Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

Moja ya ujinga ni kufananisha bia na tofali. [emoji23][emoji23] huyo ambaye hanywi sasa umemzidi kila kitu. Hawajui kwenye bia tunakutanaga na connection na deal kibao . Ila watu ambao hawanywi wengi wanakuaga wambea na wanafki makazini ( sio wote ila asilimia kubwa) . Angalia ata washkaji wasiokunywa wengi wana ma snitch snitch ivi.

Note: washkaji zako mnaopiga vyombo na mnapeana ma deal ya kazi na maendeleo kwenye maisha, iyo ni bonge moja la company. Chamsingi tu usiwe na wasela wasiojua kufungua wallet bill ikija na wasiotoa mawazo pevu .
 
Wanadamu wachokozi, wazandiki na makuhani tena wanahiyana....unakifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi...

Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Kama kunakitu nakichukia ni mtu kuingilia matumizi ya pesa yangu! Unakuta lijitu au mamutu yanaghafilikaa kisa nakunywa bia! Eti huyu jamaa atakuja kuwa na maisha mabaya sana anachezea hela sana Kila siku lazima aje hapa pub anywe bia tano sita ndio akalale sasa kumbe nao wako baa kila siku wananiona tofauti mimi nakunywa nyingi kwa cash wao wanasaini daftari la mkopo kaunta kwa konyagi ndogo mtu tatu!
 
Wanadamu wachokozi,

wazandiki na makuhani tena wanahiyana....unakifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi.

Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Waambie hao washakunaku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mkristo. Kanisani na hata Kitabu changu kitakatifu biblia kimeniambia hivi

Mit 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi.

Yaani sio wanangu tu. Mpaka wajukuu zangu natakiwa niwaachie urithi
Jambo tusilolijua ni kwamba hata wale tunaojinasibu kuwapambania kuwaachia urithi,..wanaombea hata tufe leo. Wengine sio damu zetu kabisa.
.
.
Drink beer, save water!!
 
Wanadamu wachokozi,

wazandiki na makuhani tena wanahiyana....unakifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi.

Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Makuhani ina maanisha nini?
 
Unawaza urithi, ni hasara kwa wazazi wako.
Eti urithi, huyo mtoto, apate elimu, afute ujinga, ajitegemee ajitafutie.

Binafsi, nikimaliza masuala ya kulipa ada, assets naanza kuuza 1,1 nakula jasho langu. Nikiwa hai..Savings ya kunitunza uzeeni.

Watoto watafute vyao, wataviheshimu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Moja ya ujinga ni kufananisha bia na tofali. [emoji23][emoji23] huyo ambaye hanywi sasa umemzidi kila kitu. Hawajui kwenye bia tunakutanaga na connection na deal kibao . Ila watu ambao hawanywi wengi wanakuaga wambea na wanafki makazini ( sio wote ila asilimia kubwa) . Angalia ata washkaji wasiokunywa wengi wana ma snitch snitch ivi.

Note: washkaji zako mnaopiga vyombo na mnapeana ma deal ya kazi na maendeleo kwenye maisha, iyo ni bonge moja la company. Chamsingi tu usiwe na wasela wasiojua kufungua wallet bill ikija na wasiotoa mawazo pevu .
Chamsingi tu usiwe na wasela wasiojua kufungua wallet bill ikija na wasiotoa mawazo pevu .[emoji817][emoji736]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom