumbani
Na shopping nafanya mm sio wewe
Nakwambia hutokaa upate hata nafasi ya kumsalimia shoga yako
Na nakuzalisha watoto double double

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom