Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Saf Sana mkuu wanaume kamili tumsapoti mtoa Mada Dume zima unakuta linashinda status kaz kujipiga filta na kujirembua
 
Kwa siku ana post picha kumi na wewe unamfuatilia mpaka ukajua kua kwa siku anapost picha kumi! sasa huyo anayepost picha kumi kwa siku na wewe unayemfuatilia ni nani hasa aliyekosa kazi? au mna tofauti gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji16] akaa
 
Wewe ndio huna kazi sasa yaaani unapata na muda wakwawazia kuwa kazi anafanya saa ngapi 😂😂😂😂😂😂
 
Mbona una makasiriko kwenye maisha ya watu wewe ishi urakavyo acha umbea kwenye maisha ya watu
 
Wakuda mko wengi sana [emoji3][emoji3]

Huko mitandaoni ww unamuonaje muda wote kama na ww hushindi huko?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi maisha yamerahisishwa, una mute, block au kufuta kabisa namba😂😂ila tu nina roho mbaya kinoma,

Nje ya mada mi hata tukigonga zaidi ya mwaka bila kuwasiliana nakufuta kwenye phonebook yangu
Yani upo kama Mimi.
Ila mleta mada acha kuteseka na vitu vidogovidogo bana
 
Wanafanya kazi saa ngapi?
Wanapata muda wa kuwaza mambo tao saa ngapi.
Ma jobless wanafokewa sana mwezi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…