Unalijua hili kuhusu Mtoto wa kambo?

Unalijua hili kuhusu Mtoto wa kambo?

Hakuna fact mdau hapo.
Upendo haujifichi kabisa.
Ukimpenda mtu for no reason ndio Upendo.

Hata kama atakuwa na perception yatofauti kiasi gani.
Kuna watu nawajua wamekuwa na Baba wakambo na sana.

Kama mtu anaishi na Mama yako vizuri na anakujali what is ur problem? labda tu uwe na tabia mbaya.

Kuna binti wa rafiki yangu, alilelewa na Mama wa kambo ila huwezi jua hicho kitu ukiwaona.

So mambo mengine ni life style tu
usikute mleta mada kaletewa baba wa kambo akiwa mkubwa sasa zile hasira za kwann mama analiwa 😂😂😂😂 zinamuondoa ufahamu...... anaongozwa na mihemko ila jamii haiko hivyo tumeona wengi wamelelewa na baba wa kambo na heshima ipo mpka kwanapofaniliwa baba haachwi nyuma..... sasa utakuta kalelewa na lisingo maza lisilojielewa anataka kuwajumuisha wote
 
Soma nilipoweka Bold.

ZINGATIA: UPENDO WAKO BABA WA KUFIKIA UTAPIMWA NA MTOTO WA SINGLE MOTHER KIPINDI MAMA YAKE HAYUPO ULIMWENGUNI.
 
usikute mleta mada kaletewa baba wa kambo akiwa mkubwa sasa zile hasira za kwann mama analiwa 😂😂😂😂 zinamuondoa ufahamu...... anaongozwa na mihemko ila jamii haiko hivyo tumeona wengi wamelelewa na baba wa kambo na heshima ipo mpka kwanapofaniliwa baba haachwi nyuma..... sasa utakuta kalelewa na lisingo maza lisilojielewa anataka kuwajumuisha wote
Hujalielewa Bandiko.

NGOJA NIKUPE MUDA ULISOME TENA HILI BANDIKO BUJARABU.

NAAMINI UTALIELEWA TU!
 
Unalijua hili?

Single Mother kama angekuwa hana Mtoto asingekubali kuolewa nawewe.

SINGLE MOTHER ANAOLEWA NAWEWE KWASABABU WEWE NI CHAGUO LA MWISHO NA SIO KWAMBA ANAKUPENDA SANA KULIKO ALIEMZALISHA.

Endelea na ubishi, ukikua utaacha ubishi.
Ikitokea na we umemzalisha
 
sio baba wa kufikia na siwezi kuwa baba wa kufikia maana nina maamuzi ya kiume. familia unaianza kwenye msingi ukielewa hii point msingi basi utakua umejikomboa kwa namna fulani
Watu wenye akili wote tumeshajua kuwa wewe ni Baba wa Kambo.

YANI KWA KIINGEREZA WEWE NI STEP-FATHER.

POLE SANA KIJANA, TUNAJUA MAUMIVU UNAYOYASIKIA.
 
usikute mleta mada kaletewa baba wa kambo akiwa mkubwa sasa zile hasira za kwann mama analiwa 😂😂😂😂 zinamuondoa ufahamu...... anaongozwa na mihemko ila jamii haiko hivyo tumeona wengi wamelelewa na baba wa kambo na heshima ipo mpka kwanapofaniliwa baba haachwi nyuma..... sasa utakuta kalelewa na lisingo maza lisilojielewa anataka kuwajumuisha wote
Inawezekana aisee.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia kubwa. Watoto wakambo ni wachache wanawakubali wazazi wakambo, kila anachofanyiwa anaona hatendewi haki.

Mbaya zaidi kama mzazi wake (hasa mama yake mzazi) akiwa anamdodosa na kumjaza chuki dhidi ya mama wakambo.

Sio watoto wakambo wote huwa wanateswa, ila mitazamo ya binadamu tumeweka baba/ mama wakambo ni wabaya
 
Back
Top Bottom