Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Tafuta mme atakaekufaa kuishi nae ukiwa unafanya kazi.Yaani nawaza wazazi wangu walivyojinyima,wameishi kwa shida ili wanilipie ada..halafu mume anakwambia acha kazi [emoji134]
Aki wazazi wataniona zuzu mno.. mbona wataanza kunipeleka kwenye maombi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida zote zile za nyumbani,ada ilivyotolewa kwa shida aseee wawe na huruma na wazazi wetu kama wanavyowaonea wazazi wao huruma
Nitaacha kazi kwa sababu zingine iwe kwa kufukuzwa au udhaifu (naumwa)
Ila hivihivi tu mimi kazi siachi wallah!
Kwanza mume atakunyanyasa hadi ushangae.
Simple.