Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Yaani nawaza wazazi wangu walivyojinyima,wameishi kwa shida ili wanilipie ada..halafu mume anakwambia acha kazi [emoji134]
Aki wazazi wataniona zuzu mno.. mbona wataanza kunipeleka kwenye maombi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida zote zile za nyumbani,ada ilivyotolewa kwa shida aseee wawe na huruma na wazazi wetu kama wanavyowaonea wazazi wao huruma

Nitaacha kazi kwa sababu zingine iwe kwa kufukuzwa au udhaifu (naumwa)
Ila hivihivi tu mimi kazi siachi wallah!

Kwanza mume atakunyanyasa hadi ushangae.
Tafuta mme atakaekufaa kuishi nae ukiwa unafanya kazi.

Simple.
 
Huyo mwenzetu yeye yupo kivita zaidi na sio kiupendo. Anaamini zaidi katika kushindana na mwanaume kuliko kunogesha upendo...kwamba wanaume ni wabaya tu kwake hamna mwanaume mzuri sielewi kwanini huyu best yangu ni mchungu sana na wanaume.
Wengi wa hivyo wameshatendwa wanataka wanawake wema wapitie kwenye blueprints zao walizopita wao.

Kuna wanawake wenye tabia njema na mbaya. Kama yeye Yuko kwenye kundi la wanawake wenye tabia mbaya asitake kulazimisha au kuchafua na wanawake walio kwenye kundi la wanawake wazuri.

Hawa ndio ukiwakuta kweny kitchen Part wanatoa masomo ya kipumbavu kabisa ili wavunje ndoa za watu.
 
una maelezo mazuri,tatizo lako unadhani ukiandika tu kiswahili utaonekana mshamba,kitu ambacho sio kweli,sikia haujui kiingereza kama huyo kaka yako muanzisha mada,andikeni tu kiswahili mtaeleweka,mnatutia aibu,hili forum inasomwa na watu wengi ulimwenguni..jf imekuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baki hapo. Usipende kujipa kazi ya ziada ukiwa kama mwanaume. Byee
 
Chiiii..zuz is lord[emoji23]
Imagine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajaona kwa wengin woooteee ila kaona kwetu. Anatesekea nini sasa. Watu wengine sijui wapoje. Such toxic people kama hawa ndo wa kuwaepuka. Yaani mambo yanakua yakienda vizuri ila over a sudden vooop anatafuta kosa mpaka alipate. Na wewe kasome uandike. Na ningekua nakijua kifarana, kireno, kituruki ningeandika. Babako hajanilipia ada. Be a man. I.d.i.o.t.
 
Imagine na asubuhi alikula kiporo cha chips tena bila hata kuzipasha[emoji2961][emoji2961] nilijuta hata kumtongoza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imejini... imejini... just like zat[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hana kitambi cha bia?
 
another toxic answers..
 
Sio mlevi kabisa. Ukimuangalia kwahraka huwezi kuyajua hayo. Fikiria kama siku ya kwanza tu ya mahusiano kaja geto na hizo tabia, mpaka ananitukania tatu bomba zangu, anakagua chumba utadhani chake, ananitumatuma nakuonesha uvivu, hv ningempa mkongojo akanogewa ningeficha wapi sura yangu
 
Imagine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajaona kwa wengin woooteee ila kaona kwetu. Anatesekea nini sasa. Watu wengine sijui wapoje. Such toxic people kama hawa ndo wa kuwaepuka. Yaani mambo yanakua yakienda vizuri ila over a sudden vooop anatafuta kosa mpaka alipate. Na wewe kasome uandike. Na ningekua nakijua kifarana, kireno, kituruki ningeandika. Babako hajanilipia ada. Be a man. I.d.i.o.t.
Ukiwa member mkongwe huku jf attack kama hizo hazikosekanagi. Mtu anaamua akutolee ugumu wa maisha tu ghafla.😂😂😂 Kaona we ndo mnyonge wake labda
 
Sio mlevi kabisa. Ukimuangalia kwahraka huwezi kuyajua hayo. Fikiria kama siku ya kwanza tu ya mahusiano kaja geto na hizo tabia, mpaka ananitukania tatu bomba zangu, anakagua chumba utadhani chake, ananitumatuma nakuonesha uvivu, hv ningempa mkongojo akanogewa ningeficha wapi sura yangu
Hahahahah huyo demu kila nikimvutia picha inakuja af inakataa hivi. Yani mwanamke wa hovyo hovyo kweli kweli
 
In my opinion unaongea perfect sense.

Japo practically ni ngumu kwasababu ya ego zetu wanaume ila thats how it should be.

Mwanaume ukicompromise kwenye funding usaidiwe then chill and give the woman a break. Let her manage the household ila usimpush.

Mwanaume ukitaka tight control over every thing the woman does, kwamba I want this done / ready by this time, pay for the fvcking privilege.

Either give your wife a break from financial responsibilities or domestic ones.

Personally I wish to give my wife a break from financial responsibilities ili awe exclusively kwa matumizi yangu binafsi.
Yes exactly! Bora hata wewe umeamua kuchagua moja kati ya hayo mawili kuliko wanaoamua kuchanganya mambo!
 
Kwahio wanaume tuoe wanawake wenye sifa mbaya ili tukose amani ya ndoa ama?
Hatujasema msioe wenye sifa nzuri ila je wanaume mnazo sifa nzuri? Kwahiyo na ninyi mnataka wanawake waolewe na wanaume wenye sifa mbaya ili wakose amani?
 
Wengi wa hivyo wameshatendwa wanataka wanawake wema wapitie kwenye blueprints zao walizopita wao.

Kuna wanawake wenye tabia njema na mbaya. Kama yeye Yuko kwenye kundi la wanawake wenye tabia mbaya asitake kulazimisha au kuchafua na wanawake walio kwenye kundi la wanawake wazuri.

Hawa ndio ukiwakuta kweny kitchen Part wanatoa masomo ya kipumbavu kabisa ili wavunje ndoa za watu.
Shida ya hawa mashindikanaa huwa hawajui kuwa tabia mbovu ndizo humuhukumu mwanamke pasi na yeye kujijua. We ukiona umechezewa jiulize ulikwama wapi its either ulifall kwa abuser ama ulikuwa na odd behaviours.

Ukidate na mwanaume na ukawa mwanamke haswa hata mwanaume anaona aibu kufanya vituko vyake. Atavifanyia kwengine ila si kwako.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nitafute mfano wa picha yake mnisaidie kujiuliza kama nilikosea.
Binti mwenyewe ni type hii
20201108_092232.jpg
 
Hatujasema msioe wenye sifa nzuri ila je wanaume mnazo sifa nzuri? Kwahiyo na ninyi mnataka wanawake waolewe na wanaume wenye sifa mbaya ili wakose amani?
Mwanaume kuwa na sifa mbaya ni labda awe kichaa au mwendawazimu. Ila mpaka anakuaproach na unamkubali sidhani kama anakuwa na tatizo maybe wewe unaemkubalia ndio uwe na matatizo.
 
She has to be ready for that maana ni ngumu kum convince mwanamke wa kileo kwamba aache kazi alee familia. Utaishia kuambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje??? Hapo ndipo utajua hujui [emoji23]
Kama shida ni hiyo ninyi wanaume wenye itikadi hizo si muoe wanawake wa vijijini ambao hawajasoma au wameishia primary tu! Tena hao ndiyo wanakuwaga wana hiyo adabu na heshima mnayoitaka!
 
Yaani nawaza wazazi wangu walivyojinyima,wameishi kwa shida ili wanilipie ada..halafu mume anakwambia acha kazi [emoji134]
Aki wazazi wataniona zuzu mno.. mbona wataanza kunipeleka kwenye maombi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida zote zile za nyumbani,ada ilivyotolewa kwa shida aseee wawe na huruma na wazazi wetu kama wanavyowaonea wazazi wao huruma

Nitaacha kazi kwa sababu zingine iwe kwa kufukuzwa au udhaifu (naumwa)
Ila hivihivi tu mimi kazi siachi wallah!

Kwanza mume atakunyanyasa hadi ushangae.
We waache! Akikuachisha kazi awe na uwezo wa kuwahudumia hadi ndugu zako!
 
Kama shida ni hiyo ninyi wanaume wenye itikadi hizo si muoe wanawake wa vijijini ambao hawajasoma au wameishia primary tu! Tena hao ndiyo wanakuwaga wana hiyo adabu na heshima mnayoitaka!
Wapo hata waliosoma na wana hio adabu tena wenye mavyeo makubwa kabisa ila still wana adabu njema tu. Wewe kama unaona mshahara au kazi ndio kigezo cha kujilinganisha na mwanaume nakupa pole on behalf of your husband to be😂😂😂
 
Back
Top Bottom