Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Kama kunakitu nakichukia ni mtu kuingilia matumizi ya pesa yangu! Unakuta lijitu au mamutu yanaghafilikaa kisa nakunywa bia! Eti huyu jamaa atakuja kuwa na maisha mabaya sana anachezea hela sana Kila siku lazima aje hapa pub anywe bia tano sita ndio akalale sasa kumbe nao wako baa kila siku wananiona tofauti mimi nakunywa nyingi kwa cash wao wanasaini daftari la mkopo kaunta kwa konyagi ndogo mtu tatu!Wanadamu wachokozi, wazandiki na makuhani tena wanahiyana....unakifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi...
Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Mimi ni mkristo. Kanisani na hata Kitabu changu kitakatifu biblia kimeniambia hivi
Mit 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi.
Yaani sio wanangu tu. Mpaka wajukuu zangu natakiwa niwaachie urithi
Waambie hao washakunaku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanadamu wachokozi,
wazandiki na makuhani tena wanahiyana....unakifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi.
Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Mwache atoe nyongo kama DialloKama bia mbili tu ushalewa namna hii ni bora mshukuru huyo anakukanya.
Akiendelea kumgasi
Jambo tusilolijua ni kwamba hata wale tunaojinasibu kuwapambania kuwaachia urithi,..wanaombea hata tufe leo. Wengine sio damu zetu kabisa.Mimi ni mkristo. Kanisani na hata Kitabu changu kitakatifu biblia kimeniambia hivi
Mit 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi.
Yaani sio wanangu tu. Mpaka wajukuu zangu natakiwa niwaachie urithi
Makuhani ina maanisha nini?Wanadamu wachokozi,
wazandiki na makuhani tena wanahiyana....unakifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi.
Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
Eti urithi, huyo mtoto, apate elimu, afute ujinga, ajitegemee ajitafutie.Unawaza urithi, ni hasara kwa wazazi wako.
achukue na demu apigeAchana na hao wanga, kula bia kula bia...
Chamsingi tu usiwe na wasela wasiojua kufungua wallet bill ikija na wasiotoa mawazo pevu .[emoji817][emoji736]Moja ya ujinga ni kufananisha bia na tofali. [emoji23][emoji23] huyo ambaye hanywi sasa umemzidi kila kitu. Hawajui kwenye bia tunakutanaga na connection na deal kibao . Ila watu ambao hawanywi wengi wanakuaga wambea na wanafki makazini ( sio wote ila asilimia kubwa) . Angalia ata washkaji wasiokunywa wengi wana ma snitch snitch ivi.
Note: washkaji zako mnaopiga vyombo na mnapeana ma deal ya kazi na maendeleo kwenye maisha, iyo ni bonge moja la company. Chamsingi tu usiwe na wasela wasiojua kufungua wallet bill ikija na wasiotoa mawazo pevu .
Hao ni machawa😅😅😅Chamsingi tu usiwe na wasela wasiojua kufungua wallet bill ikija na wasiotoa mawazo pevu .[emoji817][emoji736]
Sent using Jamii Forums mobile app