Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Wanaume wote wa jf wako mtaani ila siyo wanaume wote wa mtaani wako jf! Huo mtazamo wangu unataka nibadilishe wapi hasa mkuu?

Tulio jf Ni kama wabunge tunawakilisha hao wengi wa mtaan kwa hiyo tulia,
Mapenz Ni mazuri na matam sana dada angu hasa ukibahatika kupata mwanaume ambae atakuongoza hata kama una kipato kuliko yeye. Mwanamke ameumbwa kumserve mwanaume na sio kuwa mshindani wa mwanaume, dini zinasema ivo pia.
Inawezekana pia kama mama zetu wangesimamia unachosimamia wewe tusingezaliwa. Au wewe unajitambua zaidi kuliko mama yako!? no offence
 
Hujajibu swali langu mkuu! Huo mtazamo wangu unataka niubadilishe wapi hasa mkuu?
 
Itabidi ufunguliwe uzi wa kuwaumbua wanao dhati kwenye nyuzi za wenzao hadi wanaharibu utamu wa uzi......shame on you
 
Siwachukii wanaume bali sipendi ngono na ni mahusiano gani hayo unayomaanisha? Halafu haujajibu swali langu boss jibu basi kwanza!
Hupendi ngono

Kuna vitu naendelea kunote

Unakumbuka hapo juu nimekwambia kuna shida mahali?

Yaani wewe hali yako inaanzia mbali sana
 
Ondoa hiyo "chako Ni chako"
Duuh kwahiyo hilo ndiyo unasema hakuna mwanaume anayelikubali? Mbona ndoa nyingi siku hizi wanawake ndiyo wanaishi hivyo cha mwanaume ni cha wote na cha mwanamke ni chake peke yake au haujawahi kuona?

Ndiyo maana nasema acheni kudanganyika na haya wanayoongea watu humu jf angalieni hali halisi iliyopo mtaani! Mimi binafsi niko single halafu huwa sihitaji pesa za mwanaume i pay my own bills ila huwa naongea ukweli uliopo kwenye jamii kwahiyo binafsi huo siyo mtazamo wangu bali ni hali halisi iliyopo!

Halafu hata hivyo tukisema mwanamke naye afanye majukumu ya mwanaume majukumu ya mwanamke nani atayafanya? Nijibu hapo!
 
Hupendi ngono

Kuna vitu naendelea kunote

Unakumbuka hapo juu nimekwambia kuna shida mahali?

Yaani wewe hali yako inaanzia mbali sana
Really? Hebu acha kuzunguka na uwe specific basi mbona kama haujiamini na unachoongea?
 
MKE wangu was ndoa alinimbia hamna ulicho fanya Cha maana Toka niolewe na wewe huoni wenzako hizo hela za matumizi Nina uwezo wa kujihudumia na mwanangu nasubiri akue ni ondoke na akikua nitamwambia baba ako alikufa K wewe Mimi nimepinda kuliko wewe malaya huwezi kunifanya chochote nanguo zako utafua mwenyewe.sijui nimerogwa sija mfanya chochote Wala kumjibu wiki Sasa najifuria nguo yakula na mwachia kwa ajili ya mtoto nakula mgahawani Kuna huruma inanijia mwachie mungu ata mjibu ila naumia sana najijua nikimpiga naweza kumpoteza hasira zangu acha tuu nikimwambia chukua nauli nenda kwenu hataki
 
Duuh kwahiyo hilo ndiyo unasema hakuna mwanaume anayelikubali? Mbona ndoa nyingi siku hizi wanawake ndiyo wanaishi hivyo cha mwanaume ni cha wote na cha mwanamke ni chake peke yake au haujawahi kuona?

Ndiyo maana nasema acheni kudanganyika na haya wanayoongea watu humu jf angalieni hali halisi iliyopo mtaani! Mimi binafsi niko single halafu huwa sihitaji pesa za mwanaume i pay my own bills ila huwa naongea ukweli uliopo kwenye jamii kwahiyo binafsi huo siyo mtazamo wangu bali ni hali halisi iliyopo!

Halafu hata hivyo tukisema mwanamke naye afanye majukumu ya mwanaume majukumu ya mwanamke nani atayafanya? Nijibu hapo!

It's all about kusaidiana maisha haya sister, Ila kusaidiana tunayoitaka sisi wanaume sio ya kuosha vyombo au kudeki.
Hali ya maisha imefanya na nyie mtafute hela Ila hali hiyo hiyo ya maisha haijatufanya wanaume leo hii tukune Nazi au kubeba mtoto mgongoni.
Kuna majukumu mengine ni special kwa watu Fulani hata nature ibadilike Leo hii.
 
Duuh sasa hapo hamuoni kuwa mnakuwa unfair kwa wanawake? Kwahiyo mkuu unataka mwanamke ndiyo afanye majukumu mengi kuliko mwanaume yaani msaidizi ndiyo afanye majukumu mengi kuliko kiongozi si ndiyo?
 
Duuh kwahiyo hilo ndiyo unasema hakuna mwanaume anayelikubali? Mbona ndoa nyingi siku hizi wanawake ndiyo wanaishi hivyo cha mwanaume ni cha wote na cha mwanamke ni chake peke yake au haujawahi kuona?

Ndiyo maana nasema acheni kudanganyika na haya wanayoongea watu humu jf angalieni hali halisi iliyopo mtaani! Mimi binafsi niko single halafu huwa sihitaji pesa za mwanaume i pay my own bills ila huwa naongea ukweli uliopo kwenye jamii kwahiyo binafsi huo siyo mtazamo wangu bali ni hali halisi iliyopo!

Halafu hata hivyo tukisema mwanamke naye afanye majukumu ya mwanaume majukumu ya mwanamke nani atayafanya? Nijibu hapo!

Na hakuna Cha ndoa nying cku iz zipo ivo, niwew mwenyew ndo upo ivo. You can't tell, sisi ndio waoaji na hadi nmekuoa ujue nmeona wote tuna mtazamo sawa na ndio hali halisi. No wonder upo single no offence.
Hakuna mwanamke mwenzio anaeku back up kweny hili hapa.
 
Teh hivi mkuu una exposure ya maisha kweli wewe? Nakusikitikia unabishia vitu ambavyo vipo ila tu haujaviona wala haujavisikia!

Jiulize au waulize wanaume wenzio waliooa na wanaolalamika huwa wanalalamikia nini? Kwa taarifa yako kuwa single ni maamuzi yangu binafsi na wala eti siyo kwamba nimekosa mwanaume au eti wanaume hawanitongozi!
 
MKE wangu was ndoa alinimbia hamna ulicho fanya Cha maana Toka niolewe na wewe huoni wenzako hizo hela za matumizi Nina uwezo wa kujihudumia na mwanangu nasubiri akue ni ondoke na akikua nitamwambia baba ako alikufa K wewe Mimi nimepinda kuliko wewe malaya huwezi kunifanya chochote nanguo zako utafua mwenyewe.sijui nimerogwa sija mfanya chochote Wala kumjibu wiki Sasa najifuria nguo yakula na mwachia kwa ajili ya mtoto nakula mgahawani Kuna huruma inanijia mwachie mungu ata mjibu ila naumia sana najijua nikimpiga naweza kumpoteza hasira zangu acha tuu nikimwambia chukua nauli nenda kwenu hataki
Usimpige ila nasisitiza muachane

Natamani wanaume wote wasiwapige wala kuwadhuru wanawake tutarudisha heshima yetu

Utafiti wangu mdogo wanawake wengi wanaoachwa kwa amani hawajawahi kuchukua muda kurudi kuomba radhi

Tunaonekana majibu ya ajabu na wanawake pamoja na mazuri yote kwa jambo moja tu la kupiga
 
Duuh sasa hapo hamuoni kuwa mnakuwa unfair kwa wanawake? Kwahiyo mkuu unataka mwanamke ndiyo afanye majukumu mengi kuliko mwanaume yaani msaidizi ndiyo afanye majukumu mengi kuliko kiongozi si ndiyo?
Usawa unaoutaka wa 100% hauwezekani

Hata 50/50 imekaa kisiasa tu imefaulu kwa asilimia chache tu

Hebu njoo pm wacha harakati za kiduanzi[emoji3][emoji3]joke
 
Teh hivi mkuu una exposure ya maisha kweli wewe? Nakusikitikia unabishia vitu ambavyo vipo ila tu haujaviona wala haujavisikia!

Jiulize au waulize wanaume wenzio waliooa na wanaolalamika huwa wanalalamikia nini? Kwa taarifa yako kuwa single ni maamuzi yangu binafsi na wala eti siyo kwamba nimekosa mwanaume au eti wanaume hawanitongozi!

Wazazi wetu hawakuwa na exposure sio? Lakini huko kutokuwa na exposure wanaamini wametulea kwenye misingi mizuri na Ni watoto wazuri. Leo unapopinga vitu ambavyo hata wao hakuwahi hata kuwaza lazima waishie kuguna tu na kusema 'watoto wa siku hizi bhana'

Vitu unavyoongea wewe kwamba nabishia vtu sijaviskia Wala kuona",,..Kuna baadh ya mambo sizan kama inahitajika kuyaona wala kusikia, ni nature yanakuja yenyewe automatic kwa mwanaume yoyote.
Exposure haibadilishi kila kitu. Vingine vinabaki kama vilivyo.
 
Back
Top Bottom