Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Ni muhanga.Tunakupa mda ukue kwanza.
UKIKUA UTAACHA UBISHI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muhanga.Tunakupa mda ukue kwanza.
UKIKUA UTAACHA UBISHI.
😂😂umaskini ni laana
Bandiko halizungumzii kusaidiana.
SOMA TENA BANDIKO.
JIWE LIMETUA MAHALA PAKE SISHANGAI KUSIKIA SAUTI YA YALAAAAAAAA! KUTOKA KWAKO MREMBO.😂😂
Kweli mwenyezi Mungu atusaidie sana tukimbie hii kitu!
Watu wanaweka expectations kibao kwa watoto, mtoto zaidi ya kukua awe mkubwa akaishi maisha yake nini tena mna mdai?
Nchi hii ni kisanga, ndio maana watoto wanazurura tu mtaani hata ile culture ya kuasili watoto hatuna.
Eenhe Mwenyezi Mungu nisaidie nitimize kusudi.
Haiko hivyo huku kwenye ground mara zote.Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli.
Mtoto wa single mother akifikisha umri wa kujitambua hatojali ulimfanyia mema kiasi gani, yeye atakachojua ni kwamba ulikuwa unafanya kwasababu ya mama yake akupende na awe nawewe tu.
Muda pekee ambao ataamini unampenda ni kipindi ambacho mama yake kaaga dunia na ukaendelea kumuhudumia kama mtoto wako.
ZINGATIA: UPENDO WAKO BABA WA KUFIKIA UTAPIMWA NA MTOTO WA SINGLE MOTHER KIPINDI MAMA YAKE HAYUPO ULIMWENGUNI.
Sawa tajiri naomba teni! Namba yangu ile ile.JIWE LIMETUA MAHALA PAKE SISHANGAI KUSIKIA SAUTI YA YALAAAAAAAA! KUTOKA KWAKO MREMBO.
Laiti kama ungejua mtoa mada ana Balance kiasi gani Bank, naamini usingesema neno umaskini/ufukara kwenye huu uzi Adhimu.
MJANJA M1 ✍️
Matajiri huwa hatutoi hela for nothing.Sawa tajiri naomba teni! Namba yangu ile ile.
Ten tu tajiri unalia hivyo! Matajiri wapo kimya bwana!Matajiri huwa hatutoi hela for nothing.
MIMI MJANJA M1 MPAKA NAKUWA TAJIRI NILIPITIA MSOTO NA NILITUMIA AKILI NYINGI SANA KUFIKA HAPA.
KAMA UNATAKA PESA ZA TAJIRI MJANJA M1 BASI INAKUPASA UIHANGAIKIE KWANZA.
UPO TAYARI KUIHANGAIKIA HELA YA TAJIRI MJANJA M1?
Umeona sasa!Ten tu tajiri unalia hivyo! Matajiri wapo kimya bwana!
turudi kwenye mada!
Ni vizuri kujifurahisha!Umeona sasa!
Tatizo kubwa la watu wanaoishi maisha Duni ni kwamba wanaamini hela ya Tajiri ipo kugawa gawa hovyo na sio kuwekeza zaidi.
HIYO TEN ULIYOIOMBA NI BORA NIMPE MFANYAKAZI WANGU ILI NIMUONGEZEE MOTISHA/HAMASA YA KUNIINGIZIA PESA ZAIDI KULIKO KUKUPA WEWE STRANGER.