Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

Mimi ni mkristo. Kanisani na hata Kitabu changu kitakatifu biblia kimeniambia hivi

Mit 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi.

Yaani sio wanangu tu. Mpaka wajukuu zangu natakiwa niwaachie urithi
Mbafu ,Sasa Bible na sisi weusi wapi na wapi,ukiangalia mle hakuna sehemu yoyote Tanzanian au mtanzania katamkwa,hata barua iliyotumwa kwetu hakuna,au waraka,barua ilitumwa kwa wakolinto na si wasambaa,so hakikuhusu na usiingilie yasiyo kuhusu
 
Wanadamu wachokozi,

wazandiki na makuhani tena wanahiyana....unakifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi.

Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Kunywa nyingine mbili nitalipa.
 
Mbafu ,Sasa Bible na sisi weusi wapi na wapi,ukiangalia mle hakuna sehemu yoyote Tanzanian au mtanzania katamkwa,hata barua iliyotumwa kwetu hakuna,au waraka,barua ilitumwa kwa wakolinto na si wasambaa,so hakikuhusu na usiingilie yasiyo kuhusu

Kwani Wathesalonike si ndio Watanzania au unadhani ni watu gani?
 
Unawaza urithi, ni hasara kwa wazazi wako.
Bora umenisaidia....anayewazia urithi ni mwehu..shule sio kuajiriwa, kichwa ndio mtaji Mkuu sio majumba..kariakoo na kwengineko wameachiwa urithi wa majumba,kwa kariakoo almaarufu migodi...lkn maisha wanayoishi utawaonea huruma...darasa hawajaenda walau form four ya Elimu bure waliikosa wanateseka
 
Moja ya ujinga ni kufananisha bia na tofali. [emoji23][emoji23] huyo ambaye hanywi sasa umemzidi kila kitu. Hawajui kwenye bia tunakutanaga na connection na deal kibao . Ila watu ambao hawanywi wengi wanakuaga wambea na wanafki makazini ( sio wote ila asilimia kubwa) . Angalia ata washkaji wasiokunywa wengi wana ma snitch snitch ivi.

Note: washkaji zako mnaopiga vyombo na mnapeana ma deal ya kazi na maendeleo kwenye maisha, iyo ni bonge moja la company. Chamsingi tu usiwe na wasela wasiojua kufungua wallet bill ikija na wasiotoa mawazo pevu .
Nina watu wawili au watatu pekee ambao sikutani nao mara mbili annually. Maana yake sina msela wa kunifungulisha wallet, Akili kubwa ninazipata kwa wasela ninaokutana nao bar,pub nk awali my dream car ilikuwa ya ajabu sana sasa najianini na ndinga ya maana. Ujenzi wa maana nk nk

Cha msingi usijifungie kwa imani za kukariri kunywa kwa ustaarabu
 
Back
Top Bottom