Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThawaKijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli.
Mtoto wa single mother akifikisha umri wa kujitambua hatojali ulimfanyia mema kiasi gani, yeye atakachojua ni kwamba ulikuwa unafanya kwasababu ya mama yake akupende na awe nawewe tu.
Muda pekee ambao ataamini unampenda ni kipindi ambacho mama yake kaaga dunia na ukaendelea kumuhudumia kama mtoto wako.
ZINGATIA: UPENDO WAKO BABA WA KUFIKIA UTAPIMWA NA MTOTO WA SINGLE MOTHER KIPINDI MAMA YAKE HAYUPO ULIMWENGUNI.
kwannNimeamini sio kila binadamu ana akili timamu..!
Kama aliyemzalisha alifariki je?Unalijua hili?
Single Mother kama angekuwa hana Mtoto asingekubali kuolewa nawewe.
SINGLE MOTHER ANAOLEWA NAWEWE KWASABABU WEWE NI CHAGUO LA MWISHO NA SIO KWAMBA ANAKUPENDA SANA KULIKO ALIEMZALISHA.
Endelea na ubishi, ukikua utaacha ubishi.
Hiki ndo wengi hawapendi.So ukimpenda wewe oa, lea na mtoto ila uweke matarajio ya kawaida coz mtoto lazima aje amfahamu baba yake mzazi kwa maana ni haki yake ya msingi then baada ya hapo yeye ndio ataamua aisha na wewe mume wa mama yake au akaishi na baba yake. Na kama huwezi basi tafuta ambae hajazaa uoe.
Sio kafariki.Okay, ila huo msaada wako utaonekana wa ukweli pindi ambapo Single Mother hayupo Duniani.
Kweli mkuu ukioa single mother tena aliezaa na Mume wa mtu laana itakuja kuwapata watoto wako na wao watakuja kuzalishwa na waume za watu.📌Kuna kenge mpaka zipige kichwani na kutoka damu masikioni ndo zisikie.
📌Mwanaume kuoa SINGO MAZA ni kiashiria cha UDHAIFU wa hali ya juu.Pia ni kujitafutia LAANA na lazima asili ITAKUADHIBU kwa ujinga wako na maamuzi ya hovyo ambayo hata mbwa na paka hawawezi kufanya.
Mifano ipo mingi hawa watu wapo DAMAGED beyond repair!!!Kweli mkuu ukioa single mother tena aliezaa na Mume wa mtu laana itakuja kuwapata watoto wako na wao watakuja kuzalishwa na waume za watu.
Acha ujinga hata kama alifariki na akachomwa moto na majivu yakatupwa mtotoni.USIOE MWANAMKE ASIYE BIKRA KIJANA,ACHA KUWA LOFA.Kama aliyemzalisha alifariki je?