[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaview mara moja kwa miezi hivi au umehide nisione status zako auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie zako mbona huwa naview jamani....
Hata mimi.Siku hizi maisha yamerahisishwa, una mute, block au kufuta kabisa namba😂😂ila tu nina roho mbaya kinoma,
Nje ya mada mi hata tukigonga zaidi ya mwaka bila kuwasiliana nakufuta kwenye phonebook yangu
Auntie jamani....Naview sana....halafu wewe mwenyewe pia siyo mtu wa kupost post mbona.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaview mara moja kwa miezi hivi au umehide nisione status zako auntie
[emoji23][emoji23][emoji23] bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90Auntie jamani....Naview sana....halafu wewe mwenyewe pia siyo mtu wa kupost post mbona.....
Auntie ni'hide wewe usione kweli jamani......Hapana[emoji1787]Ipo wazi kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzigua ataumwa siku WhatsApp watoe kipengele cha kupost status[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimecheka vibaya....
Umenikumbusha jambo moja lilitokea nyuma huko[emoji28]Kuhusu DP yangu...Nitakuambia siku moja[emoji28]
Hapo kwa Mzigua hadi nimecheka tena[emoji1787]
[emoji1]Na sisi tunaopost memes 10 kwa siku unatuchukiloaje ndugu mwandishi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawakumbusha msije mkanisahau[emoji23][emoji23][emoji23] bora mimi auntie napost hata kwa mwezi mara moja sio wewe usikute kuna watu WhatsApp hawaijui hata sura yako mtaalam wangu wa kupost status huyu apa yaani asipopost ataumwa Mzigua90
[emoji1787][emoji1787] Kwamba usipopost tunakusahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawakumbusha msije mkanisahau
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Eeeh... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Kwamba usipopost tunakusahau
tuwe marafiki basiHata mimi.
Miongozo mkolezo🤣🤣🤸Mleta mada anaendelea kupewa miongozo
Mkuu wew ndo mlengwa ninUsifanye maisha kua magumu kiasi hicho, acha chuki, wivu, acha watu waishi maisha yao.
Nawe ishi yako, Mute, dunia tunapita.
Saf Sana mkuu wanaume kamili tumsapoti mtoa Mada Dume zima unakuta linashinda status kaz kujipiga filta na kujirembuaKuja wengine wana vile viapp vya kuwanotify mtu fulani akiwa online, yaani ukiwashadata tu unakutana na status 'just now' venye nawapuuzaga mixer kuwa mute mpaka tukikutana physically wananunaga kabisa.
Ndio simu yako na bando lako ila tabia nyingine waachieni dada zenu. Na wengi wanaomuandama mtoa mada ndo tabia zao, janaume zima eti lina akaunti Tiktok
What the F*ck