Unalijua hili kuhusu Mtoto wa kambo?

usikute mleta mada kaletewa baba wa kambo akiwa mkubwa sasa zile hasira za kwann mama analiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zinamuondoa ufahamu...... anaongozwa na mihemko ila jamii haiko hivyo tumeona wengi wamelelewa na baba wa kambo na heshima ipo mpka kwanapofaniliwa baba haachwi nyuma..... sasa utakuta kalelewa na lisingo maza lisilojielewa anataka kuwajumuisha wote
 
Soma nilipoweka Bold.

ZINGATIA: UPENDO WAKO BABA WA KUFIKIA UTAPIMWA NA MTOTO WA SINGLE MOTHER KIPINDI MAMA YAKE HAYUPO ULIMWENGUNI.
 
Hujalielewa Bandiko.

NGOJA NIKUPE MUDA ULISOME TENA HILI BANDIKO BUJARABU.

NAAMINI UTALIELEWA TU!
 
Unalijua hili?

Single Mother kama angekuwa hana Mtoto asingekubali kuolewa nawewe.

SINGLE MOTHER ANAOLEWA NAWEWE KWASABABU WEWE NI CHAGUO LA MWISHO NA SIO KWAMBA ANAKUPENDA SANA KULIKO ALIEMZALISHA.

Endelea na ubishi, ukikua utaacha ubishi.
Ikitokea na we umemzalisha
 
sio baba wa kufikia na siwezi kuwa baba wa kufikia maana nina maamuzi ya kiume. familia unaianza kwenye msingi ukielewa hii point msingi basi utakua umejikomboa kwa namna fulani
Watu wenye akili wote tumeshajua kuwa wewe ni Baba wa Kambo.

YANI KWA KIINGEREZA WEWE NI STEP-FATHER.

POLE SANA KIJANA, TUNAJUA MAUMIVU UNAYOYASIKIA.
 
Inawezekana aisee.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia kubwa. Watoto wakambo ni wachache wanawakubali wazazi wakambo, kila anachofanyiwa anaona hatendewi haki.

Mbaya zaidi kama mzazi wake (hasa mama yake mzazi) akiwa anamdodosa na kumjaza chuki dhidi ya mama wakambo.

Sio watoto wakambo wote huwa wanateswa, ila mitazamo ya binadamu tumeweka baba/ mama wakambo ni wabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…