Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli.
Mtoto wa single mother akifikisha umri wa kujitambua hatojali ulimfanyia mema kiasi gani, yeye atakachojua ni kwamba ulikuwa unafanya kwasababu ya mama yake akupende na awe nawewe tu.
Muda pekee ambao ataamini unampenda ni kipindi ambacho mama yake kaaga dunia na ukaendelea kumuhudumia kama mtoto wako.
ZINGATIA: UPENDO WAKO BABA WA KUFIKIA UTAPIMWA NA MTOTO WA SINGLE MOTHER KIPINDI MAMA YAKE HAYUPO ULIMWENGUNI.