Unakumbuka nini wakati unafanya mtihani wa Kidato cha Nne

Hongera mkuu
 
Nakumbukaa kuna Mwamba jinamizi lilimkurupua ndotoni ndani ya chumba cha mtihani, hii ni baada ya Ghakaaa kutiki wazee tukasolve usiku kabda ya pepar. Na ikatubidi tusiwahi kutoka mpaka libaki nusu saa! RIP
 
Kuchora kwa peni kwa mitihani ya physics inaruhusiwa.
 
Acha tuu sina hamu kabisa na ile siku mwili ulitetemeka mpaka nikasahau kila kitu.
Kipindi hiki utasikia MZUMBE, ILBORU, TABORA BOYS na KIBAHA SECONDARY. Lakini hawataki kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI BORA.. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…