Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Siwachukii wanaume bali sipendi ngono na ni mahusiano gani hayo unayomaanisha? Halafu haujajibu swali langu boss jibu basi kwanza!Unawachukia wanaume unayachukia mahusiano pengine kuna mahusiano unayamudu